Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

Kuitendea haki isiwe pagale andaaa Ml 150;TSH.tofauti na hapo blablaa,ngomaa kwenye finishing classic pesa hutembea! Usipo angalia unajenga kwa miaka 10(Kama kipato Cha kati) au mbahili. But nakupongeza chief So mwanaume unakajumba kama ka mchepuko wa Mwl.wa certificate.
 
Mkuu, mimi maogopa.
Nashauri huu uzi wako ungeufuta tu. Maana wewe kila unalotamani huwa haliwi na unalolipinga ndiyo huwa.

Si unakumbuka nyuzi zako kule Jukwaa la Michezo?
Huu ni ushauri tu, msela usijenge chuki
 
Layout ya vyumba ni hopeless.
 
Unajua wewe jamaa utakuwa ni mpumbavu wa kiwango kikubwa sana. Badala ya kujadili mada unaleta shobo kwa mleta mada
 
Unajua wewe jamaa utakuwa ni mpumbavu wa kiwango kikubwa sana. Badala ya kujadili mada unaleta shobo kwa mleta mada
Kama kwenu hiyo ndiyo shobo basi poa tu acha iwe shobo😃.
Acha nikutakie kila la heri usije ukasema nimekuchawia bure.
Nisamehe mkuu😃
 
Kila lakheri mkuu ila jiandae 450hadi 500m kuingia humo ndani Mm najuta sana why sikuanza na biashara
 
Ukisikikiza maelezo toka jamii forrum unaweza ukaghairi kujenga na kwenda kujilipua baa[emoji23][emoji23][emoji23].
Mwingine anakwambia sijui milioni 600, mwingine milioni 300 mwingine milioni 250.yani kila mtu na lake[emoji23][emoji23]



Nyumba ya milioni 200 sio mchezo ndugu zangu.kuna ghorofa ipo kule mwanagati ni kali sana imejengwa na kampuni kabisa kwa gharama ya milioni 145.sembuse nyumba ya chini.unafunga nini humo ndani mpaka ifike iyo ela.

Msiongopeane jamani humu ndani.nyumba nyingi ni milioni 100 kushuka chini.ukijenga nyumba ya milioni 100 kwenda juu basi lazima iyo nyumba itajulikana na kila mtu kwa uzuri wake.

Kama mna mashaka na maelezo yangu basi tufanye kwa pamoja mchanganuo wa ujenzi kwa kutumia vifaa vya gharama kubwa zaidi.
 
Andaa millioni za kutosha kwa ajili ya ujenzi wa hiyo nyumba mzee baba.
Unawajuwa wa jf au unawasikia tu na kuwasoma humu, mkuu hwa jma wanamabangaloo, hawa jmaa wana magari sio vyombo vya usafr hwa jmaa vacation ni Dubai, Europe hpo hujagusa holday ni ibiza Spain huko hebu omba radhi mkuu sio kwa kibanda hcho maana hii nimereply nikiwa kwenye yacht
 
Nicheki whatsapp 0756469532
 
Nyumba inayokaribia viwango anavyohitaji OKW BOBAN SUNZU , kuna rafiki yangu amejenga, wakati anaanza watu walimkatisha sana tamaa, kwa hizo prices kuna wa milioni 600, 400 hadi 250.
Akatafuta engineer na kuanza ujenzi, akajipa muda wa kutosha ili ashiriki hatua kwa hatua na manunuzi ya vifaa,
Hadi nyumba inakuja kuisha na kuhamia ilimgharimu takribani shilingi milioni 70 tu
 
Alikudanganya, nyumba kama ya huyu mwamba kwa viwango ilivyonavyo 70m haitoshi. Hajaweka vipimo lakini kwa design yake, idadi ya vyumba na mwonekano wa finishing hiyo nyumba kwa 70m haijaisha bado.

Unajua sisi tunashindwa kutofautisha ujenzi, quality ya mabati nk, kuna mtu anapaua kwa 20m, wakati mwingine anapaua kwa 10m. QUALITY mkuu!!
 
Ndiyo maana nikasema inayokaribia quality hiyo
 
Umenena mkuu. Bahati nzuri nina experience ya ujenzi mpaka sasa nina mijengo miwili imenisaidia kujua ukifanya zaidi ya hapo bajeti inaweza kuwaje. Pia kazi yangu inanifanya nijue ABC za masuala ya ujenzi. Kwa hiyo hao jamaa huwa hawanitishi kabisa.

Fikiria mtu na akili zake nyumba isiyo ya ghorofa anakwambia 250m. Unampuuza tu
 
Ndio maana hata mimi mwanzo nilisema hiyo nyumba ni around 70m-80m. Huyo wa 250m sijui hata kama anajua bei ya nondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…