Ndio maana hata mimi mwanzo nilisema hiyo nyumba ni around 70m-80m. Huyo wa 250m sijui hata kama anajua bei ya nondo
Tofali za kuchoma kwasababu ni udongo na moto. Udongo hauna expired date. Block za mchanga na cement life span yake ni miaka 100.Mimi nauliza Tofali za kuchoma na block zipi zinadumu sana
Nyumba gharama kubwa ipo kwenye bati, tiles, aluminium vingine vyote kawaida.kwa iyo bati kufika ela iyo sio jambo kubwa.Alikudanganya, nyumba kama ya huyu mwamba kwa viwango ilivyonavyo 70m haitoshi. Hajaweka vipimo lakini kwa design yake, idadi ya vyumba na mwonekano wa finishing hiyo nyumba kwa 70m haijaisha bado.
Unajua sisi tunashindwa kutofautisha ujenzi, quality ya mabati nk, kuna mtu anapaua kwa 20m, wakati mwingine anapaua kwa 10m. QUALITY mkuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23] wanachukulia poa milioni 200.wanavyoitaja kama vile wanaitaja milioni 1.Umenena mkuu. Bahati nzuri nina experience ya ujenzi mpaka sasa nina mijengo miwili imenisaidia kujua ukifanya zaidi ya hapo bajeti inaweza kuwaje. Pia kazi yangu inanifanya nijue ABC za masuala ya ujenzi. Kwa hiyo hao jamaa huwa hawanitishi kabisa.
Fikiria mtu na akili zake nyumba isiyo ya ghorofa anakwambia 250m. Unampuuza tu
Sehemu zote za vijijini ndivyo ilivyoDuu aisee
Ila wenye nyumba za uhakika ni Moshi mkuu
Yaani unakuta nyumba ina ardhi kubwa haswa hadi unasema hawa wanajua maisha na hawataki tabu
Unatembea hata mile nzima unakuta nyumba Tatu tu au 4
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu floor plan ni utashi wako.
Vitu ambavyo vitakufanya usiichoke
Muundo wa ndani ni ukubwa unaokidhi mahitaji yako ya ndani.
Mfano mpangilio wa;
-vyumba
-sebule na sehemu ya chakula na jiko nk
Gharama inategemea na ukubwa wa vyumba mkuu.
Ukiwa na ramani yenye vipimo ninaweza kukupa gharama sahihi.
Mimi ni mjenzi sipendi kukadiria hewani mkuu..makadirio yangu huongozwa na ramani husika
Kwani kuna rooms za size tofauti;
3.5x3.5m
3.2x3.5m
4x4m
4.5x4.2 na kadhalika
Milioni 50 inavuka? Nalijenga taratibu miaka mitatu, wa nne ni finishing
135mil nyumba ya ground tu! Umeweka milango ya umeme na outo colour tilesKuna watu wana asili ya ubishi hata kama hawajafanya tafiti.
Kuna nyumba najenga hapo Mjini, ni ya ground tu lakini nimeshatumia 135M hadi sasa.
Isingekuwa kujenga kwa awamu nisingeweza kutoboa
Wewe unapo endelea kushangaa wenzio wanajiongezea kipato wewe endelea tu kushangaa si umeshiba hadi umevembewa mahela ?Mkuu
Upo sahihi kabisa
Kenya tu hapo nenda Muthaiga,Karen,etc viwanja ni 5 acres mzee na wana ardhi ndogo kama nchi
Bongo pia tabia zetu kama individuals ni za kipumbavu sana yaani,unakuta mtu humo humo eti anafuga ng'ombe,amejenga upumbavu wa wapangaji chungu nzima na hapo nje kaweka mafremu chungu nzima..na yeye familia yake inakaa hapo hapo...
Yaani kiwanja kilichopimwa still humo humo ndani ya kiwanja owner anageuza squater humo humo ndani kwa kufanya upumbavu wote huu
Zote hizi ni NJAA na mindset za kimasikini kabisa
Hua nashangaa hivi mtu kwenye nyumba yako ya kuishi na familia na mahali pa kulea watoto wako unajenga maduka na baa hapo hapo sijui hizo akili mbovu hivyo zinatoka wapi?I really do not understand this stupidity
Kama ni baa,nunua eneo maalumu,kama ni maduka nunua eneo maalumu,kama ni wapangaji nunua eneo maalumu ufanye yote hayo..
Sio mahali unalelea wanao ndio unafanya ukumamayo wote huo!
Ni ya ground lakini ina vyumba masters 4, kitchen, laundry, studyroom n.k135mil nyumba ya ground tu! Umeweka milango ya umeme na outo colour tiles
Hata hivyo mil 135 !?? Labda kama fundi wako nae anajenga kwake kupitia weweNi ya ground lakini ina vyumba masters 4, kitchen, laundry, studyroom n.k
Nimejenga kwa kufata standards zote ikiwemo beams na ground slab.
Pia nimechimba na kisima humo humo
Tusibishane sana Mkuu, nimempa mwongozo mtoa mada aende kujenga akiwa na kitabu cha kunakili gharama zote atakazo tumia alafu aje hapa kuleta mrejesho.Hata hivyo mil 135 !?? Labda kama fundi wako nae anajenga kwake kupitia wewe
Eti kipatoWewe unapo endelea kushangaa wenzio wanajiongezea kipato wewe endelea tu kushangaa si umeshiba hadi umevembewa mahela ?
Kwani hawapo watoto waliolelewa karibu na maduka na bars na wakafanikiwa?Eti kipato
Kipato gani cha kimasikini hicho wewe
Unaweka vifremu,mara vijumba vya kupanga,mara kabaa,mara sijui ka night club and still unakaa humo humo una mke na watoto wa kike
Unafundisha nini watoto wewe kiazi?
Watasoma saa ngapi?
Watapewa mimba za kipumbavu maana kwako pashageuka sokoni maana ni sehemu imejaa watu na panatolewa huduma za pombe na umalaya
Plus,mkeo ni rahisi kutombwa penda usipende....unajenga mazingira rafiki ya kuharibu familia
Kwanini mtu anatoa bilioni moja ananunua kiwanja Masaki na anaacha cha milioni 20 Goba?
Reason ni kua na eneo friendly kulea watoto na familia
Hicho kipato cha kipumbavu hivyo unachosemea doesnt worth it loosing your kids morality and calmness
Unataka kipato?Kwanini usinunue serious plots ujenge mafremu na mabaa unavyotaka?
Umasikini umekujaa ndio maana unavamia hadi kakiwanja ka familia unaweka mabaa kuendeleza umalaya kuharibu familia
Hebu kafie huko na mentality zako za Uswahilini na njaa
Where is the statistics?Kwani hawapo watoto waliolelewa karibu na maduka na bars na wakafanikiwa?
Nimekuelewa though lugha uliyotumia ni kali. Ngoja nijitahidi kuzisaka ili nikipata familia isiishi kwenye hatari za namna hiyo.Where is the statistics?
Tunajua morally maeneo hayo ni hatarishi
Kwavile sio wote then you are taking chances with your kids morality?
Hivi wazima nyie?
Eti kwavile watoto wa fulani walipita salama,tena kwa bahati then wewe kufanya ni sahihi?
Listen,maeneo hayo kitakwimu yana haya yafuatayo:
(1)likely kids to start smoking earlier
(2)likely kids to start drinking alcohol earlier
(3)likely kids to start engaging to unprotected sex activities earlier
(4)likely girls to get early pregnancies
(5)no proper elder role models in a place full of alcohol selling
(6)likely to perform poorly in school because of poor home environment caused by noise pollution within the household
Hiyo familia iliyopitia yote haya halafu ikafaulu ni za kuhesabu na yako definitely will NEVER be one of them,therefore brace yourself
Njaa zako kama baba wa familia kushindwa kutafuta kipato cha kutosha kuhakikisha familia yako ipo mbali na mazingira hatari kama haya will cause your family wife and kids to bare the consequences!
Wewe shoga usitake kila mtu aishi unavyo taka wewe, mmezoea nyumba za kuhongwa huko baada ya kuliwa kibonga halafu mnakuja kupangia watu waishi unavyo taka wewe acha kufutlatilia maisha ya watuEti kipato
Kipato gani cha kimasikini hicho wewe
Unaweka vifremu,mara vijumba vya kupanga,mara kabaa,mara sijui ka night club and still unakaa humo humo una mke na watoto wa kike
Unafundisha nini watoto wewe kiazi?
Watasoma saa ngapi?
Watapewa mimba za kipumbavu maana kwako pashageuka sokoni maana ni sehemu imejaa watu na panatolewa huduma za pombe na umalaya
Plus,mkeo ni rahisi kutombwa penda usipende....unajenga mazingira rafiki ya kuharibu familia
Kwanini mtu anatoa bilioni moja ananunua kiwanja Masaki na anaacha cha milioni 20 Goba?
Reason ni kua na eneo friendly kulea watoto na familia
Hicho kipato cha kipumbavu hivyo unachosemea doesnt worth it loosing your kids morality and calmness
Unataka kipato?Kwanini usinunue serious plots ujenge mafremu na mabaa unavyotaka?
Umasikini umekujaa ndio maana unavamia hadi kakiwanja ka familia unaweka mabaa kuendeleza umalaya kuharibu familia
Hebu kafie huko na mentality zako za Uswahilini na njaa
bila picha hainogi! hebu weka picha ya mjengo.......Kuna watu wana asili ya ubishi hata kama hawajafanya tafiti.
Kuna nyumba najenga hapo Mjini, ni ya ground tu lakini nimeshatumia 135M hadi sasa.
Isingekuwa kujenga kwa awamu nisingeweza kutoboa
Mkuu anayekwambia 50M, 70M, 100M, 200M, 450M wote wapo sahihi. Nyumba ni finishing. Unaweza kuweka kigae cha 12,000 cha kariakoo mwenzio anaweka cha 80,000. Siku zote ujenzi ni taste ya muhusika na unene wa wallet yake. Ukiamua kuezekea mabati ya mchina pale vingunguti, bei yake ni tofauti na kuezekea imported shingles za New Zealand. Unaweza weka sink la mchina la 20,000 wakati mwenzio kaliagiza sinki lile lile kwa 200,000!Hata kama lakini sio 250m, hata 100m haiwezi kufika. Halafu huu ujenzi ni wa maeneo ya kawaida ambapo local materials ni nafuu halafu nabeba mwenyewe.
Sawa bossbila picha hainogi! hebu weka picha ya mjengo.......