Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuuOKW BOBAN SUNZU kama hutojali uni pm nikuulize vitu vichache, jukwaani havitakuwa sawa kuuliza....naona umefunga pm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama million 400 ipo usisite kuni P. M kazi itafanyika kwa viwango vya Standard Gauge.
Nyumba bila swimming pool inaonesha kuna dalili fulani za kimasikini50 ndogo sana mkuu
Ila swimming pool haina haja hapo
iwe na garden ya kutosha tu na sehemu za kupumzika
Kwangu swimming naona ni kitu chenye umuhimu. Kuogelea ni zoezi bora zaidi, Kisha kucheza muziki, Kisha kukimbia.50 ndogo sana mkuu
Ila swimming pool haina haja hapo
iwe na garden ya kutosha tu na sehemu za kupumzika
Kwa kweliAndaa millioni za kutosha kwa ajili ya ujenzi wa hiyo nyumba mzee baba.
Sio kweliKwa kweli
Sawa mkuuSio kweli
Hata wanyama wanapenda kuoga usije ukakuta python au Mamba wakiogelea just kidding [emoji23]Kwangu swimming naona ni kitu chenye umuhimu. Kuogelea ni zoezi bora zaidi, Kisha kucheza muziki, Kisha kukimbia.
Hapa kwenye kibanda changu cha makuti nitachimba dimbwi niwe naogelea na NDUBWI.
Mkuu hiyo ya kusema nyumba bila swimming ni umasikini sio sahihiNyumba bila swimming pool inaonesha kuna dalili fulani za kimasikini
Affluence ni lazima kuwe na swimming pool.........garden kila mtu anayo by default
Ohh sijui familia za Kiafrika kuoga na watoto kwenye pool sio vizuri,sijui aibu and other blah blah ni excuse tu..watu wanaoga usiku with dim lights vizuri tu
Hakuna nyumba yenye swimming pool watu wanakufa kwa pressure na visukari
Kwanini watu wanaenda kilometa 100 kutafuta beach baharini?
MkuuHata wanyama wanapenda kuoga usije ukakuta python au Mamba wakiogelea just kidding [emoji23]
Ila mimi swimming pool naona kwanza ni hatari kwa watoto (rejea matukio mengi duniani)
La pili inahitaji usafi wa mara kwa mara na kuyabadili maji na madawa pia
Yaani gharama ni nyingi kuliko faida
Ila kila mmoja na mapenzi yake
Mimi bora niweke tennis [emoji462] ground na eneo kubwa la mazoezi (sio vyuma vizito)
[emoji23][emoji23]Mkuu
Swimming pool unazungushia uzio wa glass kama 1m high hakuna mdudu anaingia au watoto kudumbukia
Tennis and basketball courts ni my other favorites...
Kwa middle class family in TZ should have all these facilities
Ndio maana eneo kama Muthaiga Nairobi Kenya hakuna kiwanja less than 5 acres...TZ tufikie hizi standards sio huu upumbavu wa 1,500m2..viwanja vya njaa kali namna hii.
Ni maajabu TZ mtu anaweka na nyumba za wapangaji hapo hapo,anaweka na mafremu humo humo,yaani full ghasia...stupidity tupu!
QualityUmetumia kigezo gani mkuu?
Unaangalia kwa macho tu na kutoa hesabu?
Kuna miji nilikuwa nafanyia kazi masuala ya upimaji wa viwanja. Nikakuta mpaka 300sqm. Kuwahoji inakuwaje wakanijibu simple tu, mwongozo wa wizara unaruhusu. Nikawa mpole. Hakika niliona sisi wabongo ni vituko, hatujifunzi kabisa[emoji23][emoji23]
Mkuu Tz ardhi kubwa namna hiyo ila unakuta serikali inakata viwanja vidogo na kufanya watu waishi kama nchi zenye ardhi ndogo sana
Ni ujinga kweli kugawa visehemu kama nyumba za kuchezea watoto
Kweli mtu unajenga nyumba jambo la kwanza kufikiria ni kuwa na fremu za maduka
Hilo nakuunga mkono
Ningependa kuona serikali inagawa ardhi kubwa kama nyumba za USA mpaka raha