Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo.
Nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku hizi hasa kwenye mambo ya ardhi, nakaribisha ushauri wowote, na je kwa hiyo bei iko sawa au hata kwa 30,000 kwa square meter naweza kupata kiwanja Goba na Madale.
Asante