Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Kwanini Madale?Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo, nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku hizi hasa kwenye mambo ya ardhi, nakaribisha ushauri wowote, na je kwa hiyo bei iko sawa au hata kwa 30,000 kwa square meter naweza kupata kiwanja goba na madale
Asante
siyo madale peke yake mkuu,Kwanini Madale?
Madale hahmna kijijiTafuta kujua kama kampuni husika imesajiliwa na wanapiga kodi za serikali.
2. Eneo ni halali sio eneo la shule,hospital,soko nk
3. Muuzaji na mmiliki wana mikataba ya mauziano.
4. Serikali ya kijiji inafahamu
Tafuta kujua kama kampuni husika imesajiliwa na wanapiga kodi za serikali.
2. Eneo ni halali sio eneo la shule,hospital,soko nk
3. Muuzaji na mmiliki wana mikataba ya mauziano.
4. Serikali ya kijiji inafahamu
Chagua kiwanja, omba details za kiwanja, nenda ardhi kafanye official searchKuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo.
Nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku hizi hasa kwenye mambo ya ardhi, nakaribisha ushauri wowote, na je kwa hiyo bei iko sawa au hata kwa 30,000 kwa square meter naweza kupata kiwanja Goba na Madale.
Asante
Habari.Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo.
Nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku hizi hasa kwenye mambo ya ardhi, nakaribisha ushauri wowote, na je kwa hiyo bei iko sawa au hata kwa 30,000 kwa square meter naweza kupata kiwanja Goba na Madale.
Asante
Hapana mkuuHabari.
Ulifanikiwa kununua kiwanja na kupata hatimiliki?