Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Utapata Mkuu, Mungu ni mwema sana.wewe miaka mitatu tu wakati mimi nahangaika mwaka wa kumi huu bado sijajipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapata Mkuu, Mungu ni mwema sana.wewe miaka mitatu tu wakati mimi nahangaika mwaka wa kumi huu bado sijajipata
Usifikirie kufa mkuu Bali fikiria kupambanaa zaidi ,haupoo Kwa ajili yakuteseka milele n njia tu hyo unayopita Kwa ss ya ukata km mwana alivyopita now angalau kinapatikana ktu na maishà yanasongaa.Asante mkuu, binafsi nipo kwenye wakati mgumu sn.Huu uzi wako ni kama umeniona.Nawaza bora nife tu.
Usife moyo, wanaume wote unaotuona hapo nje tulikuwepo ulipo ww leo ila tulikaza roho tukapita.Asante mkuu, binafsi nipo kwenye wakati mgumu sn.Huu uzi wako ni kama umeniona.Nawaza bora nife tu.
Nakuelewa,,ni Hali ngumu sana hiyo kuivuka.Daa hii situation ndio ninayopitia sasa, tuma application nyingi za maombi ya kazi kimya...message zinazoingia kwenye simu ni promo za mitandao. Ukiwa kwenye msoto mkali hivi hupati simu ya jamaa wala ndugu au rafiki..,hapo mtu una familia....eenh Mungu nijalie nitoke katika hii situation.
This is called 'Post uni Truma'.ndugu zangu ukiona giza nene jua kumekaribia kucha. katika safari yangu ya utafutaji wa kazi na ajira nipate ridhiki yangu aiseeeh siwezi sahau.
njaa kali,kufubaa, kudharaulika na kukosaa nauli za daladala na basi wakati nasambaza bahasha na usahili ilikua jambo lakawaida.
uso wangu ulipoteza nuru, namshukuru MUNGU sana. sasa hadi kazini muonekano wangu wa ujana umerudi napata simu nyingi,jumbe nyingi wakati haikuwa hivo before.
Nawasihi wanangu mnaopitia msoto, huo msoto una mwisho mtajipata tu wanetu. mimi imenichukua zaidi ya miaka 3 kupata unafuu wa kiuchumi.
pole afsa hakika yana mwisho, endelea kupambana dah upande wangu ilikua sio poaAsante mkuu, binafsi nipo kwenye wakati mgumu sn.Huu uzi wako ni kama umeniona.Nawaza bora nife tu.
ahsante kwa elimu yako , sijawasahauJe waliokuwa na wewe wakati unasota bado wanathamani kwako??
Usiwasahau hata siku moja.
Hao ndio watu wa kweli kwako
Wathamini!!
MUNGU awaepushe wanaopitia hali hii kwa sasaNdugu usiombee hii hali ikukute ukiwa na familia inayokutegemea,acha tu,ukiipitia hii hali utajua nachomaanisha....
pole sana afsa, hata ukipata ujumbe wa email unakuta ni ule wenye kuvunja moyo.Daa hii situation ndio ninayopitia sasa, tuma application nyingi za maombi ya kazi kimya...message zinazoingia kwenye simu ni promo za mitandao. Ukiwa kwenye msoto mkali hivi hupati simu ya jamaa wala ndugu au rafiki..,hapo mtu una familia....eenh Mungu nijalie nitoke katika hii situation.
Thank you Man,This is called 'Post uni Truma'.
Demu wako na baadhi ya washikaji wanakukacha..
Ukiona demu akikuvumilia katika hiki kipindi make sure umuoe bro..huyo ni wife material.
Katika hii 'era' unakua unaishi kwa matumaini zaidi..
Utasambaza cv mpaka basi..
Mungu asaidie wapambanaji wote ambao wametoka katika familia za chini.
Kanyaga twende tumechelewa mnoo kiongozi.piga KAZIUkiwa km kijana ni kutoa aibu ktk kutafuta tusichague sana kaz iasee miez miwil nyuma ajira yang ya muhindi iliisha gafla tu aisee nilikuwa sijui naanzia wap naishia wap,nikauza simu laki na 50 nikatafuta eneo lenye muingiliano wa watu weng, nikafungua kijiwe cha kukaangaa mihogo nikapambana km mwez 1 aisee saiv na mwez wa pili kila siku lazm nilaze 20 km faida kwa siku, labda kuwe na changamoto ya mvua biashara kidogo sio nzur na nilianza na mihogo ya mafungu now naagiza kiroba kbsa na kinaisha,majuzi napigiwa simu kwa muhindi nirud tena nimewakatalia, napambana kuzungusha sehem nyingne ya bishara ndogo ndogo ila hii siichi,
Vijana wenzang tuacheni aibu tupambane aisee.biashara ndogo ndogo zinalipa sana hasa ukiongezaea thaman yan usasa hukosi ela.
Shukrani mkuu, mapambano yaendeleendugu zangu ukiona giza nene jua kumekaribia kucha. katika safari yangu ya utafutaji wa kazi na ajira nipate ridhiki yangu aiseeeh siwezi sahau.
njaa kali,kufubaa, kudharaulika na kukosaa nauli za daladala na basi wakati nasambaza bahasha na usahili ilikua jambo lakawaida.
uso wangu ulipoteza nuru, namshukuru MUNGU sana. sasa hadi kazini muonekano wangu wa ujana umerudi napata simu nyingi,jumbe nyingi wakati haikuwa hivo before.
Nawasihi wanangu mnaopitia msoto, huo msoto una mwisho mtajipata tu wanetu. mimi imenichukua zaidi ya miaka 3 kupata unafuu wa kiuchumi.