Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

pole sana afsa, hata ukipata ujumbe wa email unakuta ni ule wenye kuvunja moyo.

Dear applicant, sorry we regret to inform you that ---- dah

MUNGU akufanyie wepesi mwamba
Hakika kabisa mkuu kila email inakuja na majibu hayo hayo "we regret to inform" unajiuliza hawa wanachukua watu wa aina gani, basi unaishia kuumia tuu....
 
Ndo kipindi nachopitia saivi japo saiv kuna afadhar sabu nasmamia biashar ya mshikaji wangu hela ya kula sikosi,naumiza sana akili kutafuta chaka la maana nikipata t ntakimbia hapa make nachokipata chote ni kwa ajili ake japo uhuru ni mkubwa kwenye biashar ila nafsi ya kuiba au kutumia vibaya cha mtu waga najskia vbaya..napenda mtu apate alichowekeza nami npate kwa kiasi.
all in all kitaa kugumu,tpeane ramani chief,ishu yoyte halali napiga..
Usijali utatoka tu..uaminifu ni suala la msingi sana.
 
Daa hii situation ndio ninayopitia sasa, tuma application nyingi za maombi ya kazi kimya...message zinazoingia kwenye simu ni promo za mitandao. Ukiwa kwenye msoto mkali hivi hupati simu ya jamaa wala ndugu au rafiki..,hapo mtu una familia....eenh Mungu nijalie nitoke katika hii situation.
Utatoka Mkuu usife moyo.
 
Back
Top Bottom