Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

pole sana afsa, hata ukipata ujumbe wa email unakuta ni ule wenye kuvunja moyo.

Dear applicant, sorry we regret to inform you that ---- dah

MUNGU akufanyie wepesi mwamba
Hakika kabisa mkuu kila email inakuja na majibu hayo hayo "we regret to inform" unajiuliza hawa wanachukua watu wa aina gani, basi unaishia kuumia tuu....
 
Usijali utatoka tu..uaminifu ni suala la msingi sana.
 
Utatoka Mkuu usife moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…