Njaa inanukia, mvua zimegoma. Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi

Acha Mambo yako, kama unaona kitapanda Bei nunua Sasa weka store ama kalime chakula chako wewe. Wakati mkulima analima ulimchangia Chochote?
Songea bado mahindi Bei chini 300 - 350 kwa kilo, hakuna faida hapo. Madibira bado mpunga ni mwingi Sana acha uchawi wako.
Mind your own business
 
Mleta mada tumia vizuri kichwa na siyo kubebea masikio peke yake, inaonekana hujawahi kulima hujui adha zinazowakumba wakulima
 
Mleta mada tumia vizuri kichwa na siyo kubebea masikio peke yake, inaonekana hujawahi kulima hujui adha zinazowakumba wakulima
Uliyoyaongea ndio yatazuia njaa kutokana na ukame? Mahindi Katavi gunia ni 70,000 .
 
Wazo ni zuri sana, bei za Mahindi zimepanda hadi kufikia sh.10,000/12,000 kwa debe kutoka sh.4500/5000.
 
UMEKOSEA SANA KUSEMA SERIKALI IPIGE MARUFUKU KUUZA MAZAO YA CHAKULA NJE YA NCHI KUMBUKA UNAZUNGUMZIA MAZAO YA WAKULIMA SIYO YA SERIKALI UJUE HUO NI UKANDAMIZAJI WA WAKULIMA KUINGILIA UHURU WA MAZAO YA BIASHARA YAO
 
Wa kwanza kupata njaa ni hao hao unaowaita wakulima.Bora wabaki na chakula kuliko kukosa vyote.
 
Pumbavu.Ukame utawahusu ccm tuu bali chadema mvua inanyesha
napenda kukuelewesha kua mungu hapendi uonevu huu na hii ni ishara kwa mama suluhu ili atende haki mungu ataachilia baraka zote na mvua zitanyesha kama haonei watu bure kama anavyoteswa mbowe
 
napenda kukuelewesha kua mungu hapendi uonevu huu na hii ni ishara kwa mama suluhu ili atende haki mungu ataachilia baraka zote na mvua zitanyesha kama haonei watu bure kama anavyoteswa mbowe
Huyo Mungu ni bababikko labda 😁😁
 
Wewe mtoa mada bure kabisa, yaani unataka mkulima asifaidike na kazi yake ya shambani? Serikali inatakiwa inunue mazao kwa mkulima kwa bei ya soko ili wakati wa njaa iwalishe watu kama wewe. Usilete mawazo ya kijamaa
 
wazo la mtoa mada ni nzuri kwa mtu ambaye anafakiria kwa mapana na marefu kuhusu usalama wa nchi na watu wake kwa kipindi kijacho iwapo hali iliyopo itakuwa hivi.Nimetoka wiki iliyopita toka Tundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…