nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
wazuie ili iweje? unajua kilimo wewe? kalime uone acha wakulima nao waneemekeHabari za mida..
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.
Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.
Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.
Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.
Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula.
Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.
Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Umetumwa na ndugai niñi? Mama amehimiza atamlinda mkulima kwa nguvu zote Pamoja na kurusu soko huria-willing buyer willing seller.Kazi iendelee. Zanzibar oyee.
Kwa kweli mleta mada mi sijajua ni utoto au utu uzima uliopitiliza yaan wakulima wanateseka na kupambana na hali ngumu na ghalama kubwa ya mbolea na madawa bila msaada halafu we unaleta ufahamu wako wa kwenye kijiko cha chai wasirusiwe kuuza chakula. Wengine matusi na kudharauliwa huwa mnataka wenyewe. Mvua wakati zinanyesha we hukuziona acha utoto basi tusije wakulima tukakwambia huna akili ukasema tumekutuna bure?Habari za mida..
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.
Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.
Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.
Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.
Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula.
Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.
Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Hakuwezi kuwa na njaa. Serikali ina mahindi mengi kwenye ghala za kuhifadhia chakula.Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa
Utakula urefu wa kamba yako.Habari za mida..
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.
Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.
Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.
Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.
Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula.
Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.
Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Kama sio inakuaje watu wanalalamika bei za vyakula zikipanda?Yaani mleta mada anaona kazi ya mkulima ni kumlisha tu yeye hata kama anapata hasara.
Kalime were upeleke serekalini izuiwe waache wakulima wengine wauze wanakopata faida warudishe production costsHabari za mida..
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.
Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.
Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.
Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.
Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula.
Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.
Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Bei ziko juu Sana kwa sasa kwa sababu Mazao yanavuka Sana mpaka na ikizingatiwa mvua zilikuwa chache ni busara kuzuia...Kalime were upeleke serekalini izuiwe waache wakulima wengine wauze wanakopata faida warudishe production costs
Msije kuanza kumlaumu Samia kwamba Bei zimepanda maana mna midomo Sana nyie.Kwanini wazuie?
Yani Mkulima ahangaike kulima kwa tabu halafu umpangie bei na mahali pa kuuza ?
Sema waouzie serikali kwa bei ya soko ya sasa maana badae itapanda zaidi kuliko sasa.
kwani serikali inawasaidia nini wakulima?kila siku hawanunui kujaza maghala
Chakula kichache sana..maeneo mengi wamevuna kidogo..bado chakula kina toka nje ya nchi..unategemea nini kama sio kuanza kwa kelele za njaa kwa wananchi.Kwanini wazuie?