Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

Mimi mpka sasahivi ndo hali napitia unapigwa na njaa halafu huku mwenye nyumba anataka kodi.Wiki iliyoisha nilikaa kama siku nne hivi sijala kitu bhana halafu nikiangaza kitu cha thamani nilicho nacho gheto ni jiko na masufuria nkaona hivi havina msaada kama hata msosi kupata ni shida ilikuwa mida ya saa tatu nikachukua kajiko kadogo ka mkaa nikamwaga majivu nikalitia kwenye begi nkaweka kisu masufuria nikayaweka kwenye mfuko nikashuka zangu kwa mam ntilie yule bi mkubwa aliona na shida akaamua kunilalia kabisa nikauza vitu vyangu kwa elfu 10 akanipa na sahani ya wali nkalala nkarudi kulala shida haziishi wazee hapa nawaza nauza nini nilipe kodi kitu cha thamani nilicho nacho ni pc kama ingekuwa yangu ningekuwa nishapiga bei sema nathamini vitu vya kupewa.
Pole sana brother. Allah akufanyie wepesi utatoka kwenye tabu unazopitia

Sent from my SM-M515F using JamiiForums mobile app
 
Inshallah Mungu atupe wepesi sote katika tabu tunazopitia kikubwa kutokukata tamaa
 
Mimi mpka sasahivi ndo hali napitia unapigwa na njaa halafu huku mwenye nyumba anataka kodi.Wiki iliyoisha nilikaa kama siku nne hivi sijala kitu bhana halafu nikiangaza kitu cha thamani nilicho nacho gheto ni jiko na masufuria nkaona hivi havina msaada kama hata msosi kupata ni shida ilikuwa mida ya saa tatu nikachukua kajiko kadogo ka mkaa nikamwaga majivu nikalitia kwenye begi nkaweka kisu masufuria nikayaweka kwenye mfuko nikashuka zangu kwa mam ntilie yule bi mkubwa aliona na shida akaamua kunilalia kabisa nikauza vitu vyangu kwa elfu 10 akanipa na sahani ya wali nkalala nkarudi kulala shida haziishi wazee hapa nawaza nauza nini nilipe kodi kitu cha thamani nilicho nacho ni pc kama ingekuwa yangu ningekuwa nishapiga bei sema nathamini vitu vya kupewa.
Aisee. Pole sana kaka. Nothing is permanent, yatakwisha tu.
 
We all struggle. Baadhi yetu ni saana ila wengine kwa kiasi. Miaka fulani nikiwa nakaa gheto niliwahi kuumwa njaa, nikaamua kwenda ofsini ilikuwa weekend nilijikuta nakula makombo ya chips ambayo niliyakuta kwenye dustbin. Hiyo ni hali mbaya kuliko nimewahi kupitia kwenye maisha yangu. Mpaka leo nikikutana na mtu akiniambia hajala hela siwezi kumpa lakini nipo radhi nikamnunulie chakula nitakachokula mimi. Lakini pia nyakati ngumu zilinifanya nijue marafiki wa kweli.
 
Mimi mpka sasahivi ndo hali napitia unapigwa na njaa halafu huku mwenye nyumba anataka kodi.Wiki iliyoisha nilikaa kama siku nne hivi sijala kitu bhana halafu nikiangaza kitu cha thamani nilicho nacho gheto ni jiko na masufuria nkaona hivi havina msaada kama hata msosi kupata ni shida ilikuwa mida ya saa tatu nikachukua kajiko kadogo ka mkaa nikamwaga majivu nikalitia kwenye begi nkaweka kisu masufuria nikayaweka kwenye mfuko nikashuka zangu kwa mam ntilie yule bi mkubwa aliona na shida akaamua kunilalia kabisa nikauza vitu vyangu kwa elfu 10 akanipa na sahani ya wali nkalala nkarudi kulala shida haziishi wazee hapa nawaza nauza nini nilipe kodi kitu cha thamani nilicho nacho ni pc kama ingekuwa yangu ningekuwa nishapiga bei sema nathamini vitu vya kupewa.
Kitanda
 
Aisee msione watu wanadunda mtaani, haya matofali na maudongo yanasitiri mambo mengi sana

Sitaki kukumbushia japo nakumbuka mengi sana kuhusu njaa na katika hili naomba tu niseme acheni kuwaasi wazazi aisee maana WAZAZI NI KITU NYINGINE KABISA hivyo kamwe tusiwachukulie poa kabisa, yaani hata kujaribu usijaribu hata mara moja
 
Noma
 
Kipindi nasoma chuo UDSM first year nakaa hostel lakini nilikuwa nimepanga Sinza Vatican huko naenda weekend tuu. Siku hiyo nimetoka chuo nikawaza hapa nitatoa hela ATM ya sinza kijiweni basi nimeshuka pale kufika ATM hakuna hela. Ikabidi nikanyage mpaka vatican sio mbali. Mfukoni mimebaki na 1000 tuu nikalala bila kula sikuwa na shida.

Kesho yake mchana nimeamka nikaprint tena hadi ATM Kijiweni kuangalia hela hakuna ikabidi nipande daladala 400 hadi Africasana kuna ATM pale nikawa nimebaki na 600 kufika pale pia hakuna hela pia. Nikarudi tena mpaka vatican kwa daladala mfukoni nimebaki na 200 tuu. Usiku njaa ilikamata ndani nina mchele tuu ikabidi niuloweke na maji nile mchele mbichi kupunguza njaa.

Kipindi hicho mawakala wa CRDB hawakuwepo wengi kama sasa hivi. Inshort niliomba nauli kwa huyo mama nilikutana nae ATM siku ya 3 yake naye alikuja kutoa hela akakosa akanipa 1000 iliyonifikisha chuo ndio nikaenda kutoa hela. Nikajifunza hata kama nyumbani naenda weekend tuu bora kuwa na kila kitu gas,mafuta etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi apo nimemaliza chuo niko kitaa, home sitaki kurudi napambania kombe...

Aisee nilikua nashindia buku tuu kila siku, apo ni juisi ile ya azam ya mia6(inachakachuliwa na maji), afu na maandazi mawili ya bakhresa. Moja mchana lingine usiku..

Unakuta ukila ivo siku kama 4 iyo njaa yake ni hatari, ila unajikaza.

Siku ukikutana na mwana akakupa ofa ya walj maharage au nyama unaona kama malaika ivi kakushukia.

Nashukuru Mungu saivi ela ya kula sikosi, na akiba ninayo pia.
 
Daaah maisha haya njaa alafu uko ugenini kampala. We Acha tu
 
Mimi mpka sasahivi ndo hali napitia unapigwa na njaa halafu huku mwenye nyumba anataka kodi.Wiki iliyoisha nilikaa kama siku nne hivi sijala kitu bhana halafu nikiangaza kitu cha thamani nilicho nacho gheto ni jiko na masufuria nkaona hivi havina msaada kama hata msosi kupata ni shida ilikuwa mida ya saa tatu nikachukua kajiko kadogo ka mkaa nikamwaga majivu nikalitia kwenye begi nkaweka kisu masufuria nikayaweka kwenye mfuko nikashuka zangu kwa mam ntilie yule bi mkubwa aliona na shida akaamua kunilalia kabisa nikauza vitu vyangu kwa elfu 10 akanipa na sahani ya wali nkalala nkarudi kulala shida haziishi wazee hapa nawaza nauza nini nilipe kodi kitu cha thamani nilicho nacho ni pc kama ingekuwa yangu ningekuwa nishapiga bei sema nathamini vitu vya kupewa.
Pole sana mkuu, maisha ni mapambano
Nilichojifunza ni kuwa, kunahaja ya kuwa tunachangisha pesa na kusaidiana kujikwamua katika nyakati hizi hususani kwa vijana tunaoanza maisha.
 
Udom block H enzi hizo. Njaa ya siku mbili inaelekea ya tatu....washkaji room washanisaidia hadi najiona mzigo usiobebeka. Niko kitandani sauti imeanza kukata, nikisimama nahisi kutetemeka kabisa....Mara paap washkaji hawa hapa wanauliza kama nimepata msosi nikajibu tayari kumbe holaa....
Walivoingia room nami nikavunga kama naenda toilet,kumbe moyoni ni kuficha aibu ya kuonewa huruma....pia ni kuwaamisha kwamba nimekula sasa naenda chooni kama wao.
Dah kumbe kule chooni lengo lilikuwa ni kumlilia Mungu kuwa endapo ningekufa asinichome maana tayari cha moto nimekiona huku duniani... Basi wakuu ile nimeingia tu chooni,Niko usawa wa kile choo cha kukaa si nikauona muujiza. Sikuamini kwamba siku ile Mungu alinilisha kutoka kwenye tundu LA choo, wakuu nilikuta 5000/= pesa halali ya Tanzania inaelea kwenye vile vimaji vya choo. Sikujali...niliichukua kwa mkono wangu wa kulia bila kujali usalama wa afya yangu.
Kilichofuata ni direct canteen kula ukoko....maisha yakaendelea.
 
Kipindi nasoma chuo UDSM first year nakaa hostel lakini nilikuwa nimepanga Sinza Vatican huko naenda weekend tuu. Siku hiyo nimetoka chuo nikawaza hapa nitatoa hela ATM ya sinza kijiweni basi nimeshuka pale kufika ATM hakuna hela. Ikabidi nikanyage mpaka vatican sio mbali. Mfukoni mimebaki na 1000 tuu nikalala bila kula sikuwa na shida.

Kesho yake mchana nimeamka nikaprint tena hadi ATM Kijiweni kuangalia hela hakuna ikabidi nipande daladala 400 hadi Africasana kuna ATM pale nikawa nimebaki na 600 kufika pale pia hakuna hela pia. Nikarudi tena mpaka vatican kwa daladala mfukoni nimebaki na 200 tuu. Usiku njaa ilikamata ndani nina mchele tuu ikabidi niuloweke na maji nile mchele mbichi kupunguza njaa.

Kipindi hicho mawakala wa CRDB hawakuwepo wengi kama sasa hivi. Inshort niliomba nauli kwa huyo mama nilikutana nae ATM siku ya 3 yake naye alikuja kutoa hela akakosa akanipa 1000 iliyonifikisha chuo ndio nikaenda kutoa hela. Nikajifunza hata kama nyumbani naenda weekend tuu bora kuwa na kila kitu gas,mafuta etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora yako ulikuwa na tumaini pesa ipo, hata kukopa ungeweza. ila kasheshe pesa huna na huna ratiba ya kuipata karibuni halafu njaa inakubabua.
 
Back
Top Bottom