Ukiangalia fomu ipo sawa haijakosewa. Mkurugenzi wa tume alisema alijaza Tarehe 7/7 2020, hapa kwenye fomu inaonyesha wazi amejaza tarehe 7/09.
Tusubiri jibu la tume kuhusu hilo pingamizi. Natumaini haki itatendeka.
Wanayo pia dhana ya "fatal".......... " fatal error", "fatal mistake", " fatal omission " etc. Nina imani unazijua pia!Hizo zinaitwa technicalities ni mambo ya kawaida kabisa.
Kama ni mdau wa mahakama wala hata hutashangazwa nayo.
Ujinga tu. Kwanza jamani, wkenye katiba sifa za mtu kuwa mgombea zimeorodheshwa, kwani tume ipo juu ya katiba kuwaengua wagombea kisa hizi small technicalities. Dhana ya wasimamizi ni kusimamia wagombea wajaze fomu vizuri na kuwarekebisha, hivi ndivo ilivokuwa wakati wa Kikwete na Mkapa. Sasa hizi ni kama mafisi wanavizia watu wakosee ili wawakate. Taifa gani hili tunatengeneza. Afu kinachoshangaza, wagombea wa CCM hawakoseagi kabisa japo tunajua wengi wao wameishia darasa la saba. Ebu tuwe serious kidogo. Mi naamini hata CCM wenyewe hawafurahii huu ujingaWanayo pia dhana ya "fatal".......... " fatal error", "fatal mistake", " fatal omission " etc. Nina imani unazijua pia!
Halafu ati mtu ni Jaji wa mahakama kuu.. Utumbo mtupuKukosea tarehe ndio itunyime kumpata Rais bora.. mbona watanzania tunakua wehu kiasi hiki.
Kama terehe imekosewa inarejebishwa na mambo yanaendelea.
Kuna mamno serious ambayo kweli mtu hastahili kuwa Rais.
Kama makosa ya jinai etc
Hata deni la serena ni izushi mkubwa.
Tarehe imekosewa wapi?Damu imwagike kisa tarehe acheni woga na wehu nyie mcc
Tarehe ipi aliyokosea? Hebu onyesha...Kweli mtu anakosea hata kuandika tarehe tu
Je Mambo makubwa ya NCH ataweza
Amekosea wapi mkuu?Ujinga tu. Kwanza jamani, wkenye katiba sifa za mtu kuwa mgombea zimeorodheshwa, kwani tume ipo juu ya katiba kuwaengua wagombea kisa hizi small technicalities. Dhana ya wasimamizi ni kusimamia wagombea wajaze fomu vizuri na kuwarekebisha, hivi ndivo ilivokuwa wakati wa Kikwete na Mkapa. Sasa hizi ni kama mafisi wanavizia watu wakosee ili wawakate. Taifa gani hili tunatengeneza. Afu kinachoshangaza, wagombea wa CCM hawakoseagi kabisa japo tunajua wengi wao wameishia darasa la saba. Ebu tuwe serious kidogo. Mi naamini hata CCM wenyewe hawafurahii huu ujinga
Hata mimi nauliza hilo swali, wapi amekosea?Sasa tarehe ipi hapo iliyokosewa nahiyo ni tarehe ya kiapo
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe. Ilitakiwa fomu itolewe copy halafu mtu makini aijaze hiyo copy yote, then Maalim afuatilie ile copy ili kujaza hiyo original yake step by step.Wanatukatisha tamaa wapenda mabadiliko. Yaani chama kizima - Maalim, Zitto, Membe... na wanasheria wao, wameshindwa kabisa kujaza fomu 1 kwa usahihi! Hata transparency wanaandika trasparency? Kama wamekosea hili, kwa nini wasikosee tarehe. Pamoja na kuona yote yaliyotokea kwa wagombea udiwani na ubunge? Kama ni kweli amefanya hayo makosa, Wazanzibar hawatamsamehe kabisa. Ndio maana wengine wanasema ni kuuza mechi.
Technicalities ni mahakamaniHizo zinaitwa technicalities ni mambo ya kawaida kabisa.
Kama ni mdau wa mahakama wala hata hutashangazwa nayo.
Miaka 77? GrandpaUkiangalia fomu ipo sawa haijakosewa. Mkurugenzi wa tume alisema alijaza Tarehe 7/7 2020, hapa kwenye fomu inaonyesha wazi amejaza tarehe 7/09.
Tusubiri jibu la tume kuhusu hilo pingamizi. Natumaini haki itatendeka.
Aisee huo ni uonevu na dhambi ya hivyo sijui inasamehekaje
Kwa fomu hii kakosea WAPI?Kweli mtu anakosea hata kuandika tarehe tu
Je Mambo makubwa ya NCH ataweza
Mwatafuta pa kushika?Miaka 77? Grandpa