Mgeni wa Mungu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 1,233
- 1,289
Mbaya zaidi huu siyo ulimwengu wa ukombozi wa uhuru wa bendera, ni dunia ingine kabisa. Zitto aachane na haya mambo ya 1960s.
Kwanini mnamwambia Zito kuachana na haya mambo munamuacha waziri na serikali yake iendelee wala hamuwatupii lawama, akili gani hizi?
Maneno hayo ungeyapeleka kwa waziri sio Zito, zito ni msemaji sio mtekelezaji. Anawaamsha Watanganyika mambo yanayotaka kufanywa na Serikali yenu . Ajabu hi au ndio uelewa mdogo wa Watanganyika.