Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Tanzania tumewapigania kupata uhuru S.Africa lakini mkaburu anadhaminiwa zaidi ya MtanzaniaDuh Kwahiyo ukoloni wa mwenzako ni sawa tu kisa haupati faida??? Ngoja siku mvamiwe na Idd amin mwingine alafu tusikie mnalialia AU kama wakati ule wa Nyerere ndio mtaelewa uchungu wanaoupata watu wa SAHRAWI kuona mnawakumbatia watesi wao
Sasa hivi tunatengeneza uchumia, mambo ya kusaidia kupigania ukombozi ya watu wengine umepitwa na wakati..
Hapo congo kuna wanajeshi wetu walikufa kibao hao hao wapuuzi walitoa hata salamu za pole?
TANZANIA FIRST,