Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Ndiyo maana sasa mambo yamebadilika. Huko tumeshatokaInapaswa pia tujiulize kuwa ANC, SWAPO, na wengine kama hao wameisaidia nini Tanzania. Tulitumia miaka mingi kujitia umasikini ili kuwakomboa wengine, sasa hivi wao wanapeta kiuchumi sisi tumebaki tunashangaa.