Mgeni wa Mungu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 1,233
- 1,289
Mbaya zaidi huu siyo ulimwengu wa ukombozi wa uhuru wa bendera, ni dunia ingine kabisa. Zitto aachane na haya mambo ya 1960s.
Mbaya zaidi huu siyo ulimwengu wa ukombozi wa uhuru wa bendera, ni dunia ingine kabisa. Zitto aachane na haya mambo ya 1960s.
Vp zile 1.5 T alizosema zimeibiwa tayari zimerudi mkuu?Huyu jamaa awe mwandishi wa vitabu tuu kwa sasa, maana hana focus ya jambo lolote akaliaimamia mpka mwisho.
Inapaswa pia tujiulize kuwa ANC, SWAPO, na wengine kama hao wameisaidia nini Tanzania. Tulitumia miaka mingi kujitia umasikini ili kuwakomboa wengine, sasa hivi wao wanapeta kiuchumi sisi tumebaki tunashangaa.Hao Sahrawi wanaisadia nini Tanzania?
Kweli kabisa mkuu, hao wa Sahrawi na wapalestina wacha wajipiganie wenyewe, Sisi sasa hivi interest yetu ni kuboresha uchumi na maisha ya watu. Tunabadili mfumo wa mahesabu yetu sasa, Sasa hivi ni kutengeneza urafiki wenye tija tu, urafiki usio na tija kama ule tuliokuwa nao na vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika tupa kule. Kilichobaki sasa ni siku ya kuhamishia ubalozi wetu Yerusalem.Wa Sauzi tuliwapigania,tuliwapa base na kuwapa makazi miaka mingi baadae mzulu anamuona kaburu ni bora kuliko mbongo ,hataki hata kijana wa kitanzania ajitafutie riziki Jo'burg .sasa hivi Tanzania kwanza vingine baadae
Hilo nalo halikuisha mkuu. Sidhani kama zimerudiVp zile 1.5 T alizosema zimeibiwa tayari zimerudi mkuu?
Zitto toka mwaka huu uanze amekuja na vitu karibia kumi na hamna hata kimoja alichostick nacho zaidi ya wiki 2,vyote vimeishia njianiHilo nalo halikuisha mkuu. Sidhani kama zimerudi
Aliyekwambia ACT ina exist ni nani? Usijifanye hujui km kauli ya zzk ndio kauli ya unachokiita ACT. By the way sijafanya personal attack km unavodai. Nimekuwa nikimfatilia huyu mzalendo ana hoja nzuri chokozi lkn sio msimamizi na muumini wa anachokisema. Amekuwa MTU wa kulalamika tuu na ndio mana watu wameanza kumchukulia kawaida sana.Vitabu andika wewe.
Ambaye hana focus ni wewe kusoma ambayo huyapendi au kucomment ujinga.
Jadili hoja zilizotolewa, usifanye personal attack.
Na ujumbe ni kutoka ACT - wazalendo sio MTU mmoja, kama kuna kosa katika walichokiandika tuma malalamiko yako kwa msajili wa vyama vya siasa.
Vijana wa kitanzania tunakuwa wapumbavu wapumbavu. Kama hoja huna uelewa nayo, inakuzidi uwezo pita kimya, sio kuhara hapa. Shame on you.
Duh Kwahiyo ukoloni wa mwenzako ni sawa tu kisa haupati faida??? Ngoja siku mvamiwe na Idd amin mwingine alafu tusikie mnalialia AU kama wakati ule wa Nyerere ndio mtaelewa uchungu wanaoupata watu wa SAHRAWI kuona mnawakumbatia watesi waoTanzania first, kama hatupati faida yoyote watimuliwe mbali, huu ni wakati wa kuiweka Tanzania kwenye uchumi, tunataka Tanzania yenye uchumi
Acheni double standards kama ni hivyo kwanini bado mnaweka msimamo dhidi ya Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel?? Kama huko mashariki ya kati mnatetea ukombozi basi endelezeni moyo huo huo na SAHRAWI sio ikiongelea swala la morocco mnajifanya mnataka ukombozi wa kiuchumi ila ikiongelewa swala la israel mnageuka wakombozi wa kisiasaMbaya zaidi huu siyo ulimwengu wa ukombozi wa uhuru wa bendera, ni dunia ingine kabisa. Zitto aachane na haya mambo ya 1960s.
Mkuu malcom hii issue mlijadili uzi gani tuje kuchota maarifa zaidi.....Mkuu JokaKuu unakumbuka haya tuliwahi yazungumza ???
Sikumbuki hata ni sehemu gani.....Ngoja niutafute.Mkuu malcom hii issue mlijadili uzi gani tuje kuchota maarifa zaidi.....