Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Tabia na kauli ya kikahaba kabisa hii. Mahusiano ya kimataifa na urafiki ni vitu viwili tofauti. Ikiwa fulani hana masilahi basi tuachane na mambo yake saa hizi tungekuwa na hali mbaya kama Taifa, maana wanaotusaidia yetu si wote maslahi na sisi.Hao Sahrawi wanaisadia nini Tanzania?
Juzi juzi walimuua lecturer moja wa kitanzania aliyekuwa akifundisha in one of the Universities Joburg! Washenzi sana wale.Wa Sauzi tuliwapigania,tuliwapa base na kuwapa makazi miaka mingi baadae mzulu anamuona kaburu ni bora kuliko mbongo ,hataki hata kijana wa kitanzania ajitafutie riziki Jo'burg .sasa hivi Tanzania kwanza vingine baadae
Kuna mkakati wa kuifukuza POLISARIO nchini
Serikali ya Tanzania: POLISARIO ni Chama cha Ukombozi ambacho kilipewa hadhi ya Serikali na uanachama wa Umoja wa Afrika tangu 1982. Suala hili limeanza kuleta utata wa kisheria Katika Umoja wa Afrika na Katika duru za Kimataifa.
ACT Wazalendo: Huu ni Mkakati unaosukwa kuifukuza POLISARIO kwenye Umoja wa Afrika na tulionya hili mapema sana wa kampeni za kuirudisha Morocco AU. Serikali ya Tanzania kuweka sentensi hii kwenye Hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje Mwaka 2018 ni mkakati wa kutuandaa kisaikolojia kuifukuza POLISARIO. Msimamo wetu ni kuwa Jamhuri ya SAHRAWI ( Sahara Magharibi) ni Taifa huru lililovamiwa na Morocco. Ubalozi uliopo nchini ni ubalozi wa SAHRAWI na sio wa POLISARIO na kiti cha AU ni kiti cha Jamhuri ya SAHRAWI. Tunaitaka Serikali ya Tanzania iache ujanja ujanja kwenye suala hili na itumie nafasi yake ya urafiki na Morocco kuhakikisha Maazimio ya UN yanatekelezwa ili watu wa Sahara wawe Huru wajenge nchi yao.
Zitto Kabwe
24/5/2018
Ati wasitujengee misikiti kama Gadaff!Kwa hiyo wewe mh. zitto unataka nini hasa!!
Oooooh nmekumbuka huo uzi mkuu.... Dah tulibishana sana kuhusu POLISARIO, PLO na Biafra ila kwa zile nondo zako nilisalimu amri 😀😀😀 na toka hapo sikuwa na guts za kudebate lolote na wewe 😉Sikumbuki hata ni sehemu gani.....Ngoja niutafute.
Nakumbuka niliwahi kukwambia kwamba haya yatatokea kwenye uzi fulani hivi,
Ilikuwa ndiyo siku ya kwanza mimi na wewe kuonana na tukabishana sanaa sanaaa.
Ndio maana Zito anataka tuwaache wapambane kivyao sio serikali yetu kutoa matamko haituhusuInapaswa pia tujiulize kuwa ANC, SWAPO, na wengine kama hao wameisaidia nini Tanzania. Tulitumia miaka mingi kujitia umasikini ili kuwakomboa wengine, sasa hivi wao wanapeta kiuchumi sisi tumebaki tunashangaa.
Ni kweli umetokea kwenye TUNDU baya!Tabia na kauli ya kikahaba kabisa hii. Mahusiano ya kimataifa na urafiki ni vitu viwili tofauti. Ikiwa fulani hana masilahi basi tuachane na mambo yake saa hizi tungekuwa na hali mbaya kama Taifa, maana wanaotusaidia yetu si wote maslahi na sisi.
Mambo yako wazi mkuu, yaani nilishajua kabisaa ndiko tunakoenda huku kwa tabia za mtu kama Raisi Magufuli.Oooooh nmekumbuka huo uzi mkuu.... Dah tulibishana sana kuhusu POLISARIO, PLO na Biafra ila kwa zile nondo zako nilisalimu amri 😀😀😀 na toka hapo sikuwa na guts za kudebate lolote na wewe 😉
Hapa umeongea fact ingewezekana hata Leo tuhamishie ubalozi Jerusalem tuangalie faida kama wachina migogoro tuwaachie waoKweli kabisa mkuu, hao wa Sahrawi na wapalestina wacha wajipiganie wenyewe, Sisi sasa hivi interest yetu ni kuboresha uchumi na maisha ya watu. Tunabadili mfumo wa mahesabu yetu sasa, Sasa hivi ni kutengeneza urafiki wenye tija tu, urafiki usio na tija kama ule tuliokuwa nao na vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika tupa kule. Kilichobaki sasa ni siku ya kuhamishia ubalozi wetu Yerusalem.
Serikali ya jiwe haisikilizi waguZitto toka mwaka huu uanze amekuja na vitu karibia kumi na hamna hata kimoja alichostick nacho zaidi ya wiki 2,vyote vimeishia njiani
Aliyekwambia ACT ina exist ni nani? Usijifanye hujui km kauli ya zzk ndio kauli ya unachokiita ACT. By the way sijafanya personal attack km unavodai. Nimekuwa nikimfatilia huyu mzalendo ana hoja nzuri chokozi lkn sio msimamizi na muumini wa anachokisema. Amekuwa MTU wa kulalamika tuu na ndio mana watu wameanza kumchukulia kawaida sana.

Wa Sauzi tuliwapigania,tuliwapa base na kuwapa makazi miaka mingi baadae mzulu anamuona kaburu ni bora kuliko mbongo ,hataki hata kijana wa kitanzania ajitafutie riziki Jo'burg .sasa hivi Tanzania kwanza vingine baadae
Mbona tulivua nguo kitambo?Kuna mkakati wa kuifukuza POLISARIO nchini
Serikali ya Tanzania: POLISARIO ni Chama cha Ukombozi ambacho kilipewa hadhi ya Serikali na uanachama wa Umoja wa Afrika tangu 1982. Suala hili limeanza kuleta utata wa kisheria Katika Umoja wa Afrika na Katika duru za Kimataifa.
ACT Wazalendo: Huu ni Mkakati unaosukwa kuifukuza POLISARIO kwenye Umoja wa Afrika na tulionya hili mapema sana wa kampeni za kuirudisha Morocco AU. Serikali ya Tanzania kuweka sentensi hii kwenye Hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje Mwaka 2018 ni mkakati wa kutuandaa kisaikolojia kuifukuza POLISARIO. Msimamo wetu ni kuwa Jamhuri ya SAHRAWI ( Sahara Magharibi) ni Taifa huru lililovamiwa na Morocco. Ubalozi uliopo nchini ni ubalozi wa SAHRAWI na sio wa POLISARIO na kiti cha AU ni kiti cha Jamhuri ya SAHRAWI. Tunaitaka Serikali ya Tanzania iache ujanja ujanja kwenye suala hili na itumie nafasi yake ya urafiki na Morocco kuhakikisha Maazimio ya UN yanatekelezwa ili watu wa Sahara wawe Huru wajenge nchi yao.
Zitto Kabwe
24/5/2018
Hapa upo namimiMh. Zitto tumechoka na mambo ya ukombozi sasa ni wakati wa Tanzania kujikomboa kiuchumi
Tanzania tumewapigania kupata uhuru S.Africa lakini mkaburu anadhaminiwa zaidi ya MtanzaniaDuh Kwahiyo ukoloni wa mwenzako ni sawa tu kisa haupati faida??? Ngoja siku mvamiwe na Idd amin mwingine alafu tusikie mnalialia AU kama wakati ule wa Nyerere ndio mtaelewa uchungu wanaoupata watu wa SAHRAWI kuona mnawakumbatia watesi wao