Ndiyo maana sasa mambo yamebadilika. Huko tumeshatokaInapaswa pia tujiulize kuwa ANC, SWAPO, na wengine kama hao wameisaidia nini Tanzania. Tulitumia miaka mingi kujitia umasikini ili kuwakomboa wengine, sasa hivi wao wanapeta kiuchumi sisi tumebaki tunashangaa.
Sisi wenye akili tulishaonya mapema sana , hasa baada ya Mfalme wa Morroco kutembelea Tanzania na kwenda kula bata Zanzibar , tulijua kilichoendeleaHaya mambo yapo nje ya upeo wangu...
Hivi katika hili dini na utanganyika vinaingiaje?Nyinyi mnajiona mko safi na hamna upungufu .
Mnajitoa fahamu na mnajiona watanzania.
Kumbukeni nyinyi ni watanganyika mna ukabila na udini. Leo yupo magufuli nafasi muhimu zote kawapa jamaa zake ukiwachilia chatto Airport.
Usimcheke mwenzio
Hao Sahrawi wanaisadia nini Tanzania?
Good morning! Mwenye matatizo no wewe ambaye inaonekana hujui kuchambua na kutafakari mada. Wewe unaoneshwa nyota lakini unaamgalia mwezi, hamuwezi kuwa na uelewa mmoja. Elimu, elimu, elimu!!!Huyu jamaa awe mwandishi wa vitabu tuu kwa sasa, maana hana focus ya jambo lolote akaliaimamia mpka mwisho.
Hapo ndipo mimi na wewe tunapishana we mzee, una mawazo ya kizeeHahaha Demokrasia ipi!
Hakuna demokrasia isiyo na mipaka
Yakizee kama ya DJ wako wa UfipaHapo ndipo mimi na wewe tunapishana we mzee, una mawazo ya kizee
Hahahahahaha we mzee pumzika siasa HahahahahahaYakizee kama ya DJ wako wa Ufipa
MENACHIN BEGIN Waziri Mkuu wa zamani wa Israel alisema- utakuja kuitwa Yerusalemu Mji wa Daudi! Mji huu ni Muhimu sana kwa Wakristo na Wayahudi kuliko watu wangine wowote!!Bado tutahamishia ubalozi wetu kwenye jiji la Jerusalem
AminaMENACHIN BEGIN Waziri Mkuu wa zamani wa Israel alisema- utakuja kuitwa Yerusalemu Mji wa Daudi! Mji huu ni Muhimu sana kwa Wakristo na Wayahudi kuliko watu wangine wowote!!
hiyo ndo inatwa vita ya Economic freedom unaungana na mwenye nguvu ya uchumi ili kucomplete mission kaka diplomasia za kimataifa zinachezwa na mdundo huo.Mbona mlikataa kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel kama mnaangalia maslahi ya kiuchumi?? Why kwa morocco ndio mnatoa hii hoja??
Una umuhimu gani kwa wakristo??? Kwahiyo leo ujerumani wakirudi kutukoloni kisa walirithishwa koloni la Tanganyika na miungu wao mtakubali muwapishe watutawale??? Mahaba ya kidini yanatuvuruga watanzaniaMENACHIN BEGIN Waziri Mkuu wa zamani wa Israel alisema- utakuja kuitwa Yerusalemu Mji wa Daudi! Mji huu ni Muhimu sana kwa Wakristo na Wayahudi kuliko watu wangine wowote!!