Nyie si ndio mnazaliana tuu bila mpango..Mbona watoto wake wadogo wadogo sana
Siyo msukuma huyo.Mbona watoto wake wadogo wadogo sana
Robo ya Wateezee ni wao.Nyie si ndio mnazaliana tuu bila mpango..
Sisi wasukuma hatuna mchezo mchezoNyie si ndio mnazaliana tuu bila mpango..
Netanyahu ana miaka 80 iweje mtoto wake mkubwa awe na miaka 30?Siyo msukuma huyo.
Ninyi ni moto tu.Tena wa magogo makubwa hadi komoni iive!Sisi wasukuma hatuna mchezo mchezo
Mwanaume hazeeki.Muulize Sarai wa Abraham.Netanyahu ana miaka 80 iweje mtoto wake mkubwa awe na miaka 30?
Tuwashauri wataalamu wa mapigano/vita waanze kutengeneza macho ya vita.View attachment 3632762
Sawa Mtumishi........lakini huyu mtu ni muuaji. Watoto wengi wasio na hatia wameuawa!
Mzee wa uharo na kitenge chakeView attachment 3632762
Sawa Mtumishi........lakini huyu mtu ni muuaji. Watoto wengi wasio na hatia wameuawa!
Alioa mwaka 1972 akaachana na mkewe 1978.Netanyahu ana miaka 80 iweje mtoto wake mkubwa awe na miaka 30?
Kuna ile picha ipo kavaa full sema tukiiweka hapa ban inatuhusu maana Mods wamechefukwa..Mzee wa uharo na kitenge chake
HahahahaKuna ile picha ipo kavaa full sema tukiiweka hapa ban inatuhusu maana Mods wamechefukwa..
Hapana sio chake.Mzee wa uharo na kitenge chake
Asante sana kwa ufafanuziAlioa mwaka 1972 akaachana na mkewe 1978.
Akaoa tena 1981 akaachana na mkewe 1984.
Akaja kumuoa huyo Sara 1991 ndie wakapata naye watoto na yupo nae hadi leo.
Alipaswa kuwa na watoto wakubwa..