gusa unatemaana Mods wamechefukwa..
Hata Ayatollah aliuwa wengi zaidi tena Wairan wenzake.View attachment 3632762
Sawa Mtumishi........lakini huyu mtu ni muuaji. Watoto wengi wasio na hatia wameuawa!
Fake news, JamiiCheck kwanini mnashindwa moderate threads za hili jukwaa mbona jamii intelligence huwa mada lazima ipimwe kwanza ndio iachiwe kwa umma. Jukwaa limejaa taarifa za uongo na huwa zinaachwa tu zinashusha hadhi ya JF kama source ya taarifa za kweli.Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa
Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa Israeli.
Kamati ya mawaziri ya Israeli kuhusu masuala ya Shin Bet imeidhinisha ulinzi ulioongezwa kwa familia ya karibu ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, ikipitisha pendekezo la mkuu wa Shin Bet David Zini la kumpa Sara Netanyahu ulinzi wa maisha yote, huku ikiongeza ulinzi wa wana wao, Yair na Avner Netanyahu, kwa miaka mitano zaidi.
Uamuzi huo ulithibitishwa na maafisa kwa msingi wa tathmini ya juu ya vitisho inayotokana na mvutano wa kikanda na uwezekano wa kulipiza kisasi dhidi ya viongozi wakuu wa Israeli na familia zao.
Yale yalikua mapinduzi na walipewa silaha na Israel/USA ili wapindue nchi. Na Trump alikiri kuwapa silahaHata Ayatollah aliuwa wengi zaidi tena Wairan wenzake.
Mwaka huu Mbwa wewe unateseka sana na Mimi!!! Hupendi kabisa kusikia magaidi wakishindwa kwenye mipango yao ya mauaji na unafurahia sana magaidi wanapofanikiwa kuua watu wasio na hatia!!!Fake news, JamiiCheck kwanini mnashindwa moderate threads za hili jukwaa mbona jamii intelligence huwa mada lazima ipimwe kwanza ndio iachiwe kwa umma. Jukwaa limejaa taarifa za uongo na huwa zinaachwa tu zinashusha hadhi ya JF kama source ya taarifa za kweli.