Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Mimi SIO MTU WA DINI...

NARUDIA TENA, WEWE NIFATILIE KWA UMAKINI MIMI SIO mfia dini... NATAMBUA WHY hizo dini zipo.

Mimi nipo duniani kwaajili ya KUMTUMIKIA Mungu, SIO KUTUMIKIA Dini...

Lile Kuki limekushinda, nikupe jingine???
 
energy concept yake ni pana siongelei kuhusu physical being jaribu kupitia kuhusu universal consious
Nimekuuliza swali rahisi sana. Unakubali kama njaa ipo ? Kama unakubali na unaweza kuthibitisha ya kuwa njaa ipo sasa kwanini ushindwe kuthibitisha ya God ni Energy ?
 
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 una hoja mwanangu maana ukipinga wengine wanataka uuawe. Hivi mtu akisema mlima Kilimanjaro haupo atauawa kutukanwa au kutishwa au kupelekwa akauone?
 
Ni kweli si lazima kila kitu kiwe na chanzo.hasa sisi na mungu hatuna chanzo
Thibitisha kama wewe hauna chanzo ? Napata wasi wasi na namna unavyo yafikiria mambo. Naona kama hauko serious katika suala zima la kutafakari na kuhoji.
 
Isaya 55:6
"Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana,
Mwiteni, maadamu yu karibu;"

Mtafute mtafuteeee... Huwezi sema Hayupo wakati hujamtafutaaa.
 
Nimekuuliza swali rahisi sana. Unakubali kama njaa ipo ? Kama unakubali na unaweza kuthibitisha ya kuwa njaa ipo sasa kwanini ushindwe kuthibitisha ya God ni Energy ?
Nimetambua swali ni rahisi ndio maana nimekupa sehem ya kupitia upate majibu ya swali lako
 
Nimetambua swali ni rahisi ndio maana nimekupa sehem ya kupitia upate majibu ya swali lako
Kingine suala la energy kulihusisha na Mola muumba ni ujinga ulio pea. Nishati haina mambo matano au zaidi.

1. Nishati haina maarifa
2. Nishati haina malengo
3. Nishati haisanifu
4. Nishati haina hekima
5. Nishati haina utambuzi.

Sasa vipi nishati uihusishe na vitu hivyo vitano ?
 
Unakimbia swali kijana.

Kwani njaa ni maada mzee ? Sasa kama huzungumzii maada na njaa si maana,au nishati ni maada ?
narudia tena pitia kuhusu universal counsious acha uzembe sipo hapa kushawishi watu wamfuate Mungu wangu sababu anajitosheleza
 
hujui chochote kuhusu energy.
Umezoea kuskia roho but ukiulizwa nini hujui.
 
Iko hivi,kuna wale wanaoamini MUNGU yupo na pia kuna wale ambao hawaamini kwamba MUNGU yupo.Kwanza tujikite zaidi katika kutafsiri neno kuamini.
Kuamini ni ile hali ya mtu kutolijua jambo au kitu fulani lakini hataki kukubali kwamba hajui.
Wanaoamini MUNGU yupo,hawana uhakika kama yupo,ila wanaogopa kukubali kwamba hayupo.
Wanaoamini MUNGU hayupo,pia hawana uhakika kwamba hayupo ila wameamua kuchagua upande wa kutokukubali uwepo wa MUNGU.
Kuhitimisha hili,nadhani ingekuwa ni vyema liwepo kundi la watu ambao linakubali kwamba halijui lolote kuhusu uwepo wa MUNGU,wasiwe upande wa ku admit kwamba MUNGU yupo na wala wasiseme MUNGU hayupo,waseme na wawe na ujasiri wa kusema kwamba hawajui lolote kuhusu uwepo wa MUNGU,hawajui kwamba yupo au hayupo,simply tuseme HATUJUI!!
 
Ningekuambia Mungu ni roho probably ningeonekan smart kumbe hata yenyewe hujui ni nin tafta maana ya roho then urudi kwenye energy
mnapenda kutumia misamiati ambayo mmezoea lakini hamjuai inamaanisha nini usiishi kwa mazoea
 
Yani waafrika tumegomea kabisa evolution / evolitonal biology . Ila mtu anakuja hapa anasema oh sijui kitu intelligent kimeumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukimuuliza do you know how metochondria work na kama binadamu yupo special sana mbona cell zake hazina tofauti na cell za wanyama wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…