Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma na hii mkuu aiseMkuu Kurunzi ukipata muda pitia pitia huu uzi upate mawili matatu, mimi nimesoma wote!
Unachotumia wewe ni Teleological Argument au Argument from designAliyeandika hicho kitabu naye ni mzembe wa kufikiri au hakuitumia akili yake sawasawa. Au Mungu anauza! Hivyo akaamua kupata soko!
Ukichunguza kila kitu kinachofanya kazi kuanzia kwenye mwili wa binadamu mfano jicho tu hutaweka huu uzi.
Socrate, Aristotle, Pilato na wengineo kwenye maneno yao yaliyohifadhiwa walisema kwenye huu ulimwengu creater lazima atakuwepo, na si the big bang bali kilichosababisha the big bang.
Nilishaisoma tangu utoto na mpaka leo haijanisaidia chochote mkuu!Soma na hii mkuu aise
Zaburi 14:1-6
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu,
Aone kama yuko mtu mwenye akili,
Amtafutaye Mungu.
Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja,
Hakuna atendaye mema,
La! Hata mmoja.
Je! Wote wafanyao maovu hawajui?
Walao watu wangu kama walavyo mkate,
Hawamwiti BWANA.
Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi,
Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.
Mnalitia aibu shauri la mtu mnyonge,
Bali BWANA ndiye aliye kimbilio lake."
Tupe uhusiano uliopo kati ya Mungu na biblia mimi naamin kuna Mungu lakini sio wa kwenye bibliaWapumbavu tu ndio husema HAKUNA MUNGU... Kama unaweza ukajitutumua jitutumue hata kwa nondo za kichawi wewe leta tu.. MIMI NAKUGONGA NA NENO TAKATIFU, HEBU PITIA HAPA CHINI... KISHA Jipigepige kifuani sema "Mimi mpumbavu, kumbe Mungu Yupo"... Hahahahah
Zaburi 14:1-6
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu,
Aone kama yuko mtu mwenye akili,
Amtafutaye Mungu.
Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja,
Hakuna atendaye mema,
La! Hata mmoja.
Je! Wote wafanyao maovu hawajui?
Walao watu wangu kama walavyo mkate,
Hawamwiti BWANA.
Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi,
Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.
Mnalitia aibu shauri la mtu mnyonge,
Bali BWANA ndiye aliye kimbilio lake."
Wapumbavu tu ndio husema HAKUNA MUNGU... Kama unaweza ukajitutumua jitutumue hata kwa nondo za kichawi wewe leta tu.. MIMI NAKUGONGA NA NENO TAKATIFU, HEBU PITIA HAPA CHINI... KISHA Jipigepige kifuani sema "Mimi mpumbavu, kumbe Mungu Yupo"... Hahahahah
Zaburi 14:1-6
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu,
Aone kama yuko mtu mwenye akili,
Amtafutaye Mungu.
Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja,
Hakuna atendaye mema,
La! Hata mmoja.
Je! Wote wafanyao maovu hawajui?
Walao watu wangu kama walavyo mkate,
Hawamwiti BWANA.
Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi,
Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.
Mnalitia aibu shauri la mtu mnyonge,
Bali BWANA ndiye aliye kimbilio lake."
Marko 7:7Nilishaisoma tangu utoto na mpaka leo haijanisaidia chochote mkuu!
Kwa ufupi mungu hajawahi kunisaidia na wala sitarajii anisaidie
Why you think they are created??Kama hakuna Mungu binadamu na vitu vyote vilivyomo Duniani Who's creator 😣😣😣
Kwenye Biblia Takatifu Hakuna Mungu, Kuna Neno lake Ambalo ndilo muongozo.Tupe uhusiano uliopo kati ya Mungu na biblia mimi naamin kuna Mungu lakini sio wa kwenye biblia
Nacho hoji uwepo wa Mungu wa kweli unathibitika vipi na biblia kuwa ndio neno la huyo Mungu wa kweli na isiwe Quran au vitabu vingineKwenye Biblia Takatifu Hakuna Mungu, Kuna Neno lake Ambalo ndilo muongozo.
Unaamini Kuna Mungu, umefahamu vipi uwepo wake?
Hadi mpumbavu ameweza kujua hakuna Mungu, we timamu umeshindwa vipi?Soma na hii mkuu aise
Zaburi 14:1-6
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu,
Aone kama yuko mtu mwenye akili,
Amtafutaye Mungu.
Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja,
Hakuna atendaye mema,
La! Hata mmoja.
Je! Wote wafanyao maovu hawajui?
Walao watu wangu kama walavyo mkate,
Hawamwiti BWANA.
Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi,
Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.
Mnalitia aibu shauri la mtu mnyonge,
Bali BWANA ndiye aliye kimbilio lake."
Mwanzo 1:1-31Why you think they are created??
Unaweza kumuelezea Mungu wa kwenye biblia ukaelewekaKwenye Biblia Takatifu Hakuna Mungu, Kuna Neno lake Ambalo ndilo muongozo.
Unaamini Kuna Mungu, umefahamu vipi uwepo wake?
Hilo nilishakujibu kitambo, sema wewe mvivu kujichunguza, Soma hapa chini.. (NILIKUJIBU KITAMBO)Nacho hoji uwepo wa Mungu wa kweli unathibitika vipi na biblia kuwa ndio neno la huyo Mungu wa kweli na isiwe Quran au vitabu vingine
ambavyo vyote vinadai kuwa la neno la Mungu wa kweli au Mungu aliyeongelewa katika vitabu vyote ni mmoja lakini maelezo yanapishana???
Naomba na Mimi unijibu..Hahahaha
Wale wenye ID tatu tatuuu njooni piaaa... "Mnajitekenya na kuchekaa wenyewee"...
Wengine mnakuja Kama mnaingiaaa kumbe mnatokaaa... Hahahahhahah..
Wengine mnajifanya kondoo (Kulingana na maelezo yenu) kumbe Chui (Uhalisia wenu)
Intelejensia ya Rohoni imetanda mahali hapa..
Karibuni wapendwa
Haya maneno unayo ya quote sio kwamba watu hawayajui lakin yameshindwa kuwashawish.Mwanzo 1:1-31
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo.
Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu.
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;
tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo.
Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi
na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne.
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano.
Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.
Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita."
KULA NENO TAKATIFU HILO... UKITAKA UTAKULA USIPOTAKA UTAKULA PIA, MUNGU YUPO... Unless Otherwise uje na hoja inayosema Mungu hayupo.. theory zote zimeshindwaaa.
Wewe kichwa chako sina shaka kina dosari.. Hebu Soma Tena hapa (MBONA UMEKAZANA KUSEMA MUNGU WA KWENYE BIBLIA??...) Kichwani Kuna mafinyufinyuu humo... Soma hapa chini.Unaweza kumuelezea Mungu wa kwenye biblia ukaeleweka
Umeelewa Sasa?Kwenye Biblia Takatifu Hakuna Mungu, Kuna Neno lake Ambalo ndilo muongozo.
Unaamini Kuna Mungu, umefahamu vipi uwepo wake?
Mungu wangu ni universal consious na sio huyo aliye be proclaimed kweny bible .Hilo nilishakujibu kitambo, sema wewe mvivu kujichunguza, Soma hapa chini.. (NILIKUJIBU KITAMBO)
Naomba na Mimi unijibu..
Wewe ulifahamu vipi uwepo wa Mungu?
Umesema Mungu yupo..Haya maneno unayo ya quote sio kwamba watu hawayajui lakin yameshindwa kuwashawish.
Mungu wa kweny biblia amechorwa kama Mtu ni kweli Mungu anahtaji kiti cha enzi kukaa au macho kuona au miguu kutembea wakati ni roho
Mungu anaweza vipi kuwa na wivu, chuki na hasira wakati anajitosheleza haitaji kitu kutoka nje kumtosheleza.
Waroma walijaribu kutumia bible kuprove mambo yao waliishia kuomba msamaha kuhusu kuwaua galilei galeo na bruno.
mbona unapinga sio Mungu wa kwenye biblia?? ni Mungu wa Quran au??Wewe kichwa chako sina shaka kina dosari.. Hebu Soma Tena hapa (MBONA UMEKAZANA KUSEMA MUNGU WA KWENYE BIBLIA??...) Kichwani Kuna mafinyufinyuu humo... Soma hapa chini.
Umeelewa Sasa?
Haya Jibu Mkuki wa Moto huu..
"Wewe umefahamu vipi uwepo wa Mungu?"