Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mzee kujua ukweli wa kitu ambacho kipo based kwenye imani ni contradiction, Faith is the belief in the truth of something that does not require any evidence and may not be provable by any empirical or rational means.Ulivyosema ni sawa na ndio maana nkasema hakuna mtu atakuja akwambie ana imani na kitu fulani bila ya kuwa amejua ukweli au uzoefu wa nyuma na ndio maana mapema nilikudokeza kwamba ata hao mitume na manabii had revelation first on existence of God kabla ya kuanza kuamini au kueleza habari za Mungu.
So ukweli kwa maelezo haya nliyotoa lazima utangulie and a point of information,faith sio product ya ukweli instead ni that feeling or power you have on a situation after knowing the truth.
Mwisho kabisa nikushukuru kwa kila kitu nadhani kwa leo hapa ndo tamati
Ukishajua ukweli hautakua kwenye imani, una shift kwenye ujuzi ambao ushakua verified