Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,193
- 2,599
Swali la 1,2, na 4 yote yanajibiwa na sayansiUkinijibu haya maswali vizuri na nikakuelewa basii nitaamini Mungu hayupo kweli..
1)Kwanini binadamu anakufa?
2)Ni nini kinamfanya binadamu afe?
3)Binadamu akifa anaenda wapi?
4)Kwann binadamu awezi ishi milele?
Kama uli pay attention shuleni utakua na basics hata za kujibu hayo maswali
Swali la 3 ni illogical, kama unajua nini maana ya mtu kufa medically
Pia atheist sio mwanasayansi wala ha claim kujua yote
Atheist ni random guy anaye kataa kuhusu imani yako, ni simple tu kama hivyo
Sasa ukimwambie kwanini mtu haishi milele wakati shuleni ulifundishwa kuhusu entropy na unajua kadri umri unavyozidi kwenda cells mfu zina outnumber cell hai
Seriously unauliza swali ambalo hata biology textbook ya form 2 inakujibu?