The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith
Huyu hana lolote kasoma mahali anakuja kutisomea nasiKama hakuna Mungu binadamu na vitu vyote vilivyomo Duniani Who's creator [emoji21][emoji21][emoji21]
Asiyeamini Mungu atukaneMatusi ruksa?!
Great thinker, 🤝wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith.
Katika maelezo haya, kitu cha kwanza wanakubali hili neno imani lina tafsiri mbali mbali.Kama ni hivyo basi,anyone defining faith can't solely rely on this definition.
Creator kwa maana ya cause( natural source)ya kila kituUna maanisha nini unaposema 'Creator'?
Neno lipo vague sana, linaweza kuwa na maana tofauti tofauti kulingana na context
Kama 'creator' ni 'cause' ya ulimwengu, basi kwa maana hio tunakubali Ulimwengu una creator
Kwa kuwa cause ya ulimwengu ni mkusanyiko wa matukio yote ya asili wakati wa Planck epoch basi creator wa ulimwengu ni vyote vilivyomo ni Big bang
Kama 'Creator' ni natural selection na random mutations basi maisha kweli yana Creator
Una maana gani unaposema 'creator'?
binadamu anahitaji sababu na purpose ya kumfanya aishi.habari great thinkers.
Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu.
Walikuwa na sifa za kulia, kukasirika,wivu, njaa n.k.
Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Nadhani wote tunajuwa kuwa binadamu alikuwa anaishi pamoja na wanyama wengine hapo kale kabla ya kuanza kujitenga na kuanzisha ustaarabu wake,katika kipindi hiki cha maisha binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wengine.Ilimchukau mamilioni ya miaka biandamu kujitofautisha na wanyama wengine na kuanza kustaarabika.Katika kipindi hiki huyu binadamu alianzisha mambo mbalimbali ikiwemo Dini,mungu,sheria,taifa n.k.
There are no gods,no god in the universe,no nation,no money,no justice,no law,no human rights out side the common imagination of human beings.Mara baada ya kuapata ustaarabu binadamu aliweza kuanzisha mambo mengi ikiwe religion institutions,mungu n.k.
View attachment 1941529
YupoUlichomaanisha ni kuwa Hakuna Mungu.. kama hiyo siyo maana yako, kwanini usubiri watu waliokufa? Inamaana huamini Maandiko matakatifu ambayo yamethibitisha uwepo wa Mungu, na kama huamini Maandiko matakatifu ni wazi huna dini.. ungekuwa na dini wala usinge subiri waliokufa wakuletee taarifa maana dini zote zinamtaja Mungu, na nyingine zinaitaja miungu kuwa ndiye Mungu wao.
mkuu nimekutania nilichoandika hapo juu wala kisikusumbue, lakini ingefaa kama ungenijibu swali hili..
wewe binafsi unasemaje Mungu yupo au Hayupo? Kuwa mkweli na muwazi...
kasome comment #115Mbona comment ya 20 mmeiruka wote ninyi mawakala wa shetwani?
Jibuni ile hoja ndipo mje kuendelea kupinga uwepo wake Mungu.
Kwanza nieleweshe maana yako ya imani kwa mujibu wako unavyo ielewa.Katika maelezo haya, kitu cha kwanza wanakubali hili neno imani lina tafsiri mbali mbali.Kama ni hivyo basi,anyone defining faith can't solely rely on this definition.
Pili wanasema maana kuu inahusiana na kitenzi kuamini na maelezo yake ni kuwa kukubali ukweli wa jambo lisiloweza kuthibitishwa.
Swali ni hili: Jambo linaweza vipi kuwa la kweli alafu likakosa uthibitisho?
Unaweza kunisaidia hapa mkuu wanamanisha nini kwamba jambo ni la kweli alafu haliwezi kuthibitishwa. Wewe kwako hii huoni kama ni fallacy?
Tafsiri yangu ya neno faith naweza sema ni power, act of remaining unbiased after knowing the truth or believing that something will be ok based on prior experience. sorry nimeshindwa kukupa tafsiri ya kiswahili maana hizi lugha nimekuwa nazichanganya kwa mda ila naamini hamna kilicho haribika.Kwanza nieleweshe maana yako ya imani kwa mujibu wako unavyo ielewa.
Pili unachanganya mambo inaonesha hujaelewa vizuri hoja, hoja imesema kukubali jambo kua nilakweli bila uthibitisho, hoja haijasema jambo linaweza kua nila kweli bila uthibitisho. Sijui umenielewa kipande hicho?
Hiyo mbona ni maana ya uthibitisho sio imani?Tafsiri yangu ya neno faith naweza sema ni power, act of remaining unbiased after knowing the truth or believing that something will be ok based on prior experience. sorry nimeshindwa kukupa tafsiri ya kiswahili maana hizi lugha nimekuwa nazichanganya kwa mda ila naamini hamna kilicho haribika.
Na issue ni hivi umesema wanasema ni kukubali kuwa jambo ni la kweli bila uthibitisho si ndio? sasa doubt yangu ni hii hapa, sidhani kama kuna jambo linaweza kuwa la kweli alafu eti lisiwe na uthibitisho sasa hapo wanatakusema ni kitu gani kinawaongoza mpaka kufikia huo ukweli wanaodai ni ukweli?
Ulivyosema ni sawa na ndio maana nkasema hakuna mtu atakuja akwambie ana imani na kitu fulani bila ya kuwa amejua ukweli au uzoefu wa nyuma na ndio maana mapema nilikudokeza kwamba ata hao mitume na manabii had revelation first on existence of God kabla ya kuanza kuamini au kueleza habari za Mungu.Hiyo mbona ni maana ya uthibitisho sio imani?
Ukweli ni product inayotokana na kujua na sio imani, imani ni tumaini kua jambo hilo litakua kwa namna ambayo una wish liwe au unakadiria. Imani ni mashaka, Imani haina uhakika, penye lack of uhakika hapana ukweli.
Nimeongezea nyama kwenye comment yangu hapo juu kwa kuweka mifano zaidi
naongelea kukiprove existence sio siamini tunajua gravity ipo kwa sababu ukirusha kitu kinarud hakun prove nyinngine zaid ya hiyoHiko kitu ukikirusha kwenye zero gravity area hakishuki chini. Sasa unasemaje huwezi amini uwepo wa gravitational force.
what is mind??I dont believe in God
I dont believe in Jesus
I dont believe in Allah
I dont believe in Mohammed
I dont belive in Buddha
I dont believe in Krishna
I dont believe in Local beliefs
But i believe in Me
Only my mind
Only my way
Dont ask why?
mind ina exist wap kifup unabelieve kweny kitu ambacho ni cha kufikirika pengine kuliko hata MunguI dont believe in God
I dont believe in Jesus
I dont believe in Allah
I dont believe in Mohammed
I dont belive in Buddha
I dont believe in Krishna
I dont believe in Local beliefs
But i believe in Me
Only my mind
Only my way
Dont ask why?
hapo ilikua typing error mkuu nilikusudia niandike Me ila nisharekebisha maana Mind bado inaleta contradiction sana!what is mind??
What caused Big Bang?Una maanisha nini unaposema 'Creator'?
Neno lipo vague sana, linaweza kuwa na maana tofauti tofauti kulingana na context
Kama 'creator' ni 'cause' ya ulimwengu, basi kwa maana hio tunakubali Ulimwengu una creator
Kwa kuwa cause ya ulimwengu ni mkusanyiko wa matukio yote ya asili wakati wa Planck epoch basi creator wa ulimwengu ni vyote vilivyomo ni Big bang
Kama 'Creator' ni natural selection na random mutations basi maisha kweli yana Creator
Una maana gani unaposema 'creator'?