mim sio mdini but i'm sprituality...
sikatai big bang theory lakin nin kilichosababisha itokee,
wanasayansi wana declare energy can not be created no destroyed swali
ni je nan aliye create energy wakati haiwez ku be created?
sayansi na maendeleo yake yote kufkia kwenda sayari za mbali lakini bado imeshindwa kutoa uhai hata
kwa kiumbe kama sisimizi. Wakati inadeclare tumetokea kwa kuzuka hawa scholars wanaojiita ni smart wameshindwa
kutengeza kiumbe chochote cha mfano na kukipa uhai kuprove huko kuzuka kulitokeaje.Kwahiyo kuzuka kumekuwa smart kuliko wanasayansi??
sayansi haiwezi jibu maswali mengi ukiingia in deep.
'Spirituality' ina maana gani kwako?
Umeishia tu hapo, haitoshi kuky define wewe ni nani?
Una amini katika Mungu wa kidini, au tafsiri yako ya neno Mungu ni ipi
Au unaamini katika roho isiyokufa?
Twambie wewe ni nani tujue tuna deal na mtu wa aina gani
Pia, naona umekua trapped kwenye 'God of the gap fallacy'
Hoja za namna hii,
Kama Mungu hayupo kwanini kuna hiki na kile
Sayansi haina uwezo wa kujibu kila swali kwenye lifetime yako
Sayansi ya progressive,hatua kwa hatua inatupa majibu
Mpaka hivi tunavyofahamu sasa ni zao la miaka mingi, zao la wenye busara waliotutangulia
Zao la wakristo, waislamu na non believers ambao waliacha imani na mitazamo yao walipofika kwenye sayansi
Unapotaka kuthibitisha uhalali wa imani yako kwa ku point gape lililipo kwenye sayansi ni makosa
Sayansi, haiwezi kuelezea 99% ya jinsi gani ubongo unavyofanya kazi
Tunafahamu 1% tu, kutumia hili gape sio wewe tu hata mimi naweza sema kwenye kila ubongo wa binadamu kuna 'vijitu vidogo vidogo' Vinavyotengeneza ufahamu
Wala sina ushahidi wowote wa ninachosema
Unapo uliza energy imetokea wapi, ushawahi tenga mda wako na kujifunza kuhusu Casmir effect
Unafahamu kwamba, notion ya absolutely empty space au vaccum haipo
Vacuum ni bahari ya virtual particles zinazo tokea na kupotea kila sekunde, haijawahi kuwa empty na ndio origin ya ordinary particles zilizopo
Na hio sio theory tu, ni result ya maabara
Na haina ulazima wowote wa ku make sense kwako, kama huwezi tenga mda wa kufanya research
Kukipa kiumbe uhai maana yake nini?
Hebu elezea hata procedure unayotaka ifanyike?
Ushawahi sikia kuhusu GMO au cloning?
Au unataka wanasayansi wa design kiumbe hai out of thin air?
Hata wanasayansi wakishidwa kuumba kiumbe unachotaka kivipi kuna thibitisha imani yako?
Hata kama sijui squre ya 4 kwanini iwe 1?
Pia unaongea kama mtu ambaye hajawahi kusoma biological evolution
Possibly unachanganya biological evolution na historia ya chimpanzee na home sapience uliyosoma kwenye history
Kwenye historia ulionyeshwa just tip of the iceberg
Ukisoma evolution ukiwa open minded utagundua kwanini Charles Darwin anaheshima kubwa kwenye Biology kama Einsten kwenye Physics
Na ina applications kila sehemu mpaka kwenye computer science
Nikikwambia tunaweza kupata software yenye uwezo wa kufanya brain surgery kwa mafanikio bila ya kuitengeneza (kui program) utaamini?
Ushawahi sikia kuhusu Genetic programming?
Kivipi tunaweza pata high quality software kwa ku apply principle ya natural selection tukianza na trivial programs zisizoweza fanya chochote kile useful
Ndio maana kuna msemo unasema 99% wanaopinga evolution ni wale ambao hawajawahi soma kuhusu evolution