NAKURUHUSU utumie hizo principal zako za mabang theory sijui nini nini, na Mimi Niruhusu nitumie Neno la Mungu kupitia Biblia Takatifu.
Ukitaka mambo ya dini watafute wadini.. ukitaka kuthibitishiwa Mungu Yupo nipo tayari kukuthibitishia.
Karibu mpendwa.
Moja ya kati ya silaha kubwa ya ku win discussion yoyote ile ni 'research'
Research sio tu ya unachopanga kuzungumza, bali pia wanachopanga kuzungumza wengine
Sasa wewe hata kutamka neno 'Big Bang' ni mtihani
Nikizungumza kuhusu Space time inflation au Hubble law si utaishia kupinga tu bila hata kujua nazungumzia nini?
Halafu hizi sio principle zangu, ni decades ya watu smart waliokuwepo kabla yetu bila kujali imani zao
Hujakatazwa kutumia neno lako la mungu, point ni kwamba tunataka uthibitishe Kwanza uhalali wa hilo neno lako la Mungu
Mchungaji kibwetele alitumia hilo hilo neno la Mungu kuchoma waumini wake moto
Makundi ya kigaidi yanatumia uislam ku win mitazamo yao ya kisiasa hata kama Quran hai support, nao wana neno lao la Mungu
Wasabato masalia walitaka kupanda ndege bila nauli wala passports kwa kutumia neno lao la mungu
So ku avoid matatizo ya namna hio thibitisha kwanza uhalali wa neno lako la Mungu
Tuonyeshe kivipi ni best candidate wa ku address hili swali
Hatuwezi kukupa freedom tu