Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Sipingani na mleta mada wala sijaribu kumuunga mkono ila nachotaka kusema kila mtu amepewa mind na aitumie hiyo mind yake kum-guide katika kipindi chote atakachokuwa hai hapa duniani kwa maana maisha ya mtu yoyote tunayoyaona kwa nje ni matokeo ya kilichopo ndani yake kama Mleta mada anaamini hamna mungu basi aendelee kuamini hivyo at his own risk or advantage.
 
mim sio mdini but i'm sprituality...
sikatai big bang theory lakin nin kilichosababisha itokee,
wanasayansi wana declare energy can not be created no destroyed swali
ni je nan aliye create energy wakati haiwez ku be created?
sayansi na maendeleo yake yote kufkia kwenda sayari za mbali lakini bado imeshindwa kutoa uhai hata
kwa kiumbe kama sisimizi. Wakati inadeclare tumetokea kwa kuzuka hawa scholars wanaojiita ni smart wameshindwa
kutengeza kiumbe chochote cha mfano na kukipa uhai kuprove huko kuzuka kulitokeaje.Kwahiyo kuzuka kumekuwa smart kuliko wanasayansi??
sayansi haiwezi jibu maswali mengi ukiingia in deep.
'Spirituality' ina maana gani kwako?
Umeishia tu hapo, haitoshi kuky define wewe ni nani?

Una amini katika Mungu wa kidini, au tafsiri yako ya neno Mungu ni ipi

Au unaamini katika roho isiyokufa?
Twambie wewe ni nani tujue tuna deal na mtu wa aina gani

Pia, naona umekua trapped kwenye 'God of the gap fallacy'

Hoja za namna hii,
Kama Mungu hayupo kwanini kuna hiki na kile

Sayansi haina uwezo wa kujibu kila swali kwenye lifetime yako

Sayansi ya progressive,hatua kwa hatua inatupa majibu

Mpaka hivi tunavyofahamu sasa ni zao la miaka mingi, zao la wenye busara waliotutangulia

Zao la wakristo, waislamu na non believers ambao waliacha imani na mitazamo yao walipofika kwenye sayansi

Unapotaka kuthibitisha uhalali wa imani yako kwa ku point gape lililipo kwenye sayansi ni makosa

Sayansi, haiwezi kuelezea 99% ya jinsi gani ubongo unavyofanya kazi

Tunafahamu 1% tu, kutumia hili gape sio wewe tu hata mimi naweza sema kwenye kila ubongo wa binadamu kuna 'vijitu vidogo vidogo' Vinavyotengeneza ufahamu

Wala sina ushahidi wowote wa ninachosema

Unapo uliza energy imetokea wapi, ushawahi tenga mda wako na kujifunza kuhusu Casmir effect

Unafahamu kwamba, notion ya absolutely empty space au vaccum haipo

Vacuum ni bahari ya virtual particles zinazo tokea na kupotea kila sekunde, haijawahi kuwa empty na ndio origin ya ordinary particles zilizopo

Na hio sio theory tu, ni result ya maabara
Na haina ulazima wowote wa ku make sense kwako, kama huwezi tenga mda wa kufanya research

Kukipa kiumbe uhai maana yake nini?

Hebu elezea hata procedure unayotaka ifanyike?

Ushawahi sikia kuhusu GMO au cloning?
Au unataka wanasayansi wa design kiumbe hai out of thin air?

Hata wanasayansi wakishidwa kuumba kiumbe unachotaka kivipi kuna thibitisha imani yako?

Hata kama sijui squre ya 4 kwanini iwe 1?

Pia unaongea kama mtu ambaye hajawahi kusoma biological evolution

Possibly unachanganya biological evolution na historia ya chimpanzee na home sapience uliyosoma kwenye history

Kwenye historia ulionyeshwa just tip of the iceberg

Ukisoma evolution ukiwa open minded utagundua kwanini Charles Darwin anaheshima kubwa kwenye Biology kama Einsten kwenye Physics

Na ina applications kila sehemu mpaka kwenye computer science

Nikikwambia tunaweza kupata software yenye uwezo wa kufanya brain surgery kwa mafanikio bila ya kuitengeneza (kui program) utaamini?

Ushawahi sikia kuhusu Genetic programming?
Kivipi tunaweza pata high quality software kwa ku apply principle ya natural selection tukianza na trivial programs zisizoweza fanya chochote kile useful

Ndio maana kuna msemo unasema 99% wanaopinga evolution ni wale ambao hawajawahi soma kuhusu evolution
 
mim sio mdini but i'm sprituality...
sikatai big bang theory lakin nin kilichosababisha itokee,
wanasayansi wana declare energy can not be created no destroyed swali
ni je nan aliye create energy wakati haiwez ku be created?
sayansi na maendeleo yake yote kufkia kwenda sayari za mbali lakini bado imeshindwa kutoa uhai hata
kwa kiumbe kama sisimizi. Wakati inadeclare tumetokea kwa kuzuka hawa scholars wanaojiita ni smart wameshindwa
kutengeza kiumbe chochote cha mfano na kukipa uhai kuprove huko kuzuka kulitokeaje.Kwahiyo kuzuka kumekuwa smart kuliko wanasayansi??
sayansi haiwezi jibu maswali mengi ukiingia in deep.
'Spirituality' ina maana gani kwako?
Umeishia tu hapo, haitoshi kuky define wewe ni nani?

Una amini katika Mungu wa kidini, au tafsiri yako ya neno Mungu ni ipi

Au unaamini katika roho isiyokufa?
Twambie wewe ni nani tujue tuna deal na mtu wa aina gani

Pia, naona umekua trapped kwenye 'God of the gap fallacy'

Hoja za namna hii,
Kama Mungu hayupo kwanini kuna hiki na kile

Sayansi haina uwezo wa kujibu kila swali kwenye lifetime yako

Sayansi ni progressive,hatua kwa hatua inatupa majibu

Mpaka hivi tunavyofahamu sasa ni zao la miaka mingi, zao la wenye busara waliotutangulia

Zao la wakristo, waislamu na non believers ambao waliacha imani na mitazamo yao walipofika kwenye sayansi

Unapotaka kuthibitisha uhalali wa imani yako kwa ku point gape lililipo kwenye sayansi ni makosa

Sayansi, haiwezi kuelezea 99% ya jinsi gani ubongo unavyofanya kazi

Tunafahamu 1% tu, kutumia hili gape sio wewe tu hata mimi naweza sema kwenye kila ubongo wa binadamu kuna 'vijitu vidogo vidogo' Vinavyotengeneza ufahamu

Wala sina ushahidi wowote wa ninachosema

Unapo uliza energy imetokea wapi, ushawahi tenga mda wako na kujifunza kuhusu Casmir effect

Unafahamu kwamba, notion ya absolutely empty space haipo

vacuum ni bahari ya virtual particles zinazo tokea na kupotea kila sekunde, haijawahi kuwa empty na ndio origin ya ordinary particles zilizopo

Na hio sio theory tu, ni result ya maabara
Na haina ulazima wowote wa ku make sense kwako, kama huwezi tenga mda wa kufanya research

Kukipa kiumbe uhai maana yake nini?

Hebu elezea hata procedure unayotaka ifanyike?

Ushawahi sikia kuhusu GMO au cloning?
Au unataka wanasayansi wa design kiumbe hai out of thin air?

Hata wanasayansi wakishidwa kuumba kiumbe unachotaka kivipi kuna thibitisha imani yako?

Hata kama sijui squre ya 4 kwanini iwe 1?

Pia unaongea kama mtu ambaye hajawahi kusoma biological evolution

Possibly unachanganya biological evolution na historia ya chimpanzee na home sapience uliyosoma kwenye history

Kwenye historia ulionyeshwa just tip of the iceberg

Ukisoma evolution ukiwa open minded utagundua kwanini Charles Darwin anaheshima kubwa kwenye Biology kama Einsten kwenye Physics

Na ina applications kila sehemu mpaka kwenye computer science

Nikikwambia tunaweza kupata software yenye uwezo wa kufanya brain surgery kwa mafanikio bila ya kuitengeneza (kui program) utaamini?

Ushawahi sikia kuhusu Genetic programming?
Kivipi tunaweza pata high quality software kwa ku apply principle ya natural selection tukianza na trivial programs zisizoweza fanya chochote kile useful

Ndio maana kuna msemo unasema 99% wanaopinga evolution ni wale ambao hawajawahi soma kuhusu evolution
 
Kila mtu atabaki na anachokiamini mpaka pale kifo kitakapompa jawabu sahihi.

Ukiamini Mungu yupo ni sahihi. Ukimini hayupo pia ni sahihi.
Hakuna hoja ya maana na yenye mashiko(ya kisayansi) imewahi kuthibitisha kutokuwepo kwa mungu. Labda dini imejitahidi kwa kiasi chake kushawishi.
 
Kama hakuna Mungu binadamu na vitu vyote vilivyomo Duniani Who's creator 😣😣😣
Ona, ishu ya kwamba Mungu kaumba ulimwengu hayo ni madai, uthibitisho gani ambao unao unaothibitisha?

Wait.. kama unafikiria jibu ni vitabu vya dini basi tambua kua Holy books sio uthibitisho hizo ni claims. Hoja za kusema design, beauty, morality, au intelligence nazo sio ushahidi, ni kushindwa kwa watu kufikiria outside the box of their religions.

Comsmological au ontological arguments sio ushahidi wa kuthibitisha Mungu yupo, hayo ni maneno ambayo yalijaribu kumfafanua Mungu katika taswira ya existence

Mpaka hapo ushahidi/uthibitisho ni upi ambao ulishawahi kutolewa kuthibitisha Mungu yupo nje ya hivyo vitu nilivyokutajia?
 
Unawaza kwa sauti sana jombaa!

Ni kweli ulichosema there are no gods but God does exist.

Yes, umetoa maelezo mazuri kulingana na mtazamo wako.So,ni muda nami naomba nitumie sehemu kidogo kuprove kwamba God does exist.Mind you! I won't reference in any religious book, instead I will try to draw my conclusion based on simple argument.

Some philosophers do believe on existence of phyiscal world and spiritual world. I will not tell you what they say but try to visit how idealists conceptualize this world .

Sasa ni wakati wangu kuprove kwamba God does exist. The truth is, wote ni mashaidi kwamba evil and goodness do exist. Sasa kama haya yapo ni mwanadamu yupi kaonyeshwa kwamba ndo yupo nyuma ya uwepo wa hivi vitu viwili?

Kuhitimisha sikutaka nifanye reference kwenye religious books najua bado ingekuwa ngumu kwako kuelewa but guess what wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith.
Ebu nipe mchanganuo wa sifa za huyo Mungu wako ambaye unamuamini kua yupo nijue ana sifa zipi

Maana ukiniambia evil ni part ya hoja inayothibitisha huyo Mungu yupo basi huyu atakua ni Mungu wa kitofauti kidogo na ambaye nimekua nikimsikia akihubiriwa na wa watu wengi hususani abrahamic religion.

Kwasababu sifa ya kuu ya Mungu wao ni mwenye upendo wote, sasa mwenye upendo wote hachangamani na evil, evil mara nyingi ni sifa ambayo nimeiona akipewa shetani.

Kwa hiyo mimi naomba udadavue kidogo maana ya Mungu kisha unipe na sifa zake ndio tumjadili kimapana zaidi
 
Sasa huo uliofanya ndio Upumbavu wa kiwango cha juu

Anayesema Mungu hayupo ni Mpumbavu, una maana ya Mungu yupi?

Kwa muislamu, Mungu wako wewe hayupo, na sio tu Mpumbavu bali ni Kafiri

Kila Mtu aki 'quote' kitabu chake cha dini tutaona vichekesho humu

Naweza nikaandika riwaya ya kufikirika, kisha katika kurasa moja wapo nikasema Asiye amini matukio yote na visa vyote ndani ya hii riwaya ni Fala

Kisha mashabiki kindaki ndaki wa kitabu changu, ambao tu assume waliaminishwa juu ya hii riwaya tangu wakiwa wadogo ( indoctrinated)

Waki quote hio kurasa na kukuita wewe, ambaye huamini juu ya uhalisia wa riwaya yangu, Fala

Je kweli utakua ni Fala au wao ndio mafala?

Hii ni hoja yako ile ile,this time ina run backwards

Ubaya wa believers kama nyie ni kwamba, hata debates zilizojaa mtandaoni kuhusu mada kama hizi hamzifatilii na kuona belivers wengine wana debate vipi

Huwezi tumia hoja za namna hii, ni za kitoto sana

Hizi unatumia kanisani ukiwa na wapendwa wenzako
Takataka iliyofinyangwa kutoka kwenye udongo na kupewa uhai na ufahamu, takataka iliyojaa uchafu ndani yake, takataka iliyopewa nafasi ya kuishi si zaidi ya miaka 70 ikizidi sana labda miaka 120, takataka hiyo sababu tu imejifunza kusoma na kuandika eti inasimama na kusema, "hakuna MUNGU".

Like seriously hakuna MUNGU?

Let me tell you this you foolish man. GOD's existence is logical and I can prove that to you, but because you are a fool I don't have time to prove anything to fools.

Fools can go to school and be educated but they can never attain the knowledge.

Hata kama mpumbavu atakuwa na PhDs zaidi ya 10 lakini kamwe upumbavu wake hauwezi kumtoka.
 
'Spirituality' ina maana gani kwako?
Umeishia tu hapo, haitoshi kuky define wewe ni nani?

Una amini katika Mungu wa kidini, au tafsiri yako ya neno Mungu ni ipi

Au unaamini katika roho isiyokufa?
Twambie wewe ni nani tujue tuna deal na mtu wa aina gani

Pia, naona umekua trapped kwenye 'God of the gap fallacy'

Hoja za namna hii,
Kama Mungu hayupo kwanini kuna hiki na kile

Sayansi haina uwezo wa kujibu kila swali kwenye lifetime yako

Sayansi ni progressive,hatua kwa hatua inatupa majibu

Mpaka hivi tunavyofahamu sasa ni zao la miaka mingi, zao la wenye busara waliotutangulia

Zao la wakristo, waislamu na non believers ambao waliacha imani na mitazamo yao walipofika kwenye sayansi

Unapotaka kuthibitisha uhalali wa imani yako kwa ku point gape lililipo kwenye sayansi ni makosa

Sayansi, haiwezi kuelezea 99% ya jinsi gani ubongo unavyofanya kazi

Tunafahamu 1% tu, kutumia hili gape sio wewe tu hata mimi naweza sema kwenye kila ubongo wa binadamu kuna 'vijitu vidogo vidogo' Vinavyotengeneza ufahamu

Wala sina ushahidi wowote wa ninachosema

Unapo uliza energy imetokea wapi, ushawahi tenga mda wako na kujifunza kuhusu Casmir effect

Unafahamu kwamba, notion ya absolutely empty space haipo

vacuum ni bahari ya virtual particles zinazo tokea na kupotea kila sekunde, haijawahi kuwa empty na ndio origin ya ordinary particles zilizopo

Na hio sio theory tu, ni result ya maabara
Na haina ulazima wowote wa ku make sense kwako, kama huwezi tenga mda wa kufanya research

Kukipa kiumbe uhai maana yake nini?

Hebu elezea hata procedure unayotaka ifanyike?

Ushawahi sikia kuhusu GMO au cloning?
Au unataka wanasayansi wa design kiumbe hai out of thin air?

Hata wanasayansi wakishidwa kuumba kiumbe unachotaka kivipi kuna thibitisha imani yako?

Hata kama sijui squre ya 4 kwanini iwe 1?

Pia unaongea kama mtu ambaye hajawahi kusoma biological evolution

Possibly unachanganya biological evolution na historia ya chimpanzee na home sapience uliyosoma kwenye history

Kwenye historia ulionyeshwa just tip of the iceberg

Ukisoma evolution ukiwa open minded utagundua kwanini Charles Darwin anaheshima kubwa kwenye Biology kama Einsten kwenye Physics

Na ina applications kila sehemu mpaka kwenye computer science

Nikikwambia tunaweza kupata software yenye uwezo wa kufanya brain surgery kwa mafanikio bila ya kuitengeneza (kui program) utaamini?

Ushawahi sikia kuhusu Genetic programming?
Kivipi tunaweza pata high quality software kwa ku apply principle ya natural selection tukianza na trivial programs zisizoweza fanya chochote kile useful

Ndio maana kuna msemo unasema 99% wanaopinga evolution ni wale ambao hawajawahi soma kuhusu evolution
Hao genetic modified organism tiali wanakuwepo huwez modify kitu hakipo cloning pia kuna cell ya kufanyia hiyo cloning,
Si amin katika Mungu wa dini yeyote naamin katika Mungu ambaye ni universal counciousness ambaye yeye ndio energy and we are the enegy.
Hiyo biological evolution nimeisoma na theories zake zote sita ha ziendi kweye chanzo chake ni nin kimefanya itokee...
Sina shaka na hizo software zenye high computing power na memory ndio maana kuna swali linaulizwa kama artifial intelligence itaipita human intelligence?
Logic za kina socrate, plato na aristotle nazan hazina uhalisia hapa.
Jarbu kuwaza what is realy ? kama realy is something which you can see, sense or hear then realy is electrical signal inteprated by your brain.
kuna vitu vingi ambavyo brain zetu haziwez kuzinterpret.
Jarbu kupitia kuhusu R complex kwenye ubongo wako imetokea wap bado kunautata mwingi mno hata kwenye hiyo evolution.
mimi sipingi hiyo evolution nachopinga ni something to arise from nothing hata sayansi inapingana na hilo.
Hakuna circle ambayo inazunguka tu bila kuwa na chanzo chake.
Evoluion haionyeshi what was the cause of it.
I believe in everything until it proved wrong.
Sayansi haijaprove kam Mungu hayupo.
 
Which before? Your thinking is much based on time which was created by God himself.
Swali la msingi hujajibu hizo hoja za time katika harakati za kumtetea mungu mara nyingi zinapwaya, kama hakuna wakati huwezi kupata tukio
 
Kama hakuna Mungu binadamu na vitu vyote vilivyomo Duniani Who's creator [emoji21][emoji21][emoji21]
Kivip wakati vitu vinatokea tuu , swali kabla ya sisi kuwepo homo erectus nao walikua na ibada zao na mungu ambaye sie huyu tunayemuamini so mungu yupi ameumba
 
Hata mawazo kwamba hakuna Mungu nayo ni ya kibinadamu. Kwa hiyo si lazima yawe sahihi. Tena hayo ndiyo hayana mantiki kabisa, maana yanadhani kukosa ushahidi wa kitu ndio ushahidi kwamba kitu hicho hakipo.
Kwa hiyo kukosa ushahidi wa uwepo wa kitu ndio ushahidi wa uwepo wa kitu?

Kwamba watu tukubali kua kitu fulani kipo bila uthibitisho kwasababu hata kama ushahidi wa kuonesha kipo haupo haitathibitisha kua hakipo?

Let me guess your religion, let me consider you as a christian. Unaelewa kwa imani ya kiislamu ina aminika kwamba muhamad (saw) alipaa angani kwa farasi mwenye mabawa (buraq) ambapo huko alionana na kina adam, yesu, yohana mbatizaji na manabii wengine?

Bila shaka utafikiria kua kama habari hiyo ni ya kweli tafsiri yake ni kwamba muhamad ni mtume wa kweli na quran ni neno la mungu, utapinga? Sisemi kwamba ni ya kweli bali kulingana na hoja yako, lakini kama ni kweli basi hiyo pia huoni itathibitisha islam ni dini ya kweli?

Na uislamu ukiwa dini ya kweli maana yake ukristo ni utapeli tu

Sasa una uthibitisho wowote unao onesha muhamad hakupaa kwenda mbinguni na kuonana na Mungu? Kwasababu kama huwezi kuthibitisha tukio hilo halikutokea basi unatakiwa ukubali kua lilitokea si ndio?
 
Ndio ulichosema ni kweli kwamba nilitakiwa nianze na tafsiri ya neno Mungu.

Tafsiri uliyotoa ni sahihi kulingana na huyo mwanasayansi anavyoeleza lakini tafsiri iliyokuwa bora zaidi naweza sema hivyo inapatikana kwenye vitabu vya kidini kitu ambacho toka mwanzo nlikataa kuvitumia kama reference

Neno Mungu sio kazi ya wanasayansi ndio maana naweza sema hiyo tafsiri yake inaweza isiwe bora. Wanasayansi wamepata hili neno nadhani kwa watu wanaoitwa theologists ambao misingi ya maisha yao na uelewa wa hii dunia wamekuwa wakiongozwa na Imani kitu ambacho kwa wanasayansi na wanafalsafa wanakataa pale wanapokuwa wanatafuta kujua ukweli

Ukweli tunaotafuta hapa ni juu ya kuwepo kwa Mungu. Ukitumia misingi ya kisayansi trust me ukweli utakuwa mgumu kupatikana vivyo hivyo ukifanya reasoning bado utakwama. Kwanini nasema itakuwa ngumu ni kwa sababu utakuwa unajaribu kutafuta ukweli ambao tayari upo

Mwanzo kabisa walioweza kuja na vitu tangible kuprove existence of God were prophets but kwa sasa hawa watu hatuna tena but we have their message

Kuhitimisha ni kuwa naweza nsiweze kuprove hili kwako kwa sasa but trust me after two years I will be back here with something tangible to prove existence of God

Thank You!
Kwa hiyo hata hoja yako kuhusu uthibitisho wa kuonesha Mungu yupo ulikua based kwenye imani?
 
Hata mawazo kwamba hakuna Mungu nayo ni ya kibinadamu. Kwa hiyo si lazima yawe sahihi. Tena hayo ndiyo hayana mantiki kabisa, maana yanadhani kukosa ushahidi wa kitu ndio ushahidi kwamba kitu hicho hakipo.
Tatizo watu wengi wanatafuta ushahidi wa kumuona MUNGU Physically, huo haupo, Huwezi kumuona MUNGU Ndani ya uumbaji wake, MUNGU Yuko nje ya Uumbaji wake.
Swali rahisi ni moja, nini kilifanya mwanadamu awe superior ya wanyama wote katika kujitawala na kutawala?
 
Swali la msingi hujajibu hizo hoja za time katika harakati za kumtetea mungu mara nyingi zinapwaya, kama hakuna wakati huwezi kupata tukio
Time ni nin? Time ina exist only in our mind iko deep programmed kweny mind tu.
Only kuna present ambayo ndio real ukisema jana iko wap? ni memory tu tulizonazo.
kesho ni only imagination.
Time consious sio halisi everything exist at per lakini uwezo wetu wa kuperceive matukio uko kwenye series hatuwezi kuyaperceive at once
due to nature of our body. kwa vitu ambavyo sio hai time sio realy ni sisi tunaozani time ni realy.
ukiwa unaangalia movie yote ina exist at once lakini uwezo wako wakuiperceive ni series wise
 
Kivip wakati vitu vinatokea tuu , swali kabla ya sisi kuwepo homo erectus nao walikua na ibada zao na mungu ambaye sie huyu tunayemuamini so mungu yupi ameumba
Huyo Homo erectus wewe ulishawahi kumuona au ni conspiracy theory ? Kama unamaanisha Manyani hao waliumbwa na Mungu aliyetuumba sisi ila wao walinyimwa akili
 
Hapana mkuu Mungu sio mbaya bali anatambua uwepo wa ubaya

Ubaya umekuwa dedicated kwa devil so mbali na uwepo wa Mungu usisahau kwamba shetani pia yupo

Pointi yangu ilikuwa hii hapa! namna pekee ya kuprove uwepo wa Mungu ni kutenda matendo mema na ndilo jibu jepesi unaweza toa kwa mtu ambaye sio beliver.

Tofauti na hapo ukianza kumsomesha vifungu vya vitabu vya kidini mtakesha make dini haina mpango wa kuaccommodate reasoning na sababu kubwa ni kuwa vile vitabu vinaeleza ukweli kwahiyo no room for reasoning instead we do believe, that is when faith take over.
Mambo mema yanapaswa yawe na sifa gani?

Hili ni neno haliwezi kutumika universal, yani haiwezekani jambo lililo jema kwa mmoja liwe hivyo hivyo kwa mwingine. Consider kua ulaji wa nguruwe kwa mlokole ni jambo jema. Sasa ikitokea mlokole kapeleka zawadi ya kitoweo cha nguruwe kwenye sherehe za kiislamu, na wakati huo ulaji wa nguruwe si jambo jema katika uislamu, je hapo utatumia mzani upi kulipima kujua ni jema au baya?
 
Back
Top Bottom