Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Kuhusu kuambatanisha picha hapa sidhani kama naweza fanya hivyo na ukweli ni kwamba hamna picha yoyote ambayo niliweza kupiga kipindi nimeviona hivyo viumbe lakini ukiniuliza nikupe description kidogo I can do it for you.Unaweza uka attach picha ya jini mmoja mnayefahamiana hapa
Kabla sija take risk ya kutoswa baharini
Mkuu inaonekana uko kisayansi zaidi hautaki kusikia habari yoyote ileKutoswa baharini ukiwa na maana ipi?
Na umejipangaje?
Una oxygen cylinder yenye ujazo kiasi gani kwa ajili ya kufanya hilo jaribio?
Ni muda ambao nimejipa ili niweze kuandaa na kuweka maelezo yangu vizuri ili nionyeshe kwamba Mungu yupo.Sema sina uhakika kama ntakuwa nimekupa jibu zuriMkuu naweza kuuliza 'why two years?'
uchawi unausema hauna ukweli wowote?Habari za majini kwa kumaanisha ghosts au misukule au some sort of uchawi nk. hizo habari hazina ukweli wowote.
Watu wengi wanasema haya sio kwa uthibitisho bali kwa personal experience ambayo nayo hiyo hawajaelewa ni nini kisababishi. Nitakupa mfano mmoja ambao ni kisa cha kweli
Kipindi ambacho niko shuleni nilibahatika kuishi hostel na room ambayo nilikua nalala nilikua nashea kitanda na mtoto wa mchungaji
Siku moja usiku tukiwa tumelala likapita tetemeko, lilitikisa kwa muda mrefu kidogo, wanafunzi wengi tulitoka nje kuhofia kubomokewa na nyumba.
Lakini kwa bahati mbaya rafiki yetu mlokole hakupata bahati ya kutoka, kesho yake asubuhi akawa anatusimulia kua usiku alitembelewa na wachawi ambao walikua wanatikisa kitanda huku na huku kila kona ya kitanda.
Jamaa akaenda mbali kabisa kusema kua riho mtakatifu alimuingia na akajikuta amesimama na kuanza kufanya maombi yaluyichukua muda kidogo mpaka pale wachawi walipoishiwa nguvu na kukimbia.
Tukamuambia kua hawakua wachawi ilikua nj tetemeko, akabisha ikibidi aende kumuuliza mlokole mwenzie naye akasema ni kweli ilikua ni tetemeko.
***********
Sasa assume jamaa ndio hajaambiwa ukweli kua ni tetemeko, halafu aliona kabisa kitanda kinatikisika kwa macho yake hivi kulikua na sababu gani ya ziada ya kumuaminisha kua kua si wachawi na ukicheki hakuna mtu anayeonekana kukishikilia kitanda?
Ni muda ambao nimejipa ili niweze kuandaa na kuweka maelezo yangu vizuri ili nionyeshe kwamba Mungu yupo.Sema sina uhakika kama ntakuwa nimekupa jibu zuri
Mkuu unaweza kunidhibitisha sayansi yako nje ya sayansi?Usioonekana kwa macho ya kisayansi au vyovyote vile
Kwa kusema hivyo, tayari huhitaji sayansi ifanye chochote
So ni kama umejijibu tu Kuwa sayansi haina maelezo na hivyo vitu, kwa sababu haviwezi kuthibitishika kisayansi
Hatuwezi kuwa controllable environment ku prove uwepo wa jini au mzima kisayansi
Ushahidi kuhusu uwepo wa majini, uchawi, mizimu etc ume base kwenye hearsay
Kama tulivyosikia toka kwako kuwa umewahi kuwaona majini au mizimu,
Kuna 1M dollar prize kwa yoyote atakaye thibitisha uwepo wa hivyo vitu, mpaka sasa hakuna aliyeweza
Google hio prize, Nenda ka Prove
Au twambie ulikutana na hivyo viumbe kwenye mazingira gani, na sisi tufate hatua gani kuona ulichoona?
sayansi imeanzia wap?Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake
BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
Mkuu hiyo sio sayansi hiyo ni precausion ndogo tu unayo takiwa kumhakikishia huyo mtu kwa ajili ya usalama wake, unaniambia nijitose baharini bila kuzingatia usalama wangu endapo nitazama nikashindwa kupumua nikafa huoni kwamba nitakua ni mjinga kufata maneno yako bila kuhoji kwanza mazingira ya usalama?Mkuu inaonekana uko kisayansi zaidi hautaki kusikia habari yoyote ile
Kwamba unaulizia inahitajika Oxygen kiasi gani? jibu ni kwamba hakuna Oxygen inahitajika ila ni ujasiri wako tu na kama Mungu kapanga unaweza rejea salama au kikawa ndo kiama chako
Anyway,nafurahi kuona wewe kila jambo unataka liende kisayansi.Niulize kidogo mkuu.Hivi tofauti na sayansi katika maisha yako ya kila siku ni field ipi nyingine inakusaidia kupata maarifa?
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zakesayansi imeanzia wap?
Hujui unatak uthibitisho wa kisayans
Kama umeshindwa kujibu swali dogo kama hilo utaweza maarifa hayo makubwaHujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake
BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
Hivi wewe unaweza ukakaa ukasubiri uthibitisho wa kisayansi kuhusu Mungu na ukatarajia kupata jibu kabisa!Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake
BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
Mambo mengi sayansi haiwezi kuthibitisha ukiachana na uchawi sayansi pia haiwezi kuthibitisha spiderman yupo, na kwasababu sayansi haiwezi kuthibitisha spiderman, unicorn wapo basi tuseme vitu hivyo vipo ila ni sayansi tu haiwezi kuthibitisha vipo sindiyo?uchawi unausema hauna ukweli wowote?
Hapo ndio ulipo anzia kupotea, elimu ya uchawi ipo nje na sayansi na hivyo ni ngumu kuitambua na wala haihusishi sayansi kabisa katika kuitambua, sasa nitakushangaa kutumia sayansi kupima mambo mengine yasiyo hitaji sayansi. Sayansi sio kila kitu kwenye maisha .kila jambo na sehemu yake.
Mambo haya ni magumu sana ,mtaparuana bure tu pasipo kupata muafaka. Mnazungumzia elimu mbili tofauti kabisa na hivyo kuelewana ni vigumu mno. Mambo ya kiimani ni magumu na nitofauti na elimu ya kisayansi ilivyo,na hayahitaji elimu kubwa kuyaelewa.Yanahitaji imani tu, yaani kuamini kwanza ndo yanajizihirisha uwepo wake.
Scars hauamini na hata haujui uchawi utaaminije vitu vingine ambavyo huwezi hata kuvihisi kwa kutumia hiyo sayansi uliyonayo? Amin katika hicho unachoamin ia pia tambua kuna mengi yanayoendelea nje ya kile unachokiamini ww, ndio dunia inavyoenda, sio kila jambo utalifahamu, ukibahatika kujua jamabo moja tambua kuna moja lipo ambalo bado hujalijua.
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zakeKama umeshindwa kujibu swali dogo kama hilo utaweza maarifa hayo makubwa
Shida nikuwa sayansi iko limited na mitazamo yenu.Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake
BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
Hivi kwanini sayansi mmeipa kipaumbele kuwa ndio msingi wa uthibitisho tunao hitaji kutoka kwenye madai yenu?Hivi wewe unaweza ukakaa ukasubiri uthibitisho wa kisayansi kuhusu Mungu na ukatarajia kupata jibu kabisa!
Hivi unadhani mambo hayo ni typhoid au denguu kwamba utapeleka mkojo au haja kubwa ama chochote maabara kujua una amiba au korona?
Wewe binafsi unawezaje kuni dhibititishia sayansi yako nje ya sayansi ?
Anaye shauri hivi ndo yule aliyeshindwa kum-define mungu na sifa zakeShida nikuwa sayansi iko limited na mitazamo yenu.
Kwa kukusaidia maarifa Mengi hutayapata darasan wala kweny mifumo rasmi ya elimu.
Pitia angalau hata secret papers of Newtons
Nipe description mkuuKuhusu kuambatanisha picha hapa sidhani kama naweza fanya hivyo na ukweli ni kwamba hamna picha yoyote ambayo niliweza kupiga kipindi nimeviona hivyo viumbe lakini ukiniuliza nikupe description kidogo I can do it for you.
Ila kikubwa kuwa na uvumilivu majibu yapo njiani
Hiyo pseudoscience ina wahusu ninyi mnaokataa uwepo wa Mungu bila ushahidi ume mis-understand dhima yake.Anaye shauri hivi ndo yule aliyeshindwa kum-define mungu na sifa zake
Anayetoa huu ushauri kuhusiana na sayansi ndo yule aliyesema sayansi ya kileo ni ile ya pseudoscience ambayo inakuruhusu kukataa kitu pasipo uthibitisho
Hii ni hatari
Tatizo ni pale unapo taka sayansi ikupe kila jibu la usiyo yajua,yaani unataka kila kitu u prove kwa kutumia sayansi na ni kitu ambacho hakiwezekani.Mambo mengi sayansi haiwezi kuthibitisha ukiachana na uchawi sayansi pia haiwezi kuthibitisha spiderman yupo, na kwasababu sayansi haiwezi kuthibitisha spiderman, unicorn wapo basi tuseme vitu hivyo vipo ila ni sayansi tu haiwezi kuthibitisha vipo sindiyo?
Hata wewe huwezi kukuabali ukiambiwa thor ni mungu wa kweli hata kama aliye propose hoja alisema munguhuyo hathibitishiki kisayansi bali kwa namna nyingine ambayo wewe huwezi ukajua, unaweza kukubali kua yupo?
Go back to school and claim your fees, pseudoscience haihusiani na kukataa kitu bila uthibitishoHiyo pseudoscience ina wahusu ninyi mnaokataa uwepo wa Mungu bila ushahidi ume mis-understand dhima yake.
Ndio ninyi mnaodeclare mnafata misingi ya sayansi ambayo hata hamuijui pole.