Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Unaweza uka attach picha ya jini mmoja mnayefahamiana hapa

Kabla sija take risk ya kutoswa baharini
Kuhusu kuambatanisha picha hapa sidhani kama naweza fanya hivyo na ukweli ni kwamba hamna picha yoyote ambayo niliweza kupiga kipindi nimeviona hivyo viumbe lakini ukiniuliza nikupe description kidogo I can do it for you.

Ila kikubwa kuwa na uvumilivu majibu yapo njiani
 
Kutoswa baharini ukiwa na maana ipi?

Na umejipangaje?

Una oxygen cylinder yenye ujazo kiasi gani kwa ajili ya kufanya hilo jaribio?
Mkuu inaonekana uko kisayansi zaidi hautaki kusikia habari yoyote ile

Kwamba unaulizia inahitajika Oxygen kiasi gani? jibu ni kwamba hakuna Oxygen inahitajika ila ni ujasiri wako tu na kama Mungu kapanga unaweza rejea salama au kikawa ndo kiama chako

Anyway,nafurahi kuona wewe kila jambo unataka liende kisayansi.Niulize kidogo mkuu.Hivi tofauti na sayansi katika maisha yako ya kila siku ni field ipi nyingine inakusaidia kupata maarifa?
 
Habari za majini kwa kumaanisha ghosts au misukule au some sort of uchawi nk. hizo habari hazina ukweli wowote.

Watu wengi wanasema haya sio kwa uthibitisho bali kwa personal experience ambayo nayo hiyo hawajaelewa ni nini kisababishi. Nitakupa mfano mmoja ambao ni kisa cha kweli

Kipindi ambacho niko shuleni nilibahatika kuishi hostel na room ambayo nilikua nalala nilikua nashea kitanda na mtoto wa mchungaji

Siku moja usiku tukiwa tumelala likapita tetemeko, lilitikisa kwa muda mrefu kidogo, wanafunzi wengi tulitoka nje kuhofia kubomokewa na nyumba.

Lakini kwa bahati mbaya rafiki yetu mlokole hakupata bahati ya kutoka, kesho yake asubuhi akawa anatusimulia kua usiku alitembelewa na wachawi ambao walikua wanatikisa kitanda huku na huku kila kona ya kitanda.

Jamaa akaenda mbali kabisa kusema kua riho mtakatifu alimuingia na akajikuta amesimama na kuanza kufanya maombi yaluyichukua muda kidogo mpaka pale wachawi walipoishiwa nguvu na kukimbia.

Tukamuambia kua hawakua wachawi ilikua nj tetemeko, akabisha ikibidi aende kumuuliza mlokole mwenzie naye akasema ni kweli ilikua ni tetemeko.

***********
Sasa assume jamaa ndio hajaambiwa ukweli kua ni tetemeko, halafu aliona kabisa kitanda kinatikisika kwa macho yake hivi kulikua na sababu gani ya ziada ya kumuaminisha kua kua si wachawi na ukicheki hakuna mtu anayeonekana kukishikilia kitanda?
uchawi unausema hauna ukweli wowote?

Hapo ndio ulipo anzia kupotea, elimu ya uchawi ipo nje na sayansi na hivyo ni ngumu kuitambua na wala haihusishi sayansi kabisa katika kuitambua, sasa nitakushangaa kutumia sayansi kupima mambo mengine yasiyo hitaji sayansi. Sayansi sio kila kitu kwenye maisha .kila jambo na sehemu yake.

Mambo haya ni magumu sana ,mtaparuana bure tu pasipo kupata muafaka. Mnazungumzia elimu mbili tofauti kabisa na hivyo kuelewana ni vigumu mno. Mambo ya kiimani ni magumu na nitofauti na elimu ya kisayansi ilivyo,na hayahitaji elimu kubwa kuyaelewa.Yanahitaji imani tu, yaani kuamini kwanza ndo yanajizihirisha uwepo wake.

Scars hauamini na hata haujui uchawi utaaminije vitu vingine ambavyo huwezi hata kuvihisi kwa kutumia hiyo sayansi uliyonayo? Amin katika hicho unachoamin ia pia tambua kuna mengi yanayoendelea nje ya kile unachokiamini ww, ndio dunia inavyoenda, sio kila jambo utalifahamu, ukibahatika kujua jamabo moja tambua kuna moja lipo ambalo bado hujalijua.
 
Usioonekana kwa macho ya kisayansi au vyovyote vile

Kwa kusema hivyo, tayari huhitaji sayansi ifanye chochote

So ni kama umejijibu tu Kuwa sayansi haina maelezo na hivyo vitu, kwa sababu haviwezi kuthibitishika kisayansi

Hatuwezi kuwa controllable environment ku prove uwepo wa jini au mzima kisayansi

Ushahidi kuhusu uwepo wa majini, uchawi, mizimu etc ume base kwenye hearsay

Kama tulivyosikia toka kwako kuwa umewahi kuwaona majini au mizimu,

Kuna 1M dollar prize kwa yoyote atakaye thibitisha uwepo wa hivyo vitu, mpaka sasa hakuna aliyeweza

Google hio prize, Nenda ka Prove

Au twambie ulikutana na hivyo viumbe kwenye mazingira gani, na sisi tufate hatua gani kuona ulichoona?
Mkuu unaweza kunidhibitisha sayansi yako nje ya sayansi?
 
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake

BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
sayansi imeanzia wap?
Hujui unatak uthibitisho wa kisayans
 
Mkuu inaonekana uko kisayansi zaidi hautaki kusikia habari yoyote ile

Kwamba unaulizia inahitajika Oxygen kiasi gani? jibu ni kwamba hakuna Oxygen inahitajika ila ni ujasiri wako tu na kama Mungu kapanga unaweza rejea salama au kikawa ndo kiama chako

Anyway,nafurahi kuona wewe kila jambo unataka liende kisayansi.Niulize kidogo mkuu.Hivi tofauti na sayansi katika maisha yako ya kila siku ni field ipi nyingine inakusaidia kupata maarifa?
Mkuu hiyo sio sayansi hiyo ni precausion ndogo tu unayo takiwa kumhakikishia huyo mtu kwa ajili ya usalama wake, unaniambia nijitose baharini bila kuzingatia usalama wangu endapo nitazama nikashindwa kupumua nikafa huoni kwamba nitakua ni mjinga kufata maneno yako bila kuhoji kwanza mazingira ya usalama?

Ni sawa na wewe uende kwenye jamii nyingine ambayo huko wana abudu mungu tofauti na wako, mkafika kwenye mabishano ukahitaji uthibitishiwe huyo mungu kua yupo wakakuambia jitose baharini, utakubali kujitosa bila kuzingatia mazingira ya kiusalama?

Vipi kama ni conspiracy za kukuua kutokana na ubishi wako wa kuhoji maswali magumu yaliyo waudhi?
 
sayansi imeanzia wap?
Hujui unatak uthibitisho wa kisayans
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake

BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
 
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake

BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
Kama umeshindwa kujibu swali dogo kama hilo utaweza maarifa hayo makubwa
 
Hivi wewe unaweza ukakaa ukasubiri uthibitisho wa kisayansi kuhusu Mungu na ukatarajia kupata jibu kabisa!

Hivi unadhani mambo hayo ni typhoid au denguu kwamba utapeleka mkojo au haja kubwa ama chochote maabara kujua una amiba au korona?

Wewe binafsi unawezaje kuni dhibititishia sayansi yako nje ya sayansi ?
 
uchawi unausema hauna ukweli wowote?

Hapo ndio ulipo anzia kupotea, elimu ya uchawi ipo nje na sayansi na hivyo ni ngumu kuitambua na wala haihusishi sayansi kabisa katika kuitambua, sasa nitakushangaa kutumia sayansi kupima mambo mengine yasiyo hitaji sayansi. Sayansi sio kila kitu kwenye maisha .kila jambo na sehemu yake.

Mambo haya ni magumu sana ,mtaparuana bure tu pasipo kupata muafaka. Mnazungumzia elimu mbili tofauti kabisa na hivyo kuelewana ni vigumu mno. Mambo ya kiimani ni magumu na nitofauti na elimu ya kisayansi ilivyo,na hayahitaji elimu kubwa kuyaelewa.Yanahitaji imani tu, yaani kuamini kwanza ndo yanajizihirisha uwepo wake.

Scars hauamini na hata haujui uchawi utaaminije vitu vingine ambavyo huwezi hata kuvihisi kwa kutumia hiyo sayansi uliyonayo? Amin katika hicho unachoamin ia pia tambua kuna mengi yanayoendelea nje ya kile unachokiamini ww, ndio dunia inavyoenda, sio kila jambo utalifahamu, ukibahatika kujua jamabo moja tambua kuna moja lipo ambalo bado hujalijua.
Mambo mengi sayansi haiwezi kuthibitisha ukiachana na uchawi sayansi pia haiwezi kuthibitisha spiderman yupo, na kwasababu sayansi haiwezi kuthibitisha spiderman, unicorn wapo basi tuseme vitu hivyo vipo ila ni sayansi tu haiwezi kuthibitisha vipo sindiyo?

Hata wewe huwezi kukuabali ukiambiwa thor ni mungu wa kweli hata kama aliye propose hoja alisema munguhuyo hathibitishiki kisayansi bali kwa namna nyingine ambayo wewe huwezi ukajua, unaweza kukubali kua yupo?
 
Kama umeshindwa kujibu swali dogo kama hilo utaweza maarifa hayo makubwa
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake

BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
 
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake

BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
Shida nikuwa sayansi iko limited na mitazamo yenu.
Kwa kukusaidia maarifa Mengi hutayapata darasan wala kweny mifumo rasmi ya elimu.
Pitia angalau hata secret papers of Newtons
 
Hivi wewe unaweza ukakaa ukasubiri uthibitisho wa kisayansi kuhusu Mungu na ukatarajia kupata jibu kabisa!

Hivi unadhani mambo hayo ni typhoid au denguu kwamba utapeleka mkojo au haja kubwa ama chochote maabara kujua una amiba au korona?

Wewe binafsi unawezaje kuni dhibititishia sayansi yako nje ya sayansi ?
Hivi kwanini sayansi mmeipa kipaumbele kuwa ndio msingi wa uthibitisho tunao hitaji kutoka kwenye madai yenu?

Nikikuambia kitu cha uwongo hapa kua kipo utahitaji uthibitisho wa njia gani kua kipo?

Refer kwa madai yenu kua mungu yupo kwa njia ya kiroho, ingekua hivyo kwanini msiwe na jibu la universal mnapomuelezea mungu kwa imani zote wakati wote mnatumia imani za kiroho?

Kama imani ni njia thabiti ya kujua ukweli wa mungu, kwanza tulitegemea kuona kuwe na dini moja kwasababu imani ingewa link kuabudu Mungu mmoja as long as wote mmetumia imani

Pili kila kitu kinatakiwa kiwe considered kua kweli as long as kitahusishwa na imani ya kiroho. Kuwepo kwa dini nyingi za kiroho huku kila dini ikipingana na imani ya dini nyingine kunathibitisha kua imani sio njia sahihi kuufikia ukweli. so kama imani nayo inaweza kutupeleka kwenye majibu yasio sahihi kama sayansi point yako iko wapi?

Unaweza kuniambia kwanini hukubaliani na Mungu wa kigiriki thor kua yupo wakati naye yupo kwa ni imani ya kiroho?
 
Shida nikuwa sayansi iko limited na mitazamo yenu.
Kwa kukusaidia maarifa Mengi hutayapata darasan wala kweny mifumo rasmi ya elimu.
Pitia angalau hata secret papers of Newtons
Anaye shauri hivi ndo yule aliyeshindwa kum-define mungu na sifa zake

Anayetoa huu ushauri kuhusiana na sayansi ndo yule aliyesema sayansi ya kileo ni ile ya pseudoscience ambayo inakuruhusu kukataa kitu pasipo uthibitisho

Hii ni hatari
 
Kuhusu kuambatanisha picha hapa sidhani kama naweza fanya hivyo na ukweli ni kwamba hamna picha yoyote ambayo niliweza kupiga kipindi nimeviona hivyo viumbe lakini ukiniuliza nikupe description kidogo I can do it for you.

Ila kikubwa kuwa na uvumilivu majibu yapo njiani
Nipe description mkuu
 
Anaye shauri hivi ndo yule aliyeshindwa kum-define mungu na sifa zake

Anayetoa huu ushauri kuhusiana na sayansi ndo yule aliyesema sayansi ya kileo ni ile ya pseudoscience ambayo inakuruhusu kukataa kitu pasipo uthibitisho

Hii ni hatari
Hiyo pseudoscience ina wahusu ninyi mnaokataa uwepo wa Mungu bila ushahidi ume mis-understand dhima yake.
Ndio ninyi mnaodeclare mnafata misingi ya sayansi ambayo hata hamuijui pole.
Umeshindwa kujua sayansi imeanzia wap utajua misingi ya sayansi?
Realy science ipo na ina exist.
 
Mambo mengi sayansi haiwezi kuthibitisha ukiachana na uchawi sayansi pia haiwezi kuthibitisha spiderman yupo, na kwasababu sayansi haiwezi kuthibitisha spiderman, unicorn wapo basi tuseme vitu hivyo vipo ila ni sayansi tu haiwezi kuthibitisha vipo sindiyo?

Hata wewe huwezi kukuabali ukiambiwa thor ni mungu wa kweli hata kama aliye propose hoja alisema munguhuyo hathibitishiki kisayansi bali kwa namna nyingine ambayo wewe huwezi ukajua, unaweza kukubali kua yupo?
Tatizo ni pale unapo taka sayansi ikupe kila jibu la usiyo yajua,yaani unataka kila kitu u prove kwa kutumia sayansi na ni kitu ambacho hakiwezekani.
jibu lako ni kwamba hauwezi ukatambua uwepo wa Mungu kwa kuitumia hiyo sayansi, hayo mengine unayoyasema ni ya kwako mwenyewe,mm sijaongelea kina thor au unicorn

Mambo ya kiimani hauwezi kuyatambua hata kama ungekuwa na elimu ipi ya kidunia, kwa sababu yanavuka uelewa wa kawaida wa mwanadamu. Sayansi inajikita katika uwezo wa mwanadamu wa kufikiri na kutenda kimwili zaidi,na mambo yake yanaonekana na kushikika.

Sasa wewe umekazania elimu moja ambayo unaifahamu na kuzani kwamba elimu zingine hazipo,lah ! Elimu zingine zipo ila hauzijui na hazihitaji njia hizo ulizozoea wewe kuzitumia ili kuweza kuzitambua. Unahitaji mwongozo tu ili uweze kuthizibitisha, elimu zingine ni za siri! Sio kila mmoja analazima ya kuzijua, na kama hauijui isiwe sababu ya kukataa kuwa hazipo.
 
Hiyo pseudoscience ina wahusu ninyi mnaokataa uwepo wa Mungu bila ushahidi ume mis-understand dhima yake.
Ndio ninyi mnaodeclare mnafata misingi ya sayansi ambayo hata hamuijui pole.
Go back to school and claim your fees, pseudoscience haihusiani na kukataa kitu bila uthibitisho

Kama pseudoscience ni collection of wrong beliefs zinazo husishwa kimakosa na sayansi, kivipi atheists ambaye hayupo katika belief system atumie pseudoscience ku assert wrong beliefs ambazo haziamini?

Hivi unaelewa kwa hoja yako hiyo imewalenga theist wanaotumia pseudoscience kama mwanya wa kuthibitisha mungu yupo scientifically kwa dhana ya intelligent design?
 
Back
Top Bottom