Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hakuna namna yeyote unayoweza kuthibitisha mungu yupo ungekua unaweza mbona ingekua rahisi sana kuuthibitishia umma kua mimi ni mbishi kwa vitu ambavyo ni vya ukweli huku wewe kuionekana mjuviNimekuambia foundation na fundamentals za sayansi(realy science) zinamajibu yote ya maswali yako
Ukinijibu sayansi imeanzia wap ni simple
Hiyo sayansi unayoizungumzia kuna muda mpaka najiuliza ni sayansi ya wapi, maana nikikuambia wewe uthibitishe mungu yupo najua huwezi, nisawa na kichwa cha jogoo kukibebesha tofali
Haya nimekupunguzia mzigo nahitaji hata hizo research zilizowahi kufanyika nikikuambia unipe hata uthibitisho uliotolewa na sayansi kuthibitisha mungu yupo utaweza?
Sasa kama hayo yote huwezi nina hakika gani kua sifanyi mjadala na mwehu?