Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nimekuambia foundation na fundamentals za sayansi(realy science) zinamajibu yote ya maswali yako
Ukinijibu sayansi imeanzia wap ni simple
Hakuna namna yeyote unayoweza kuthibitisha mungu yupo ungekua unaweza mbona ingekua rahisi sana kuuthibitishia umma kua mimi ni mbishi kwa vitu ambavyo ni vya ukweli huku wewe kuionekana mjuvi

Hiyo sayansi unayoizungumzia kuna muda mpaka najiuliza ni sayansi ya wapi, maana nikikuambia wewe uthibitishe mungu yupo najua huwezi, nisawa na kichwa cha jogoo kukibebesha tofali

Haya nimekupunguzia mzigo nahitaji hata hizo research zilizowahi kufanyika nikikuambia unipe hata uthibitisho uliotolewa na sayansi kuthibitisha mungu yupo utaweza?

Sasa kama hayo yote huwezi nina hakika gani kua sifanyi mjadala na mwehu?
 
Mwehu ni nan?
Nazani ni wew unayeandika paragraphy nzima
badala ya neno moja sayansi imeanzia wap?
 
Tunapenda mijadala lakini hatupendi kusoma.
Hakuna namna lazma tuishiwe hoja
 
Mkuu ujue huyu jamaa haeleweki kama sigara kali kuna hitaji subira sana kufanya mjadala na mtu kama huyu

Convo yetu ilianza vizuri, nitatumia tripple L kuwakilisha jina lake

tripple L: mungu yupo

Scars: thibitishe

Tripple L: mimi ni seeker

Scars: kwa hiyo current status inasemaje umempata au bado?

Tripple L: Aah unajua hiyo ni hypothesis nimeanza kwa ku assume yupo ili niendelee kumtafiti

Scars: Kwa hiyo reseach yako haijakamilika kufikia conclusion ya jibu la uhakika?

Tripple L: Unaelewa maana ya hypothesis, hypothesis inakutaka uanze kwa kukubali kua kitu ni cha kweli

Scars: Kwa hiyo mtu akija kusema kitu cha uwongo kua kipo afu ukimuuliza kuhusu uthibitisho akasema hicho kitu kipo kwenye hypothesis na we utajuaje kua hicho kitu kipo kweli na kina chunguzwa na sio kwamba hakipo ni uwongo tu na hata katika hiyo hypothesis hakiwezi kuchunguzwa kwasababu ya kutokuwepo kwake?

Tumeishia hapo baada ya hapo ndo hizo habari za centre ya sayansi ya mwanzo zikaingia
Sasa hypothesis haipo ivyo
Sio kila explanation ni hypothesis

Inatupaswa tuwe na limited set of evidence kwanza ili ku form Hypothesis

Ni evidence zipi anazo mpaka sasa zilizomruhusu ku form hiyo hypothesis yake?

Hypothesis ni explanation based on limited evidences,ni entry point ya uchunguzi wowote wa kisayansi
Lazima uwe na ushahidi wa kuanzia

Ni evidences zipi anazo?
 
Naona debate inapamba moto.Nimerudi kwa muda nikiomba wote ambao mpo upande niseme wenye hoja za kisayansi na hata kama wapo wanahistoria pia nao wanipe maelezo kidogo katika hili

Je sayansi au mtazamo wowote unaotoa habari za kuwepo kwa ulimwengu na wanadamu una maelezo yoyote kwamba kuna viumbe kama majini, misukule, na mizimu

Mind you,hivi viumbe vyote nilivyokutajia binafsi najua vipo. Si kwa masimulizi kutoka kwa mtu bali kwa kuona mwenyewe.Tumeonyeshwa kuna namna nyingi za kupata maarifa.Njia mojawapo ni kupitia uzoefu na linapokuja suala la hivyo nlivyotaja hapo,binafsi au wenzangu watakwambia kwamba viumbe hivi vipo

Sehemu pekee unaweza kuvipata viumbe hivi si katika ulimwengu huu ambao sayansi inaweza kuona, bali ni katika ulimwengu naweza sema usionekana kwa macho ya kisayansi wala vyovyote vile.

Nadhani maelezo yangu kidogo yanaeleza kwa uchache ila jambo langu kubwa ni kutaka kujua,je sayansi inatambua uwepo wa viumbe hivi?
Habari za majini kwa kumaanisha ghosts au misukule au some sort of uchawi nk. hizo habari hazina ukweli wowote.

Watu wengi wanasema haya sio kwa uthibitisho bali kwa personal experience ambayo nayo hiyo hawajaelewa ni nini kisababishi. Nitakupa mfano mmoja ambao ni kisa cha kweli

Kipindi ambacho niko shuleni nilibahatika kuishi hostel na room ambayo nilikua nalala nilikua nashea kitanda na mtoto wa mchungaji

Siku moja usiku tukiwa tumelala likapita tetemeko, lilitikisa kwa muda mrefu kidogo, wanafunzi wengi tulitoka nje kuhofia kubomokewa na nyumba.

Lakini kwa bahati mbaya rafiki yetu mlokole hakupata bahati ya kutoka, kesho yake asubuhi akawa anatusimulia kua usiku alitembelewa na wachawi ambao walikua wanatikisa kitanda huku na huku kila kona ya kitanda.

Jamaa akaenda mbali kabisa kusema kua riho mtakatifu alimuingia na akajikuta amesimama na kuanza kufanya maombi yaluyichukua muda kidogo mpaka pale wachawi walipoishiwa nguvu na kukimbia.

Tukamuambia kua hawakua wachawi ilikua nj tetemeko, akabisha ikibidi aende kumuuliza mlokole mwenzie naye akasema ni kweli ilikua ni tetemeko.

***********
Sasa assume jamaa ndio hajaambiwa ukweli kua ni tetemeko, halafu aliona kabisa kitanda kinatikisika kwa macho yake hivi kulikua na sababu gani ya ziada ya kumuaminisha kua kua si wachawi na ukicheki hakuna mtu anayeonekana kukishikilia kitanda?
 
Amerukia kwenye hypothesis wakati kuna step mbili nyuma kaziacha ambazo hajaelezea mchakato mzima ulikuwaje mpaka kufikia hapo ambazo hizo zina require a little evidence

Ili kufika 3 lazima 2 na 1 uwe umezipita, sa jamaa kaanza na 5 hatuelewi anaanza au ana hitimisha
 
Mwehu ni nan?
Nazani ni wew unayeandika paragraphy nzima
badala ya neno moja sayansi imeanzia wap?
Kwa kuandika "Nazani" badala ya "nadhani" hivi unafikiri kuna haja yeyote ya kuhitaji vyeti vyako ili kuthibitisha wehu wako?
 
Habari za majini kwa kumaanisha ghosts au misukule au some sort of uchawi nk. hizo habari hazina ukweli wowote.

Watu wengi wanasema haya sio kwa uthibitisho bali kwa personal experience ambayo nayo hiyo hawajaelewa ni nini kisababishi. Nitakupa mfano mmoja ambao ni kisa cha kweli

Kipindi ambacho niko shuleni nilibahatika kuishi hostel na room ambayo nilikua nalala nilikua nashea kitanda na mtoto wa mchungaji

Siku moja usiku tukiwa tumelala likapita tetemeko, lilitikisa kwa muda mrefu kidogo, wanafunzi wengi tulitoka nje kuhofia kubomokewa na nyumba.

Lakini kwa bahati mbaya rafiki yetu mlokole hakupata bahati ya kutoka, kesho yake asubuhi akawa anatusimulia kua usiku alitembelewa na wachawi ambao walikua wanatikisa kitanda huku na huku kila kona ya kitanda.

Jamaa akaenda mbali kabisa kusema kua riho mtakatifu alimuingia na akajikuta amesimama na kuanza kufanya maombi yaluyichukua muda kidogo mpaka pale wachawi walipoishiwa nguvu na kukimbia.

Tukamuambia kua hawakua wachawi ilikua nj tetemeko, akabisha ikibidi aende kumuuliza mlokole mwenzie naye akasema ni kweli ilikua ni tetemeko.

***********
Sasa assume jamaa ndio hajaambiwa ukweli kua ni tetemeko, halafu aliona kabisa kitanda kinatikisika kwa macho yake hivi kulikua na sababu gani ya ziada ya kumuaminisha kua kua si wachawi na ukicheki hakuna mtu anayeonekana kukishikilia kitanda?
Katika story ambayo umetoa hapa inaweza kuwa yule mtu aliyoyasema yalikuwa ya ukweli au ni wenge lake tu.

Lakini napokueleza habari za majini, misukule na mizimu ni mambo ambayo nimeona kwa macho yangu na si jambo kwamba nimeona usiku hapana. Na mind you si kwa mara moja

Kwahiyo naomba uniamini kwamba hivi viumbe vipo.Leo hii unapata ujasiri wa kujenga hoja zako za kisayansi,si kwamba wewe kwenye sayansi kuna mambo makubwa umeweza kuyafanya,hapana, ila unapata huo ujasiri kwa sababu umeweza kusoma vitabu, umewauliza wanasayansi wenzako na ukapata maarifa.Jambo ambalo binafsi nakubaliana nalo

Kwahiyo leo hii napokupa habari za majini sio kwamba ni story au muvi za shumileta hapana.Ila ni mambo ambayo nimeyaona kwa macho yangu tena zaidi ya mara moja na katika maeneo tofauti tofauti katika taifa lako
 
Naona debate inapamba moto.Nimerudi kwa muda nikiomba wote ambao mpo upande niseme wenye hoja za kisayansi na hata kama wapo wanahistoria pia nao wanipe maelezo kidogo katika hili

Je sayansi au mtazamo wowote unaotoa habari za kuwepo kwa ulimwengu na wanadamu una maelezo yoyote kwamba kuna viumbe kama majini, misukule, na mizimu

Mind you,hivi viumbe vyote nilivyokutajia binafsi najua vipo. Si kwa masimulizi kutoka kwa mtu bali kwa kuona mwenyewe.Tumeonyeshwa kuna namna nyingi za kupata maarifa.Njia mojawapo ni kupitia uzoefu na linapokuja suala la hivyo nlivyotaja hapo,binafsi au wenzangu watakwambia kwamba viumbe hivi vipo

Sehemu pekee unaweza kuvipata viumbe hivi si katika ulimwengu huu ambao sayansi inaweza kuona, bali ni katika ulimwengu naweza sema usionekana kwa macho ya kisayansi wala vyovyote vile.

Nadhani maelezo yangu kidogo yanaeleza kwa uchache ila jambo langu kubwa ni kutaka kujua,je sayansi inatambua uwepo wa viumbe hivi?
Usioonekana kwa macho ya kisayansi au vyovyote vile

Kwa kusema hivyo, tayari huhitaji sayansi ifanye chochote

So ni kama umejijibu tu Kuwa sayansi haina maelezo na hivyo vitu, kwa sababu haviwezi kuthibitishika kisayansi

Hatuwezi kuwa controllable environment ku prove uwepo wa jini au mzima kisayansi

Ushahidi kuhusu uwepo wa majini, uchawi, mizimu etc ume base kwenye hearsay

Kama tulivyosikia toka kwako kuwa umewahi kuwaona majini au mizimu,

Kuna 1M dollar prize kwa yoyote atakaye thibitisha uwepo wa hivyo vitu, mpaka sasa hakuna aliyeweza

Google hio prize, Nenda ka Prove

Au twambie ulikutana na hivyo viumbe kwenye mazingira gani, na sisi tufate hatua gani kuona ulichoona?
 
habari great thinkers.

Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu.
Walikuwa na sifa za kulia, kukasirika,wivu, njaa n.k.

Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Nadhani wote tunajuwa kuwa binadamu alikuwa anaishi pamoja na wanyama wengine hapo kale kabla ya kuanza kujitenga na kuanzisha ustaarabu wake,katika kipindi hiki cha maisha binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wengine.Ilimchukau mamilioni ya miaka biandamu kujitofautisha na wanyama wengine na kuanza kustaarabika.Katika kipindi hiki huyu binadamu alianzisha mambo mbalimbali ikiwemo Dini,mungu,sheria,taifa n.k.

There are no gods,no god in the universe,no nation,no money,no justice,no law,no human rights out side the common imagination of human beings.Mara baada ya kuapata ustaarabu binadamu aliweza kuanzisha mambo mengi ikiwe religion institutions,mungu n.k.

View attachment 1941529

Hii inaitwa Kibri ya mwanadamu.
You can only write such things when you are healthy, probably wealthy, happy and you are freely breathing, and roaming around beautiful nature created by the Creator.
But trust me ile saa roho inaachana na mwili utajua kama yuko Mungu au hayuko.
 
Usioonekana kwa macho ya kisayansi au vyovyote vile

Kwa kusema hivyo, tayari huhitaji sayansi ifanye chochote

So ni kama umejijibu tu Kuwa sayansi haina maelezo na hivyo vitu, kwa sababu haviwezi kuthibitishika kisayansi

Hatuwezi kuwa controllable environment ku prove uwepo wa jini au mzima kisayansi

Ushahidi kuhusu uwepo wa majini, uchawi, mizimu etc ume base kwenye hearsay

Kama tulivyosikia toka kwako kuwa umewahi kuwaona majini au mizimu,

Kuna 1M dollar prize kwa yoyote atakaye thibitisha uwepo wa hivyo vitu, mpaka sasa hakuna aliyeweza

Google hio prize, Nenda ka Prove

Au twambie ulikutana na hivyo viumbe kwenye mazingira gani, na sisi tufate hatua gani kuona ulichoona?
Unakumbuka kipindi nakwambia kwamba ntarudi baada ya miaka miwili na kitu tangible kuonyesha kwamba Mungu yupo sio?

Sasa sikia mda si mrefu ulimwengu utajua kwamba Mungu yupo na kwamba sayansi kuna mambo haiwezi kufanya

Binafsi natambua kwamba sayansi imekuwa msaada kwa mwanadamu kwa kipindi kizuri lakini si kwamba sayansi ndio inatoa maelezo yote ya ulimwengu tunaoishi

Nkuombe uwe nasubra alafu utakuja kukumbuka hili ila ikitokea ukasahau ntakukumbusha pia kwamba ndio mimi na majibu utayaona kwa macho yako na si wewe tu bali dunia nzima italijua hili
 
Usioonekana kwa macho ya kisayansi au vyovyote vile

Kwa kusema hivyo, tayari huhitaji sayansi ifanye chochote

So ni kama umejijibu tu Kuwa sayansi haina maelezo na hivyo vitu, kwa sababu haviwezi kuthibitishika kisayansi

Hatuwezi kuwa controllable environment ku prove uwepo wa jini au mzima kisayansi

Ushahidi kuhusu uwepo wa majini, uchawi, mizimu etc ume base kwenye hearsay

Kama tulivyosikia toka kwako kuwa umewahi kuwaona majini au mizimu,

Kuna 1M dollar prize kwa yoyote atakaye thibitisha uwepo wa hivyo vitu, mpaka sasa hakuna aliyeweza

Google hio prize, Nenda ka Prove

Au twambie ulikutana na hivyo viumbe kwenye mazingira gani, na sisi tufate hatua gani kuona ulichoona?
Kuhusu sehemu, kama we ni mkazi wa Dar-es-salaam majini utakuwa unaishi nayo ila huwezi kuyatofautisha na binadamu lakini majini yanaishi baharini ambayo binafsi nayajua

Unaweza kubali kutoswa baharini ukayaone mkuu?

Mengine ntakufahamisha mda ukifika usiwe na hofu mkuu ntakuonyesha yakuwa Mungu yupo
 
Kwa kuandika "Nazani" badala ya "nadhani" hivi unafikiri kuna haja yeyote ya kuhitaji vyeti vyako ili kuthibitisha wehu wako?
Umerudia yale yale neno moja sayansi imeanzia wap?
Hatujadili kuhusu ufasaha wa kiswahili
Sina shaka wewe ni mtaalam wa lugha
 
Uombewe wewe wakala wa lilit
IMG_20210922_000141_9.jpg
 
Mkuu naweza kuuliza 'why two years?'
Mkuu nimekupata vizuri ila naomba niende break kidogo nikiwa na deni la kuja kujibu hizi hoja vizuri

Pili niseme kuwa bado ahadi yangu ni kuwa after two years I will be here with something tangible na ikitokea sijarudi basi tambua safari yangu itakuwa imeishia njiani.

Moreover, thank you and everyone for this debate.
 
Katika story ambayo umetoa hapa inaweza kuwa yule mtu aliyoyasema yalikuwa ya ukweli au ni wenge lake tu.

Lakini napokueleza habari za majini, misukule na mizimu ni mambo ambayo nimeona kwa macho yangu na si jambo kwamba nimeona usiku hapana. Na mind you si kwa mara moja

Kwahiyo naomba uniamini kwamba hivi viumbe vipo.Leo hii unapata ujasiri wa kujenga hoja zako za kisayansi,si kwamba wewe kwenye sayansi kuna mambo makubwa umeweza kuyafanya,hapana, ila unapata huo ujasiri kwa sababu umeweza kusoma vitabu, umewauliza wanasayansi wenzako na ukapata maarifa.Jambo ambalo binafsi nakubaliana nalo

Kwahiyo leo hii napokupa habari za majini sio kwamba ni story au muvi za shumileta hapana.Ila ni mambo ambayo nimeyaona kwa macho yangu tena zaidi ya mara moja na katika maeneo tofauti tofauti katika taifa lako
Kuona kwa macho yako sio uthibitisho kua ulichokiona ni uchawi, refer kwa mfano niliokupa, mchizi naye aliona kitanda kinatikisika pasipo kutikiswa na mtu yeyote lakini haikubadili fact kuwa ni wachawi na sio tetemeko

Our eyes play tricks sometimes, macho yana peleka signal kwenye ubongo kupitia retina, kisha ubongo unachakata taarifa hizo kupitia image uliyoiona. Kwenye ishu ya kuona illusion ubongo hutafsiri tofauti na uhalisia

Kuna sehemu za image zinapotosha na ubongo hauwezi kutafsiri hiyo picha kwa ujumla na kupelekea kutoa taarifa ya uwongo
Na ndio maana hata mwana falsafa maarufu wa miaka ya 350BC Aristotle alishawahi sema “our senses can be trusted but they can be easily fooled”
 
Kuhusu sehemu, kama we ni mkazi wa Dar-es-salaam majini utakuwa unaishi nayo ila huwezi kuyatofautisha na binadamu lakini majini yanaishi baharini ambayo binafsi nayajua

Unaweza kubali kutoswa baharini ukayaone mkuu?

Mengine ntakufahamisha mda ukifika usiwe na hofu mkuu ntakuonyesha yakuwa Mungu yupo
Unaweza uka attach picha ya jini mmoja mnayefahamiana hapa

Kabla sija take risk ya kutoswa baharini
 
Umerudia yale yale neno moja sayansi imeanzia wap?
Hatujadili kuhusu ufasaha wa kiswahili
Sina shaka wewe ni mtaalam wa lugha
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo licha ya kushindwa kum define na kutaja sifa zake

BTW nlikupa nafasi unipe uthibitisho uliowahi kutolewa na sayansi unao thibitisha mungu yupo mpaka sasa umeshindwa
 
Kuhusu sehemu, kama we ni mkazi wa Dar-es-salaam majini utakuwa unaishi nayo ila huwezi kuyatofautisha na binadamu lakini majini yanaishi baharini ambayo binafsi nayajua

Unaweza kubali kutoswa baharini ukayaone mkuu?

Mengine ntakufahamisha mda ukifika usiwe na hofu mkuu ntakuonyesha yakuwa Mungu yupo
Kutoswa baharini ukiwa na maana ipi?

Na umejipangaje?

Una oxygen cylinder yenye ujazo kiasi gani kwa ajili ya kufanya hilo jaribio?
 
Back
Top Bottom