Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Mada kama hizi miaka ya nyuma zilikua ngumu hata kujadiliwa humu jukwaani kwani watu wengi walikua indoctrinated kua mada za namna hii ni kufru

Hii ni hatua kubwa sana ambayo watu wengi wameonesha kua kuipa kipaumbele akili kwa upembuzi wa mambo ni bora zaidi kuliko kukubali jambo ambalo halina proof

Mpaka kufikia 2025 tutakua na atheist wengi sana humu, sema ni kwamba hizi mada zinahamishwa na mods kwenda jukwaa la dini ambako huko ndio hufia maana wengi hawana access ya hilo jukwaa.

Hata guest users ambao hawana account humu jf wanakua wanafatilia hii mijadala na kujifunza na wengi wanaweza kua impressed na hoja wakaji register, sasa mada kama hizi zikiwekwa jukwaa la dini unakua unawakatili
Sema tatizo kuwa atheist sio jibu yani ukiwasikiliza atheists wengi humu kwanini wamekuwa atheists utasikia wanaanza kuelezea mapungufu ya dini waliyokuwa wanaamini mara sijui walikuwa walikuwa wanajiuliza maswali ambayo hayana majibu na ndio wakaamua kuwa atheist, kwahiyo ni kama watu ambao wamekata tamaa hivi.
 
jibu la nini ambalo ulitegemea ulikute kwa atheist?

Na kwanini ulifikiri atheist wangeweza kuwa nalo?
 
Hujanielewa.

Ni kwamba hao atheists hapo kabla wakati wakiwa kwenye dini zao huwa ndio wanajiuliza maswali kuhusu dini au Mungu na hayo maswali wanakosa majibu yake na ndio huwa sababu ya kuelekea kuwa atheism. Sasa ndio maana nasema wao kuwa atheist sio jibu la maswali yao.
 
Hao atheist wenye dini zao mi siwajui ndo kwanza nawasikia kwako, kabla ya kwenda mbali unaweza nifahamisha ni atheist wawapi hao?

Na dini yao ilianza lini na wapi, wanaabudu nini, na muongozo wao ni upi (holy scriptures) na ikiwezekana hata nyumba zao za ibada unitajie majina yao yanaitwaje maana waislamu wanaita misikiti, wakristo wanaita makanisa vipi hao atheist wao wanaitaje,au hata location yanakopatikana kama ikibidi

Uniambie kama hata hapa tanzania waumini wa hiyo dini kama wapo ili iwe rahisi zaidi
 
Sema tatizo kuwa atheist sio jibu yani ukiwasikiliza atheists wengi humu kwanini wamekuwa atheists utasikia wanaanza kuelezea mapungufu ya dini waliyokuwa wanaamini mara sijui walikuwa walikuwa wanajiuliza maswali ambayo hayana majibu na ndio wakaamua kuwa atheist, kwahiyo ni kama watu ambao wamekata tamaa hivi.
Tazama hii picha hapa
milkway.jpg

Hio ni CGI ya Galaxy yetu, milky way Galaxy.
Ukubwa wa Milky Way ni 3.6 x 10^13 ya dunia
Maana yake unahitaji Dunia Trillions 36 kuijaza Milky Way
Milky way ni moja kati ya Galaxies Bllions 125, zinazo kadiriwa kuwepo kwenye ulimwengu mzima

Na umeona huo mshale unapo point, hio nukta usiyo iona ndio dunia ilipo,ulipo mda huu

Sasa kichekesho ni kwamba,kisa cha uumbaji kwenye biblia kinatwambia Mungu alitumia siku moja kuumba hizo galaxies zote
Lakini akatumia siku tatu nzima kuumba, hiko ki nukta kilichoonyeshwa na mshale hapo (dunia)
Siku tatu nzima? can you imagine?

Mwandishi wa kimarekani Sir Isaac Asimov aliwahi kusema, Njia rahisi zaidi ya kuwa Atheist ni kusoma Biblia kwa umakini, kama inavyopaswa kusoma na ukiwa open minded

Watu wa zamani, kipindi cha zama za giza
Na kipindi ambacho hivi vitabu vya dini vingi vilipoanza kuandikwa

Watu waliamini Dunia ndio kitu kikubwa zaidi ulimwenguni
Na vyote kwanzia nyota, mwezi na sayari nyingine zinaizunguka dunia

Sasa hapo, utaona kwanini dunia ilipaswa iumbwe kwa siku tatu nzima?
Ni kubwa mno... Kiasi cha kufanya nyota ziizunguke

Waaliamini nyota ni ndogo kiasi kwamba zinaweza kuanguka
Kuna verse kadhaa za bible zinasema nyota ziliwahi anguka na zitakuja anguka siku ya mwisho

kama ujui kwanini jiwe linaanguka, ni kwamba Dunia ina uzito mkubwa kuliko Jiwe

Na kitu chenye uzito mkubwa, kina nguvu kubwa ya Kuvuta kitu chenye uzito mdogo (Newton law of universal gravitation)

So dunia ni kubwa sanaa kiasi cha kudondosha nyota...
Jua tu (moja kati ya nyota ndogo ndogo kwenye Milky way galaxy) inajazwa na dunia Million 1 na laki tatu

Ila wao hawakujua haya, kwao nyota zilikua ni cheche tu moto ziluzo mbali kidogo na dunia

Kwa muktadha huu, Inaingia akilini zaidi dunia kuchukua siku tatu nzima za Mungu according to bible
Na akaanzisha weekend ya kwanza baada ya kazi nzito ya kuumba dunia

Mungu asiyechoka alipumzika... Can you imagine

Ujio wa pili wa Yesu kristo, kila jicho litamuona
Kila mtu aliye duniani atashuhudia tukio hili Muhimu kwa wakati mmoja

Geography Ya Form 1 && 2,inatwambia tukio la namna hio linawezekana tu kama dunia ni bapa (flat)

Thus why kama kwetu ni usiku, Marekani ni asubuhi na vise versa, hatuwezi shuhudia kuchomoza kwa jua kwa pamoja cause dunia ni tufe

Sijali wewe ni dini gani, the same facts zinaweza applies kwa vitabu vingine vya dini, mfano Quran

Hivi viliandikwa na binadamu, kulingana na utamaduni waliokua nao, na elimu ya wakati ule ambayo ni outdated kipindi chetu

Wewe unakiri kabisa Mungu unayemuamini hana jinsia
Lakini huoni tatizo lolote uki refer kama Mfalme

Lakini ni vita Kubwa,mtu mwingine akim refer kama Malkia
Ni kufuru

You see, dini pia ziliandikwa zama ambacho mwanamke Hakua chochote kila...

Na kati yako na Atheist, wewe ndiye uliyekataa tamaa, so uta buy any crap as long as inakupa comfort
 
Tazama hii picha hapa
View attachment 1960803

Maelezo marefu ila umethibitisha tu nilichokisema, yani nashindwa kuona ile connection au sababu za msingi za mtu kuwa atheist kutokana na hayo maelezo yako na ndio maana nikasema huwa ni watu waliyokata tamaa. Wengi kama sio wote huwa mnafikiri kuonesha madhaifu au makosa ya kwenye vitabu vya hizi dini ndio kitu chenye kuwafanya ninyi kuwa sahihi kwenye hiyo misimamo yenu, mnasahau kwamba wapo watu ambao hawaamini dini kabisa ila wanakubali uwepo wa Mungu. Kuna watu wana mitizamo kama yako kuhusu vitabu vya dini ila tu ni kwamba wao wanakubali uwepo wa Mungu ila nyie mnapinga kuwepo Mungu.
 
Hao atheist wenye dini zao mi siwajui ndo kwanza nawasikia kwako, kabla ya kwenda mbali unaweza nifahamisha ni atheist wawapi hao?

Na dini yao ilianza lini na wapi, wanaabudu nini, na muongozo wao ni upi (holy scriptures) na ikiwezekana hata nyumba zao za ibada unitajie majina yao yanaitwaje maana waislamu wanaita misikiti, wakristo wanaita makanisa vipi hao atheist wao wanaitaje,au hata location yanakopatikana kama ikibidi

Uniambie kama hata hapa tanzania waumini wa hiyo dini kama wapo ili iwe rahisi zaidi
Dah nilikusahau kama ni mzito kuelewa.

Ni hivi, wengi kama sio wote kabla ya kuwa atheists mlikuwa waumini wa dini na huko ndipo mlikuwa mnapata kujiuliza maswali yasiyo na majibu kuhusu dini zenu na ndipo mkajikuta mnaangukia kwenye kuwa ma atheists kana kwamba kuwa atheist ndio jibu ya maswali mliyokuwa mkijiuliza.
 
Unajua ukizaliwa tu by default we ni atheist?
 
Atheism ni lack of beliefs while agnostic ni mtu ambaye ana amini haiwezekani kuthibitisha mungu yupo au hayupo thats different
Inajulikana atheists hawaamini Mungu na hiyo hutokana na kwamba hupinga madai ya kuwepo Mungu, sasa ni vp mtoto anayezaliwa akawa na msimamo huo? maana hiyo ni misimamo.
 
Unaelewa maana ya atheism?
 
Unaelewa maana ya atheism?
Nawazungumzia atheists walivyo labda uniambie kuwa atheists hawapo hivyo kwamba hawasemi hakuna Mungu na kupinga madai ya kuwepo Mungu, sasa kama atheism maana yake ni tofauti na mlivyo atheists wenyewe basi hilo sio tatizo langu.
 
Umelielewa swali?
 
Umelielewaje?

Nipe maana ya atheism
Angalia sasa, narudia tena kwamba mimi nimewazungumzia ninyi atheists mlivyo kwenye uhalisia wake na si kwamba nilikuwa natoa maana ya atheism. Sasa labda uniambia kwamba atheists(ninyi) hamsemi kuwa hakuna Mungu na kupinga madai ya kuwepo Mungu.
Kwahiyo elewa kwamba mimi sijaizungumzia tafsiri ya neno atheism bali nimewaelezea jinsi atheists wenyewe walivyo kwenye uhalisia, ni sawa na kuwazungumzia waislamu au wakristo jinsi walivyo kwenye uhalisia na si kuzungumzia maana ya ukristo au uislamu.
 
Yaani binadamu akipata vijihela tu anasema GOD hayupo ,akifuliA anakimbilia kwa mwamposa....kuna good and evil kwenye hii dunia, respectively to GOD and satan..
Evil spirits wanaperish from human body in the name of JESUS, huwajawahi kuona hii....
Just try to stay holy for even a week,alafu uone vitu vinavyokuwa tofauti kwako
 
Back
Top Bottom