nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
ShukraniNdio ,Utanufaika....!
Utakuwa umeongeza ajira kwa kijana hivyo utakuwa umempunguzia Mama Samia katika tatizo La uhaba wa ajira Tanzania.
Pia utapiga hela iwapo kijana atakuwa Mwaminifu.
Lingine,utakuwa umeanza kuwa mjasiria Mali, kina Bakhresa na GSM walianzaga hivyo hivyo.
hahaRich people doubt their fear, poor people fear their doubt.
# Never fear your doubt.
# Starve your doubt
Mkuu vijana wetu wa kibongo hawa ndio wale wale tuBiashara ni usimamizi. Sasa sisi tunamjua huyo dogo?
nashukuru kwa kunitia moyoPale wazo lilipojaa kichwani ndio ilibidi uanze michakato.
Ukihisi wazo la manufaa linakujia kichwani ujue hapo MUNGU anaongea na wewe.
USIOGOPE