kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Sio utoto, yaani kulinda heshima yangu ndiyo utoto?Utoto unakusumbua ngoja kwanza ukue..
Mkuu, kuepuka ndiyo kutovunja heshima na uhusiano wa kikazi. Yaani ukifanikiwa kuepuka jambo hili, unakuwa tayari umeshajiwekea uhusiano na heshima kazini. Na ukitaka kuvunja heshima na uhusiano, basi wewe endekeza mapenzi kazini. Njia nzuri ya kuepuka haya ni 1. Kuwa mchapakazi. Wahi kazini, maliza kazi zako na fuata sheria na miiko yote ya kazi. Hli tu linaweza kufanya watu wakuheshimu. 2. Uwe muwazi. Usipende kusema mambo pembeni wala kufanya mambo pembeni. 4. Kama wewe una dini basi zingatia dini yako au angalau jifanye wewe ni muumini mzuri wa dini. Usionyeshe kama unavutiwa na yeyote yule na usipende kuwa karibu na yeyote nje ya shughuli za kazi. Kwa kifupi wewe mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kuamua destination yako.Let's be short and clear...
Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?
Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi?
Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
Let's be short and clear...
Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?
Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi?
Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
Makazini kuna watoto ambao bado hawajapevukaKawasemee kwa HR
Ana miaka 20Una umri gani??
Stay professional muda wote. Focus na ulichokifuata usumbufu utakuwa wa kawaida sanaLet's be short and clear...