Inasikitisha sana aisee,,inapelekea mpka mtu unashindwa kufanya kazi kwa amani na inaondoa utulivu wa akili kaziniMe pia Boss wangu ni kama freemason, ananikosesha Amani daily. Anapenda sana dharau. Wiki iliyopita alinifokea bila sababu ya msingi nikamuambia akiendelea nitamuua. Hatusalimiana tangu alhamis
nishajaribu kumuuliza kuwa Kuna shida gani mpka inakuwa hivi,sema anaishia kunichekea na kusema hamna shida,,,awamu hii ntaongea naye kwa kinaUje uongee nae mwambie hupendii
Ongea nae mwambie asiongee kama na mwanae wala usimuogope Riziki anaetoa ni Molanishajaribu kumuuliza kuwa Kuna shida gani mpka inakuwa hivi,sema anaishia kunichekea na kusema hamna shida,,,awamu hii ntaongea naye kwa kina
Ntafanya hivyo,maana nimekuwa nikimpa heshima Sana mwishowe ndo huu kunichukulia Kama mwanaeOngea nae mwambie asiongee kama na mwanae wala usimuogope Riziki anaetoa ni Mola
Wee ke au me? Bosi wako ke au me?1. Bosi wangu ananifokea Sana kwamba sijui kazi ilihali ni kitu nilichosomea na najitahidi kuonesha juhudi
2. Bosi wangu ananifokea Sana hata kwa makosa ambayo kayafanya yeye mwenyewe kwa uzembe
3. Natumia kila njia ili niwe mfanyakazi mzuri na kumfurahisha bosi wangu lakini Bado anakuwa mkali kwangu
NB: Leo boss wangu kanifokea ilikuwa kidogo tuu niombe kuacha kazi na ilikuwa mbele za watu hadharani.
Je nifanyaje kwenye Hali Kama hii?
Nipo taasisi binafsiUpp Taasisi ya Serikali au Binafsi? Tuanzie hapa kwanza.
Mi ni jinsia ya kiume (ME) na boss wangu ni jinsia ya kiume ( Me)We ni jinsia gani na boss wako pia ni jinsia gani?
Kama we ni ME na boss ni KE mtongoze umpige 🍆, atakuheshimu.
NB: Iki backfire uwe na alternative job.
Nipo taasisi binafsiUpp Taasisi ya Serikali au Binafsi? Tuanzie hapa kwanza.
Ni taasisi binafsiNi Serikalini?
Binafsi Kaza tu, Ongea naye kwa Upole, weka kikao ambacho mtakua walau na myu mmoja au wawili wenye busara kulizungumzia hilo.Nipo taasisi binafsi