- Thread starter
- #21
Kwa hiyo unahisi kabila lake ndio itakuwa shida?Kuna watu wengine uasili unawasumbua pamoja na wivu hasa boss akiwa mpare, msukuma n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unahisi kabila lake ndio itakuwa shida?Kuna watu wengine uasili unawasumbua pamoja na wivu hasa boss akiwa mpare, msukuma n.k
1. Cha kufanya zile kazi anazo kupa ambazo hazikuhusu , siku akikupa ifanye alafu kesho yake asubuhi kabla kazi hazijaanza mwambie kuna kazi ambazo nafanya naona hizi kuna ambaye anastahili lakini Mimi nazifanya
2.Kingine hakikisha unakuwa unaenda na muda wa kazi uondoke muda ukiisha ili kazi zitakazotokea zipo nje ya muda asije kukupa na usijitie unajua vitu sana kuwa normal maana ukionesha unajua kazi zote utapewa wewe
3. Usiwe na mazoea naye siku ambazo hakuna sababu ya kukutana msionane ili kutokujenga kuzoe
Shukrani Sana, ntafanya hivyo maana hili swala Lina athiri afya yangu ya kiakili1. Cha kufanya zile kazi anazo kupa ambazo hazikuhusu , siku akikupa ifanye alafu kesho yake asubuhi kabla kazi hazijaanza mwambie kuna kazi ambazo nafanya naona hizi kuna ambaye anastahili lakini Mimi nazifanya
2.Kingine hakikisha unakuwa unaenda na muda wa kazi uondoke muda ukiisha ili kazi zitakazotokea zipo nje ya muda asije kukupa na usijitie unajua vitu sana kuwa normal maana ukionesha unajua kazi zote utapewa wewe
3. Usiwe na mazoea naye siku ambazo hakuna sababu ya kukutana msionane ili kutokujenga kuzoeana
4.Sikiliza hii video
Inawezekana u.ekula vya mkubwa wako ehhMi ni jinsia ya kiume (ME) na boss wangu ni jinsia ya kiume ( Me)
Nilitaka kusema hii kitu. Kila leo humu kukandia kazi zs Serikali na watumishi wa umma, ila huo ujinga wa kufokeana kama watoto na kugombezana Serikalini haupo, niliwahi kufanya kazi kampuni binafsi yq mawasiliano, miaka minne niliiona kama karne, japo nililipwa vizuri ila sio kwa manyanyaso yale.Nyie si ndo mnaokandiaga wafanyakazi wa serekali??
Sirikali kugombezana ni 😁😁😁
Mi ni jinsia ya kiume (ME) na boss wangu ni jinsia ya kiume ( Me)
Hawa wapare hawa sijui wana nini hawa?Kuna watu wengine uasili unawasumbua pamoja na wivu hasa boss akiwa mpare, msukuma n.k
AhahahahhhqhMe pia Boss wangu ni kama freemason, ananikosesha Amani daily. Anapenda sana dharau. Wiki iliyopita alinifokea bila sababu ya msingi nikamuambia akiendelea nitamuua. Hatusalimiana tangu alhamis
Umemuuliza lakini mleta mada kama ngumi zinatoka..Asijekuwa ni mwepesi akaishia tena kudundwa mbali na manyanyaso aliyopokea.Kama utaamua kuacha, basi hakikisha unampiga siku unaacha kazi hapo. Hii itapunguza maumivu ya manyanyaso aliyokufanyia pia itamfanya abadilike atakapopata mfanyakazi mwingine
Unapitia changamoto kama yangu!Huenda umemzidi elimu anakuona kama kikwazo kwake 2Ni mtu asiyependavwatu wa chini yake inawezekana alipatia malezi ya kupigwapigwa.Fanya ujasiri siku Moja ukiwa kwenye mood nzuri mueleze ukweli kwamba hujisikii vizuri kufokewafokewa na ikibidi,awepo mtu unayemuamini,Cha msingi kama ni mtu wa Dini muombe sana Mungu kwenye Hilo.1. Bosi wangu ananifokea Sana kwamba sijui kazi ilihali ni kitu nilichosomea na najitahidi kuonesha juhudi
2. Bosi wangu ananifokea Sana hata kwa makosa ambayo kayafanya yeye mwenyewe kwa uzembe
3. Natumia kila njia ili niwe mfanyakazi mzuri na kumfurahisha bosi wangu lakini Bado anakuwa mkali kwangu
NB: Leo boss wangu kanifokea ilikuwa kidogo tuu niombe kuacha kazi na ilikuwa mbele za watu hadharani.
Ni taasisi binafsi
Je nifanyaje kwenye Hali Kama hii?
Sio umpige iwe fundishoYawezekana akawa na inferiority complex
Yaani kuna watu ambao huwa wanapata relief wanapomtukana mtu na kumfokea.
Njia ya kuishi nao ni kuwa positive tu akiona anafoka then wewe upo Una smile ataanza kubadilika mwenyewe.
Umemtishia maisha boss😀😀Me pia Boss wangu ni kama freemason, ananikosesha Amani daily. Anapenda sana dharau. Wiki iliyopita alinifokea bila sababu ya msingi nikamuambia akiendelea nitamuua. Hatusalimiana tangu alhamis
Fanya kwa muda upate mtaji wa kujiajiri na kujistiri. Baada ya hapo acha kazi.1. Bosi wangu ananifokea Sana kwamba sijui kazi ilihali ni kitu nilichosomea na najitahidi kuonesha juhudi
2. Bosi wangu ananifokea Sana hata kwa makosa ambayo kayafanya yeye mwenyewe kwa uzembe
3. Natumia kila njia ili niwe mfanyakazi mzuri na kumfurahisha bosi wangu lakini Bado anakuwa mkali kwangu
NB: Leo boss wangu kanifokea ilikuwa kidogo tuu niombe kuacha kazi na ilikuwa mbele za watu hadharani.
Ni taasisi binafsi
Je nifanyaje kwenye Hali Kama hii?