Njia gani nzuri ya kutatua changamoto kama hii kazini kwangu?

Njia gani nzuri ya kutatua changamoto kama hii kazini kwangu?

Me pia Boss wangu ni kama freemason, ananikosesha Amani daily. Anapenda sana dharau za kifala. Mara aseme Wamasai ni sawa na tumbili..

Wiki iliyopita alinifokea bila sababu ya msingi nikamuambia akiendelea nitamuua. Hatusalimiani tangu Alhamisi. Supervisor siyo Mungu.
Mwambie akome kutuita wamasai ni kama tumbili.

Akomee! Tenaaaa mwambie fanalekiiiiiiii bladfakeni.

Nitumie majina yake matatu PM nta deal nae Kiroho! ... Binadamu ni mzito au mwepesi Rohoni
 
I
Me pia Boss wangu ni kama freemason, ananikosesha Amani daily. Anapenda sana dharau za kifala. Mara aseme Wamasai ni sawa na tumbili..

Wiki iliyopita alinifokea bila sababu ya msingi nikamuambia akiendelea nitamuua. Hatusalimiani tangu Alhamisi. Supervisor siyo Mungu.
ishia hapo freemason hatuna huo UPUZI sis tuko huru kufanya lolote
 
Pole sanaa mkuu kwa changamoto, ni hali ya kawaida kukutana na hali hiyo ukiwa mwajiriwa, pia hata kwenye mahusiano n.k

Lakini kabla ya kulaumu, fanya utafiti wakina kujua sababu zinazokufanya ukumbane na changamoto hiyo, Pia angalie wafanyakazi wenzako wanavyoishi then relate mahusiano yao na Boss wako. Hii itakusaidia kujua boss wako ni mtu wa aina gani,anapenda kipi/hapendi kipi, anapenda/hapendi watu wa aina fulani.

Pia kumbuka hakuna boss anaependa aonekane kuwa chini ya wafanyakazi wake, kama umemzidi elimu,akili,muonekano(smart) au kama unakubalika sanaa na wafanyakazi wako kuliko yeye atatafuta sababu ya kukushusha hadhi yako. NB: sio wote wana roho hiyo ya kuchukia wafanyakazi,pia Wapo maboss wanaopenda wafanyakazi wanaokuwa smart kwenye kazi (Kuna kabila/jamii huwa wanatabia hiyo.. wakipanda cheo lazima mtaona chamoto, ni nature yao kwahiyo ishi nao kwa akili)

Lakini kunasababu zinazoweza kusababisha boss kukuchukia:

●Kutotimiza wajibu wako. Hakuna boss anayependa kuwa na mfanyakazi ambaye hatimizi wajibu wake, Yaani kilakitu lazima uambiwe,ukumbushwe kila kitu unakuwa wa mwisho. Kama una hiyo tabia acha mara moja.

●Kuwa na uwezo mdogo wa kujenga hoja. Fahamu deeply taaluma yako, pata ujuzi mpya kila siku, ikitokea kuna tatizo ofisini usikae kimya toa msaada wa mawazo ya kuimarisha ofisi.

●Kuto jali muda. Hakuna kitu muhimu kwenye taasisi yoyote kama muda, Jali muda wa kuingia kazini na kutoka, muda wa kuanza kazi na kumaliza, Jali muda mkihaidiana mfano kikao,kutoa repoti,n.k

●Kutoshirikiana na wafanyakazi wenzako. Kuna muda wa kazi, na muda wa kupumzika, hivyo kuwa social, zungumza na wenzako usijitenge sanaa, na usiwazoee sanaa.

●Acha mazoea na boss wako kwenye mambo ya kipuuzi, hapa kuna kuna seheme tofauti kama kwenye media,whatsapp the way unavyochat na watu wanakuchukulia boya tu, so yanakushusha hadhi, acha upuuzi.

●Usiwe mropokaji wa ovyo ovyo, Yaani Chochote unacho zungumza kiwe na manufaa,Kama wenzako wanajadili upuuzi usitoe maoni stay cool,Sometimes to be silent is better

●Epuka kutoa siri za maisha yako kwa kila mtu, watu wasijue kilakitu ulichonacho, au unachokipitia au tabia zako nje ya kazi. Kama unapiga gambe sanaa punguza.

●Kuwa Ruler 📏 kama YES iwe YES, NO iwe NO. Usiwe mtu wa kuyumbishwa tu na watu, Watu wajue unamsimamo. Hata boss akijua una msimamo ata kuheshimu, hawezi kuja kichwakichwa.

Maisha hayana njia moja, sio lazima njia uliyonayo ndiyo utakayo tokea.

● Mwisho : Usiache imani ya Mungu wako. Kwenye ofisi zetu za kibongo kuna mambo mengi sana kama ushirikina,waenda kwa waganga kukupiga tukio n.k (Hii wanaita kukupaka mavi ,kama kuna mtu kakufanyia hilo, hapo hutoboi hadi utafukuzwa kazi) namna ya kutoka fuata kanunu za kiimani, asubuhi kabla ya job Pray, ukiwa kazini Pray, ukitoka Pray, eneo la kazi Pray, Pray daily. Then urudi utupe mrejesho.

Asante
Shukrani Sana, ntafanya hivyo aisee
 
1. Bosi wangu ananifokea Sana kwamba sijui kazi ilihali ni kitu nilichosomea na najitahidi kuonesha juhudi

2. Bosi wangu ananifokea Sana hata kwa makosa ambayo kayafanya yeye mwenyewe kwa uzembe

3. Natumia kila njia ili niwe mfanyakazi mzuri na kumfurahisha bosi wangu lakini Bado anakuwa mkali kwangu

NB: Leo boss wangu kanifokea ilikuwa kidogo tuu niombe kuacha kazi na ilikuwa mbele za watu hadharani.
Ni taasisi binafsi

Je nifanyaje kwenye Hali Kama hii?
Magonjwa ya akili ni real huyo boss wako anakichaa..
 
Yawezekana akawa na inferiority complex

Yaani kuna watu ambao huwa wanapata relief wanapomtukana mtu na kumfokea.

Njia ya kuishi nao ni kuwa positive tu akiona anafoka then wewe upo Una smile ataanza kubadilika mwenyewe.
Ohhh sawa kiongozi,,nimekupata
 
Me pia Boss wangu ni kama freemason, ananikosesha Amani daily. Anapenda sana dharau za kifala. Mara aseme Wamasai ni sawa na tumbili..

Wiki iliyopita alinifokea bila sababu ya msingi nikamuambia akiendelea nitamuua. Hatusalimiani tangu Alhamisi. Supervisor siyo Mungu.
😂😂
 
  • Kwa kuwa upo sekta binafsi, ni sawa na jina lako kuandikwa kwa penseli, muda wowote linaweza kufutwa.​
  • Kama huna taasisi nyingine ya kufanya kazi, nakushauri vumilia kwanza na chukulia malalamiko yake kama fursa ya kukujenga.​
  • Mfanye awe rafiki yako,muombe akuelekeze kazi ata kama unajua zaidi.​
  • Pia usiwe siriazi sana kazini, jitahidi uwe ni mtu wa kuwafanya wengine wawe na furaha pale wakuonapo.​
Asante kwa ushauri wako.
 
Unapitia changamoto kama yangu!Huenda umemzidi elimu anakuona kama kikwazo kwake 2Ni mtu asiyependavwatu wa chini yake inawezekana alipatia malezi ya kupigwapigwa.Fanya ujasiri siku Moja ukiwa kwenye mood nzuri mueleze ukweli kwamba hujisikii vizuri kufokewafokewa na ikibidi,awepo mtu unayemuamini,Cha msingi kama ni mtu wa Dini muombe sana Mungu kwenye Hilo.
Sawa, shukrani Sana kwa ushauri wako
 
nishajaribu kumuuliza kuwa Kuna shida gani mpka inakuwa hivi,sema anaishia kunichekea na kusema hamna shida,,,awamu hii ntaongea naye kwa kina
hiyo kuongea nae kwa kina ,,inatakiwa iwe kina kweli , kama yy sio mmiliki wa kampuni akizid siku moja mtafute nje ya office mtie vitasa sana
 
Haiwezi kuwa hivyo na hata kama itakuwa hivyo basi hiyo itakuwa ilikuwa ndiyo hatima yake

Namaanisha huenda Kuna kazi nzuli Ina mwita kuliko hiyo anayo ing'ang'ania
  • Unajua sekta binafsi ni 'profit oriented'; kabla ya kuanzisha msimamo/vita pale kazini, jiulize uwepo wako pale unailetea pesa kiasi gani hiyo taasisi.​
  • Kama uko kwenye credit na debit tu, huku huzalishi mapato yoyote, inabidi kuwa mpole tu; vinginevyo una sehemu nyingine ya kujiegesha.​
  • Mtu anayetakiwa kuvimba kwenye taasisi binafsi ni mtu wa masoko tena yule masoko aliyekomaa mwenye uwezo halisia wa kuongeza mapato kwa spidi, ambaye ana uwezo mkubwa wa kukuza pato la taasisi.​
 
Back
Top Bottom