Njia gani nzuri ya kutatua changamoto kama hii kazini kwangu?

Njia gani nzuri ya kutatua changamoto kama hii kazini kwangu?

Mie niliwahi kukutana na Mabosi 2 wa namna hiyo nilichokifanya niliwa face nikiwa na uso wa mbuzi.
Asee hao jamaa wote kwa sasa ni marafiki sana.
 
  • Unajua sekta binafsi ni 'profit oriented'; kabla ya kuanzisha msimamo/vita pale kazini, jiulize uwepo wako pale unailetea pesa kiasi gani hiyo taasisi.​
  • Kama uko kwenye credit na debit tu, huku huzalishi mapato yoyote, inabidi kuwa mpole tu; vinginevyo una sehemu nyingine ya kujiegesha.​
  • Mtu anayetakiwa kuvimba kwenye taasisi binafsi ni mtu wa masoko tena yule masoko aliyekomaa mwenye uwezo halisia wa kuongeza mapato kwa spidi, ambaye ana uwezo mkubwa wa kukuza pato la taasisi.​
Kuna wakati Mambo magumu hutatuliwa kwa maamzi rahisi mkuu

Kuomba likizo sio kutangaza Vita na ndiyo maana Kuna neno kuomba

Baada ya kuomba likizo kuto kuwepo kwake eneo la kazi kutafanya kuonekane nafasi iliyo wazi katika majukumu

Lakini hili linategemea Kama ulivyo sema kwamba nafasi yake kwenye kazi inanguvu au umhimu kiasi gani

Ikiwa nafasi yake inaisaidia ofisi kwa kiasi frani basi nilazima tu uhuitajikaji wake kazini utafuata

Pamoja na hayo nashukuru kwa ufafa nuzi mkuu
 
Me pia Boss wangu ni kama freemason, ananikosesha Amani daily. Anapenda sana dharau za kifala. Mara aseme Wamasai ni sawa na tumbili..

Wiki iliyopita alinifokea bila sababu ya msingi nikamuambia akiendelea nitamuua. Hatusalimiani tangu Alhamisi. Supervisor siyo Mungu.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna wakati Mambo magumu hutatuliwa kwa maamzi rahisi mkuu

Kuomba likizo sio kutangaza Vita na ndiyo maana Kuna neno kuomba

Baada ya kuomba likizo kuto kuwepo kwake eneo la kazi kutafanya kuonekane nafasi iliyo wazi katika majukumu

Lakini hili linategemea Kama ulivyo sema kwamba nafasi yake kwenye kazi inanguvu au umhimu kiasi gani

Ikiwa nafasi yake inaisaidia ofisi kwa kiasi frani basi nilazima tu uhuitajikaji wake kazini utafuata

Pamoja na hayo nashukuru kwa ufafa nuzi mkuu
Kuna jamaa mmoja alikuwa ameajiriwa kwa muhindi, akaomba ruhusa siku ya kwanza aende kwenye mazishi ya ndugu yake, akaruhusiwa. Baada ya wiki mbili kupita akaomba ruhusa tena, kwa kisingizio cha msiba; ndipo aliporuhusiwa na kuambiwa, nenda kazike ndugu zako wote pamoja na marafiki, wakishaisha ndio urudi kwenye kazi.

Hii inatafsiri nini, sekta binafsi haipo kwa ajili ya kukulea au kukuvumilia wewe, ipo kwa ajili ya faida; kabla hujabipu ili upigiwe, jiulize kwanza, uwepo wako wewe pale kazini unaleta mapato kiasi gani kwenye kampuni?​
 
Back
Top Bottom