Njia gani rahisi ya kumfanya mwanamke akupende ?

Njia gani rahisi ya kumfanya mwanamke akupende ?

downloadfile.jpg
 
Kunammea flani kutoka Congo unaitwa alikasusu ndio mpango mzima, nauuza 250k tu kiroho safi, ila unafanana na mchicha kwa mbali usihofu sana duniani vitu viwili viwili.
 
Sijawahi kuona mwanamke asiyependa hela, ukiwa nazo hata ukiwa sura mbaya utaitwa handsome boy na majina yote mazuri
 
Jifanye shoga, huoni mwenzio Anko T anavyopendwa na wanawake!
 

Attachments

  • Screenshot_20240915-175409_1.jpg
    Screenshot_20240915-175409_1.jpg
    39.3 KB · Views: 21
Back
Top Bottom