Njia gani rahisi ya kumfanya mwanamke akupende ?

Leo nimemtuma shemeji yenu anikatie vitunguu ili nimpikie kaniambia kwao mwiko kufanya kazi za kike. Na mimi nikamwambia kata vitunguu na huo mwiko peleka wakasongee ugali kwenu.

Kaondoka hajaniaga na simu hapokei 😹😹😹

Sasa wewe MBWA fanya urudi mapema ukirudi night kali mlango sifungui. Najua unapita humu na ujumbe wangu umeusoma, wewe wasikize wavulana wa JF wasio na wake kitakurambaaa..!!

Natania, nilikua najaribu ku-imagine siku ya kuishi na furushi nyumba moja itakuwaje 😹😹😹
 
Furushi kwenye bwawa linaelea tu
 
Back
Top Bottom