mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Mfumo huo, hauwezi hauwezi saidia hapa bongo..!! Waza hii.. MTU MWENYE WAKE WANNE HUWA HACHEPUKI..!!??Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......
Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....
Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......

Hyo nchi haipo ispokuwa kuna ndoa za mikataba , mkataba ukiisha na bado mnashibana basi mnarenew...!!Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......
Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....
Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......
Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....
Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??
sasa si amechoka hiyo batch ya kwanza anatafta nyingine?? πMfumo huo, hauwezi hauwezi saidia hapa bongo..!! Waza hii.. MTU MWENYE WAKE WANNE HUWA HACHEPUKI..!!??
sasa ikiwa rasmi si ndo kutakuwa na maelewano mazuri....Inaweza isiwezekane kwa wengi ila kwa baadhi huu mfumo unafanyika sema tu haujawa rasmi π mara nyingi utasikia mwanamke anasema we ruka tu ila usiniletee maradhi
south africa, USA....Hyo nchi haipo ispokuwa kuna ndoa za mikataba , mkataba ukiisha na bado mnashibana basi mnarenew...!!
hata kubadilishana wake (swapping) iko huko kwao, je unataka na huku pia tuige hivo vitu?Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......
Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....
Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??
Kama ina manufaa basi sawa πhata kubadilishana wake (swapping) iko huko kwao, je unataka na huku pia tuige hivo vitu?
Nakumbuka kulikuwa hadi na kipindi cha wife swapping π watu wanabadilishana wake zao halafu baadae kila mtu anasema experience aliyopata hadi watoto wanahojiwa mama mpya wanamuonaje πhata kubadilishana wake (swapping) iko huko kwao, je unataka na huku pia tuige hivo vitu?
Unajua mnyama pekee anayefanya hivi? Bila kuwa na wivu wala kuleteana shida na dume jengine? Ni NGURUWE PEKEE .Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......
Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....
Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??
duh..... πUnajua mnyama pekee anayefanya hivi? Bila kuwa na wivu wala kuleteana shida na dume jengine? Ni NGURUWE PEKEE .
Na imethibitika kuwa chakula unachokula hasa nyama zina effect kubwa sana kwenye personality yako yaani chakula kina nafasi kubwa sana kukuathiri tabia yako pamona na hisia ndiyo maana wanaokula nyama nyekundu huwa na hasira sana kulinganisha na wasiotumia nyama nyekundu.
CHUNGA SANA UNACHOKULA .π