MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Kuna haja ya hawa viongozi wa dunia kujitafakari na kufanya maamuzi yenye faida kwa dunia .
Mgogoro mkubwa umejikita hasa kwenye kumiliki silaha sasa kama ni hivyo lazima watumie balance kumaliza vita .
Mfano unapoamua kuamua ugomvi wa watu wawili walioshika mapanga ,,hatua ya kwanza ni kuchukua hayo mapanga kutoka pande zote mbili.
Sasa kilichopo hapo Hormz kuna mmoja anakatazwa kuwa na silaha ya nuclear na mwingine anaachiwa amiliki.