Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Zote ni nzuri kuwa mwangalifu tuu!Ndugu zangu habari.
Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo.
1: Manispaa / ofisi za ardhi
2: Kwa mtu binafsi
3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja.
Asanteni
Kiwanja kipo wapi, ukubwa gani na bei gani, je kina hati miliki na kimepimwa?Njoo nikuuzie kiwanja halali na hutojutia karibu nipo Arusha dalali mwanamke kwa maendeleo ya kujenga Taifa
Njoo huku Dodoma Mkuu,makao makuu upige apartmentsKiwanja kipo wapi, ukubwa gani na bei gani, je kina hati miliki na kimepimwa?
Asante mkuu dodoma teyari nishaweka kambi huko..Njoo huku Dodoma Mkuu,makao makuu upige apartments
NI pm na uniandikie unahitaji maeneo gani usihangaike tena umefika ukitaka binafsi sawa ukitaka kampuni sawa njia yeyoye ukihitaji kiwanja nipo. Uwe tu serious kuwa wewe ni mwihitaji.Kiwanja kipo wapi, ukubwa gani na bei gani, je kina hati miliki na kimepimwa?
Nimekuulizia mkuu nanimekupa namba zanguKiwanja kipo wapi, ukubwa gani na bei gani, je kina hati miliki na kimepimwa?