Njia mbadala za kupunguza uzito

Njia mbadala za kupunguza uzito

Mizega

Senior Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
150
Reaction score
321
Salaam.
Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
 
asilimia 70 badili kula yako halafu hiyo 30 ndo mazoezi na vyengine,epuka kula hovyo vyakula vya wanga kwasiku kula mara moja tena mchana tu!,usile chakula cha wanga halafu ukaenda kulala! ati usiku!.. asubuhi unakula ngano,mchana ugali,usiku wali unene na kitambi vitakulavu sana!.. sasa kazi kwako mpaka uje uzoee ulaji mpya sijui utaweza! tatizo watz tunaonaga mboga kama vile sio chakula kamili bila kuweka ugali ama wali tunaona hatujala!...🤣
 
Make sure mlo wako usiwe wa kuzidi hasa kama sio mtu wa shughuli za kutumia nguvu, jitahidi zile siku utazo overfeed yourself basi ufanye workouts kupunguza ile intake.

Kanuni rahisi

Intake must be equal or less than kile unachokitoa. Ukiweza kuishi humo hata huna haja ya kukesha Gym, simple workouts zinatosha kabisa kukuweka sawa kiafya unless otherwise uwe unataka kujenga muscles.
 
We unaweza kula mboga plain mkuu?🤣 mimi lazima niweke na kaugali laini pembeni🏃‍♀️
 
Niliweza kuishi kwa hii kanuni kwa mda mrefu shida ikawa unywaji wa pombe (beer) na choma choma kupitiliza, ila huwa nikiamua mwezi mzima nirudi kwenye utaratibu wangu basi lazima weight ikae sawa.

NB, Ukishafika Overweight Kuna shughuli kubwa kurudi kwenye uzito wako wa kawaida, hapo si chakula tu, kuna haja kubwa sana kwenda kukesha Gym na kuongeza over workouts.
 
Salaam.
Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
sounds kama mko wengi, kwa mazoezi hayapunguzi uzito yanaimalisha mwili plus msosi mkali utakaohitajika kufidia nguvu iliopotea mda mnafanya mazoezi baada ya hapo unapumzika umechoka, mtazidi tu kunenepeana.

jaribuni. kumaintain kwanza chakula, unywaji wa maji uwe kawaida chakula kidogo na mcpate mda wa kurelax sana, na n mboga mboga t ndio kiwe chakula kkubwa

n ushaur t
 
We unaweza kula mboga plain mkuu?🤣 mimi lazima niweke na kaugali laini pembeni🏃‍♀️
nilisahau kusema inategemea nakazi kama mtu kazi zako za kuketi sio kutoa jasho ama kutumia nguvu basi kitafaa sana hicho nilichoandika!..
vitu mazoea mama! binafsi najijua ni propera ya kula! lkn nilikuja kujua naweza tena achana na kula mboga tu bali unaweza kula mlo mmoja kwa siku na usisikie njaa! kikubwa nikujua siku hiyo umeipangaje! unakuta siku nzima unajua utakuwa umepumzika tu kuangalia muvi,kulala kutembea kiduchu unataka ule ugali mkubwa na milo mitatu na yote wanga!!!!..
na ndio hapo sasa lazima kakitambi laini kaote pembeni yako!..😂
 
Niliweza kuishi kwa hii kanuni kwa mda mrefu shida ikawa unywaji wa pombe (beer) na choma choma kupitiliza, ila huwa nikiamua mwezi mzima nirudi kwenye utaratibu wangu basi lazima weight ikae sawa.

NB, Ukishafika Overweight Kuna shughuli kubwa kurudi kwenye uzito wako wa kawaida, hapo si chakula tu, kuna haja kubwa sana kwenda kukesha Gym na kuongeza over workouts.
mkuu kukesha gym sio suruhisho gym ni kujenga mwili sanasana!,shida ipo kwenye upakiaji wa matofali (msosi) akiweza hapo mbona atakuwa hadi anafumba tumacho akivuta pumzi vizuri ikimburudisha,mwili ukiwa ktk standard yake kuna raha yake usiwaambie mutu..
 
nilisahau kusema inategemea nakazi kama mtu kazi zako za kuketi sio kutoa jasho ama kutumia nguvu basi kitafaa sana hicho nilichoandika!..
vitu mazoea mama! binafsi najijua ni propera ya kula! lkn nilikuja kujua naweza tena achana na kula mboga tu bali unaweza kula mlo mmoja kwa siku na usisikie njaa! kikubwa nikujua siku hiyo umeipangaje! unakuta siku nzima unajua utakuwa umepumzika tu kuangalia muvi,kulala kutembea kiduchu unataka ule ugali mkubwa na milo mitatu na yote wanga!!!!..
na ndio hapo sasa lazima kakitambi laini kaote pembeni yako!..😂
Ndiyo maana kakitambi laini kananinyemelea, asubuhi supu na chapati 1, mchana wali ugali, usiku mapema lkn kaugali lainii na nyama, napenda nyama sana🙆‍♂️
 
na sasahivi tumepanga kuacha wachumba wenye vitambi we kiimarishe tu ndoa utaisikia kwa marafiki zako...😁

vipi unakunywa na mvinyo..?? kama unapenda nyama basi penda na kamvinyo haswa unywe red wine 🍷
 
Acha basi kunitisha mkuu🤣🤣 sinywi wine wala pombe ni nyama tu ndiyo napenda na kajuice
 
Chakula kinda nafasi kubwa kufanya ubongeke, mimi pia kuna kipind nilitamani kupunguza kg 20 hv nikaingia YouTube huko nikaangalia maharishi kadha wa kadha na kuyafanyia kazi
Haikuwa vigumu mwezi 1 tu nilipunguza kg 10
 
nimekuibia siri unasema nakutisha shauli yako! kama hunywi ni vyema na ukianza kunywa nitafute nikuambie nini chakunywa! usije ukanywa vitu vizito ukadumbukia kwenye visima vya nzengo!,ukayanajisi maji na wale migambo wa nzengo wanapigaga omba usikutwe..😅

pia punguza matumizi makubwa ya sukari if necessary instead of using sugar,you can use honey.
 
Mkuu mm kuna program rahisi na ngumu pia kufanya ya kula mara 2 asubuhi na cha mchana mida ya saa7-8 then sili tena hadi kesho yake fanya hivo utanishukuru au ukiona umezidiwa sana kula hata ndizi moja usku au karanga halaf ile asubuhi na mapema piga kahawa plain kabsa usiweke sukari wakat unaamka
 
Chakula kinda nafasi kubwa kufanya ubongeke, mimi pia kuna kipind nilitamani kupunguza kg 20 hv nikaingia YouTube huko nikaangalia maharishi kadha wa kadha na kuyafanyia kazi
Haikuwa vigumu mwezi 1 tu nilipunguza kg 10
hapo bila shaka ukazubaa zikaongezeka 15... 😂

joke.
 
Back
Top Bottom