Njia mbadala za kupunguza uzito

Njia mbadala za kupunguza uzito

Salaam.
Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
Piga tatu kavu bila kula day 'n' night
 
Mkuu mm kuna program rahisi na ngumu pia kufanya ya kula mara 2 asubuhi na cha mchana mida ya saa7-8 then sili tena hadi kesho yake fanya hivo utanishukuru au ukiona umezidiwa sana kula hata ndizi moja usku au karanga halaf ile asubuhi na mapema piga kahawa plain kabsa usiweke sukari wakat unaamka
kahawa inategemea na afya ya mtu ndugu! ukute kiafya chakuokota kitamtoka kijasho huyo moyo umdunde hovyo!
 
Mkuu mm kuna program rahisi na ngumu pia kufanya ya kula mara 2 asubuhi na cha mchana mida ya saa7-8 then sili tena hadi kesho yake fanya hivo utanishukuru au ukiona umezidiwa sana kula hata ndizi moja usku au karanga halaf ile asubuhi na mapema piga kahawa plain kabsa usiweke sukari wakat unaamka
Sasa kahawa si mbaya kwa BP?
 
nimekuibia siri unasema nakutisha shauli yako! kama hunywi ni vyema na ukianza kunywa nitafute nikuambie nini chakunywa! usije ukanywa vitu vizito ukadumbukia kwenye visima vya nzengo!,ukayanajisi maji na wale migambo wa nzengo wanapigaga omba usikutwe..😅

pia punguza matumizi makubwa ya sukari if necessary instead of using sugar,you can use honey.
Visima vya nzengo ndiyo vipi hivyo?🤣 kiukweli sitegemei kunywa ,ila hapo kwenye sukari nimekuelewa ngoja nifanyie kazi niache kula cake 🎂 😔
 
asilimia 70 badili kula yako halafu hiyo 30 ndo mazoezi na vyengine,epuka kula hovyo vyakula vya wanga kwasiku kula mara moja tena mchana tu!,usile chakula cha wanga halafu ukaenda kulala! ati usiku!.. asubuhi unakula ngano,mchana ugali,usiku wali unene na kitambi vitakulavu sana!.. sasa kazi kwako mpaka uje uzoee ulaji mpya sijui utaweza! tatizo watz tunaonaga mboga kama vile sio chakula kamili bila kuweka ugali ama wali tunaona hatujala!...🤣
Kenzy wewe kuweza kula mboga plain?
Sasa unakuwa na tofauti ipi na ng’ombe? 😹
 
nashauri jaribu kubadili mtindo wa maisha tena nadhani sana kuhusu mpangilio wako wa mlo
 
Back
Top Bottom