Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😹😹😹 una kilo ngapi?ng'ombe hawezi kula nyama au wewe unajua mboga ni za majani tu! unaweza kula mchicha na nyama mbona unashiba kuna vimtu humu mwajiona mnakula kumbe hata kilo hamnifikii...💪😅