Njia mbadala za kupunguza uzito

Njia mbadala za kupunguza uzito

Mchawi msosi tu.
Mimi nikiacha napungua, nikipata shida nikawa na stress nakula zinarudi zote.
Sahihi kabisa comrade, tukiweza kumention msosi basi hata workouts hazitokuwa za kuchosha.

Shida yetu wa Afrika tunakula (wingi/quantity) kushiba na sio quality kwa maana vile virutubisho sahihi mwili unahitaji.
 
Mchawi msosi tu.
Mimi nikiacha napungua, nikipata shida nikawa na stress nakula zinarudi zote.
FB_IMG_1722165081481.jpg

Ulaji wa hivi, kama hutokula tena kwenye maisha yako, sisi waafrika sijui tumelogwa na nani?

Mtu anakula mpaka anashindwa kupumua, tena ni usiku, akilala anaanza kuota anakimbizwa, anakabwa, akiamka asubuhi anasema wachawi.
 
Salaam.
Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
Monitor calorie intake na expenditures kwa siku
 
asilimia 70 badili kula yako halafu hiyo 30 ndo mazoezi na vyengine,epuka kula hovyo vyakula vya wanga kwasiku kula mara moja tena mchana tu!,usile chakula cha wanga halafu ukaenda kulala! ati usiku!.. asubuhi unakula ngano,mchana ugali,usiku wali unene na kitambi vitakulavu sana!.. sasa kazi kwako mpaka uje uzoee ulaji mpya sijui utaweza! tatizo watz tunaonaga mboga kama vile sio chakula kamili bila kuweka ugali ama wali tunaona hatujala!...🤣
Umemaliza kila kitu. Chakula ndio kila kitu.
 
Salaam.
Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
Fanya mazoezi kiwango hicho hicho unachofanya sasa halafu punguza kula chakula hasa wanga.
 
Back
Top Bottom