Njia mbadala za kupunguza uzito

Piga tatu kavu bila kula day 'n' night
 
kahawa inategemea na afya ya mtu ndugu! ukute kiafya chakuokota kitamtoka kijasho huyo moyo umdunde hovyo!
 
Chakula kinda nafasi kubwa kufanya ubongeke, mimi pia kuna kipind nilitamani kupunguza kg 20 hv nikaingia YouTube huko nikaangalia maharishi kadha wa kadha na kuyafanyia kazi
Haikuwa vigumu mwezi 1 tu nilipunguza kg 10
Kilo 10 kwa mwezi? 🙄🙄 Ulikua unafanya kozi?
 
Sasa kahawa si mbaya kwa BP?
 
Visima vya nzengo ndiyo vipi hivyo?🤣 kiukweli sitegemei kunywa ,ila hapo kwenye sukari nimekuelewa ngoja nifanyie kazi niache kula cake 🎂 😔
 
Kenzy wewe kuweza kula mboga plain?
Sasa unakuwa na tofauti ipi na ng’ombe? 😹
 
nashauri jaribu kubadili mtindo wa maisha tena nadhani sana kuhusu mpangilio wako wa mlo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…