Njia mbadala za kupunguza uzito

Mchawi msosi tu.
Mimi nikiacha napungua, nikipata shida nikawa na stress nakula zinarudi zote.
Sahihi kabisa comrade, tukiweza kumention msosi basi hata workouts hazitokuwa za kuchosha.

Shida yetu wa Afrika tunakula (wingi/quantity) kushiba na sio quality kwa maana vile virutubisho sahihi mwili unahitaji.
 
Mchawi msosi tu.
Mimi nikiacha napungua, nikipata shida nikawa na stress nakula zinarudi zote.



Ulaji wa hivi, kama hutokula tena kwenye maisha yako, sisi waafrika sijui tumelogwa na nani?

Mtu anakula mpaka anashindwa kupumua, tena ni usiku, akilala anaanza kuota anakimbizwa, anakabwa, akiamka asubuhi anasema wachawi.
 
Monitor calorie intake na expenditures kwa siku
 
Umemaliza kila kitu. Chakula ndio kila kitu.
 
Fanya mazoezi kiwango hicho hicho unachofanya sasa halafu punguza kula chakula hasa wanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…